kucheka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Huwa najizuia kucheka napoona mtu mwenye gari ya miaka zaidi ya 10 anaguswa na habari za disconituation ya utengenezaji wa baadhi ya magari

    Production Discontinued mtu ana gari ya zamani, kisha anaanza kuumia akisikia kiwanda kimeacha kutengeneza model hiyo. Mfano, mtu mwenye Premio ya 2008 toleo la zamani kabisa anasikitika kwamba Premio zimeacha kutengenezwa mwaka 2021 😂. Ukilinganisha gari yake ya 2006 hata na toleo la 2018, ni...
  2. Stability

    Wakuu najikuta kucheka cheka tu, msaada tafadhari

    😂😂😂😂
  3. Yoda

    Ni kituko mtu anayeamini mwezi uliwahi kupasuka vipande viwili kisha ukajiunga tena kucheka muujiza wa gesi ya kupikia kujazwa kwa mdomo.

    Dini zote mbili kubwa huwa zinajitamba sana kwa miujiza mbalimbali, sasa kama unaamini miujiza inayosemakana kuwahi kutokea kwenye dini yako mfano mwezi kupasuka na kisha kujirudia tena au mtu kusafiri kwenda mbinguni na farasi kwa nini ushangae mtu kujaza gesi ya kupikia kwa kupuliza na mdomo?
  4. Nikola24

    Nimeota ndoto ghafla nikaanza kucheka sana nikiwa usingizini.Nisaidieni kutafsiri

    Niliota Kuna mwanamume shupavu amebeba bunduki.Nikajifanya nimekufa lakini huyo mwanaume alijaribu kunipiga risasi ya mguu. Nilisimama ghafla na kuanza kukimbia. Mwanaume yule alivyatua risasi ila nilizikwepa. Nikashangaa Kuna wanaume wengine wawili walinizunguka wakinipiga risasi lakini nilizi...
  5. kavulata

    Humphrey Polepole hajamshitua mtu yeyote, amejitekenya na kucheka mwenyewe

    Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani? Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa...
  6. GENTAMYCINE

    Tafadhali mwenye 'Video Clip' ya Mtangazaji (Mwanamama) wa Iran State Tv iliyoshambuliwa na Israel akikimbia Studio aniwekee ili niendelee Kucheka

    Israeli huwa hawabahatishi katika Target zao Kudadadeki. Sasa kama huyo Mtangazaji Mwanamama wa Televisheni ya Taifa Iran alikuwa anajifanya Kutangaza kwa Kujiamini na Kutoogopa nini kilimfanya atoke baru (akimbie) Studioni pamoja na Cameraman wake baada ya Kombora Tukuka la Israeli kushambulia...
  7. Mr Why

    Je tukifanya Prank hii kwa wake zetu wa Kiafrica watalia ama kucheka?

    Hivi tukifanya Prank hizi kwa wake zetu wa Kiafrica watacheka ama kulia? Tazama Video hii
  8. Oscar Wissa

    Maamuzi ya kucheka au kulia yanatoka wapi?

    Unaomba Mungu eti akupe kicheko wakati kuna mtu umemfanya alie. Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe.
  9. GENTAMYCINE

    Netanyahu Kiboko yaani ananichakazia Watu huko Lebanon na Gaza, halafu leo kapanda Gari akawa anapiga Mluzi na Kucheka Kijeuri

    Ukiona hadi GENTAMYCINE nampenda Mtu jua nimeshamtathmini kwa Vigezo vyangu vyote na kugundua kuwa ana Akili, Mbabe, Jeuri halafu ni Mpenzi wa Visasi vya Kuwanyoosha Wajinga (Madunduka) na Wapumbavu (Mapopoma) hasa wa huko Mashariki ya Kati pamoja na wale Wapuuzi wanaowasapoti. Duniani cheza na...
  10. GENTAMYCINE

    Nimejiuliza sana hili Swali, ila sijapata Jibu sana sana naona najikuta Nacheka tu kila nikilifikiria Kichwani mwangu

    Hivi Siku mara paaaaap kwa bahati mbaya Sura zetu zote zikaonekana kwa dakika kama tano ( 5 ) katika Simu na Laptops zetu ambazo tunazitumia Kuchati au Kuandika mambo yetu mbalimbali hapa halafu Wote tukajuana kuwa kumbe ID ya fulani ni fulani itakuwaje baada ya hapo? Ninayoyahisi........ 1...
  11. TUKANA UONE

    Mmiliki mmoja wa Bus amenipigia simu huku akicheka sana, nimemuuliza sababu za yeye kucheka hajajibu ameamua kukata simu

    Huyu Jamaa wiki iliyopita nilikuwa naye pale Dodoma,ajabu ni kwamba kuna mambo alikuwa akiniambia nikawa nashangaa tu! Baada ya kugundua alichokuwa akimaanisha,aiseee nimetafakari sana usiku wa Leo na usingizi umegoma kabisa!  Jamaa kaniambia tuupe Muda - Muda KAOLE SANAA GROUP
  12. Django Doer

    Wanawake wakikuangalia halafu wakaanza kucheka cheka huwa wanamaanisha nini?

    Heri ya sikukuu wana MMU. Nina scenario 2 za hili tukio kunitokea. 1. Jumatatu ya wiki iliyopita kulikuwa na mvua kubwa sana jijini dsm ambayo ilisababisha ukosefu wa usafiri wa daladala kwa tulio wengi hivyo watu ilibidi watembee wakitoka makazini kurudi makwao mimi nikiwa mmojawapo sasa...
  13. Yehoyada Yedidia

    Je, tunataka comedy tucheke sana au kujenga nchi yetu?

    Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu. Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana wachekeshaji (comedian) kila kona ya Tanzania. Ukiwakuta vijana wana camera mtaani lazima tu watakuwa...
  14. Leejay49

    Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

    Signed out
  15. Lycaon pictus

    Wahalifu siyo wa kucheka nao, hiki ndicho walichofanya El Salvador

    El Salvador ni nchi ndogo ya Amerika ya Kati. Ina watu kama milioni saba hivi. Lakini ni nchi ambayo ilikuwa imeandamwa vibaya sana na magenge ya uhalifu na mauaji. Ilikuwa ni moja ya nchi zinazoongoza duniani kwa mauji. Kati ya watu laki moja watu 53 waliuwawa kwa mwaka(Nchi kama Tanzania ni...
  16. Morning_star

    Wapi mnapata emoj ya kucheka kwenye browser ya jamii forum

    Natumia browser katika jamii forum! Kuna mahari naona watu wanaweka emoj ya kucheka! Mimi nikiitafuta siioni zaidi ya emoj ya like👍. Sasa hizo emoj mnazipataje?
  17. M

    Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

    Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake. Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu fulani tukiwa Kenya. Tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa...
  18. VanDon

    Mashabiki wa Simba na Yanga leo kuna kulia na kucheka au kucheka na kulia

    Leo hii kila shabiki wa timu hizo mbili anafanya maombi ya kupata matokeo mazuri. Nilichokipenda kwenye mechi za leo ni muda mmoja timu zote zinaingia uwanjani. Baada ya dakika 90 mbivu na mbichi zitajulikana.
  19. Money Penny

    Mpenzi wangu anapenda kucheka, nifanyaje?

    Doh, najuta kutoa email yangu Maana ndio mvua za maswali kama haya, Money Penny, me Nina mpenzi wangu nampenda Sana, lakini ana tatizo moja Tu Money Penny: Tatizo gani? Kijana: anapenda Sana kucheka, Yani akikutana na kitu kinachekesha, hapo mjipange DK 10 mpaka 15 anacheka yeye tu. Money...
Back
Top Bottom