Ronaldo apewa jezi namba 7 na Cavani kuchukua namba 21 Manchester United

Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
13,759
20,152
Jezi namba 7 pale katika viunga vya Old Traford Manchester United huwa inajulikana ni ya nani 😇 Ronaldo na tayari kachukua namba yake huenda Cavan akavaa jezi namba 21 ambayo anaitumia timu taifa na kwenye vilabu vingine alivyochezea.

Screen-Shot-2021-09-03-at-10.55.16.png

Mwanzo jezi namba 21 pale Man United alikuwa akiitumia Daniel James ambaye kwa sasa ameondoka na kujiunga na Leeds United.

Baada ya Cristiano Ronaldo kupewa jezi namba 7 katika klabu ya Manchester United ambayo alikuwa anaivaa Cavan sasa Cavani amechukua namba 21 aliyokuwa anaivaa Damiel James ambaye ameuzwa Leeds United.
 
7 ni jersey ya heshima man utd usipoitendea haki unanyang'anywa na kipindi cha conservative Ferguson ilikuwa ni bora asivaliwe na mtu kuliko kumpa mtu asiyeeleweka, ilikuwa lazima uoneshe maajabu kwanza uwanjani ndio uaminike refer George best, cantona, Beckham, cristiano. Miaka ya hivi karibuni imechezewa sana kibiashara na depay, Sanchez, di maria, cavani
 
Yule Valencia alishawahi ivaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom