Kulikoni matokeo kidato Cha nne kuchelewa kutangazwa

Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je kuondoka Kwa Msonde kumesababisha hili?
Yanabikwa
 
Pressure imeanza kupanda, nimezoea wiki ya mwisho ya mwezi wa kwanza...jiandae mapema kisaikolojia.
 
Presha ya nini wakati form four faiure ndio wanaokula maisha?
Kuna rafiki yangu alipiga one ya 7 fom 4, na One ya tatu fom 6, yuko Canada anafanya kazi ya kubeba box... Wakati vilaza wanashikilia vyeo kwenye ofisi nyeti...
 
Chuo alisomea wapi? Ali-graduate?
 
Back
Top Bottom