kucheka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Utafiti: Kucheka miongoni mwa tiba ya ugonjwa wa moyo

    Utafiti uliofanyika nchini Brazil umegundua kuwa kucheka kunasaidia katika matibabu ya ugonjwa wa moyo kwa asilimia 10. Utafiti huo uliofanywa na Hospitali ya Clinicas de Porto Alegre ukiongozwa na Daktari bingwa wa moyo, Profesa Marco Saffi uligundua kuwa tiba ya kucheka inaweza kusaidia...
  2. Mwachiluwi

    Ni story gani au mada gani uliikuta kwenye chombo cha usafiri ukaishia kucheka?

    Hello 👋 Tunatumia usafiri sana sana usafiri wetu daladala, mwendokasi, bajaji nk Nisikuchoshe kuna tukio nishashuhidia na kusikia nikaishia kucheka mpaka mwisho wa safari Ya kwaza ilikuwa mwaka 2015 nikiwa kwenye daladala kipindi cha uchaguzi tukifika kituo fulani sasa pembeni kulikuwa na...
  3. T

    Pale tunapotakiwa tukasirike tunacheka, na pale tunapotakiwa kucheka eti tunakasirika! Nchi ya ajabu sana hii!

    Nilitarajia kuona kila mtanzania amekasirika na kuonyesha hisia zake hasaa kwenye mambo yafuatayo; Ufisadi Kwanini kuwachekelea waliopewa mamlaka kusimamia haki za wananchi pamoja na kulinda kuhakikisha hakuna shilingi ya Mtanzania inakwapuliwa na mafisadi? Anatokea mtu mmoja tu kusema hili...
  4. Binadamu Mtakatifu

    Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

    Hahahah ngoja nianze na kicheko unafiki, hivi wanaonijua huwa naandikaga pumba eti? Anyway sikuumbiwa mapenzi, ninayotamani yote hufa. I hate love, ila sina jinsi, najua napoteza ila sina namna, nahitaji muda sana. Ninahisi pain sana kila wazo la kimahusiano linapo nipitia kichwani, furaha...
  5. GENTAMYCINE

    Kuna Mtu 'Kanifolo' sasa hivi sijui ndiyo 'Mama' aliyesema huwa Anatusoma na Kucheka hapa JamiiForums!!!!

    Karibu sana Mama na Asante kwa Kunifolo GENTAMYCINE hapa JamiiForums, ila nikuahidi tu kuwa japo Unanifolo, Unanipenda na Kunifuatilia sana, ila sitoacha Kukukosoa ukiharibu na Kutofurahia ukipatia kwani Mimi furaha yangu ni Wewe Kujichanganya Kiutendaji ili nipate cha Kukusiliba hivyo Nivumilie...
  6. Binadamu Mtakatifu

    Style ya kucheka tujizuie

    Moja ya tabia mbaya zaidi ni pale unakutana na mwanadada au kaka alafu mkapiga story mara akaanza kucheka Uwiii domo limepanuliwa kama kiboko mbaya unaona koo, kimeo mpk matundu ya pua meno yooye mpaka unataka kusema si mdomo utachanika huu Sura inabadilika nyani si nyani sokwe si sokwe...
  7. Gaddaf i06

    Niliwahi kutoa wazo kama hili kwenye mkutano wa kijiji, watu wakaishi kucheka. Sasa natoa mfano!

    Habari za wakati huu expert mwenzangu[emoji4] siku moja nitauliza ni kwanini tunaitwa "experts" isije kuwa ni maexperts wa kuandika nyuzi[emoji23][emoji119] ..mnaokaa karibu na bahari, maziwa na mito, jamani mungu awape macho, hiyo ni fursa. ninaishi sehemu ambayo upatikanaji wa maji ni...
  8. M

    Nimeyakumbuka madera ya yanga nikabaki kucheka

    Kuna msimu yanga kila mechi walikuwa na jezi yake yaani mpaka msimu unaisha haijulikani jezi rasmi ni ipi,na sio mbali ni kama miaka mitatu au minne tu hivi,simba tukawafundisha ustaarabu. Ghafla designer wao akaja na madera ,wanazi wakayatetea ila rohoni ilikuwa inachoma. Nakumbuka yule...
  9. H

    Kumtegemea mtu kama Haji Manara ili mpira wetu usonge mbele ni kujitekenya wenyewe na kisha kucheka sana

    Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchi katika septa ya michezo kumekua na porojo sana kuliko uhalisia wa mwelekeo wa mchezo wetu wa mpira wa miguu tumekua, tukiweka nguvu kubwa katika kuwahamasisha washabiki na kuwaaminisha kuwa uwepo wao uwanjani na upigaji kelele ndio chanzo kutuletea ushindi...
  10. F

    Watumishi wa Umma kucheka au kulia

    Waswahili walisema usiku wa deni haukawii kucha. Zimebaki siku chache ili watumishi wa umma nchini waweze kupokea mshahara wao mpya wa mwaka wa fedha 2022-2023. Kufuatia nyongeza ya 23.3% iliyotangazwa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan siku ya Mei Mosi...
  11. Zee Korofi

    Mzee wangu ameniharibu!

    Good afternoon brothers. Majukumu ya malezi yanakwendaje? Uhusiano wangu na jamii; Tangu nazaliwa na kuanza kujitambua, mzee wangu amenilea malezi ambayo naona magumu yake na athari zake muda huu. Nina 'traits' za kushangaza ila naomba mjikite kwenye kutoa ushauri na ufafanuzi tafadhali...
  12. CK Allan

    Je, wafanyakazi kucheka baada ya Hekaya za miaka 7??

    Kama tujuavyo enzi za Simba wa Yuda nyongeza ya mishahara, kupanda madaraja na marupu rupu mengine ya wafanyakazi yalisimama, Na hata mshahara huu wanaopata watumishi ni ule alioacha Jakaya Mrisho Kikwete.. Kumekua na Hekaya nyingi na ahadi nyingi! Lakini kwa ujasiri MAMA katika mei Mosi ya...
  13. T

    Kweli utoto kazi leo nimelog in JF baada ya miaka mingi nimesoma post zangu nimeishia kucheka tu

    Habari wakuu Imepita takriba miaka kadhaaa toka niachane na JF kutokana na majukumu mbalimbali, Sasa leo nmelog in ila nimejikuta naona aibu mwenyewe kwa nyuzi nilizokuwa na post sijui utoto dah ya nimechek mwenyewe. Maisha ya utoto raha sana!
  14. M

    360 mawingu wameidadavua faini ya Musiba Tsh bilioni 6 kisheria, inashangaza kwa tusiojua sheria tunaweza kucheka

    Leo nilipata wasaa wa kusikiliza kipindi cha 360 Mawingu ambapo alialikwa mwanasharia nguli na mwanasharia msomi mama Gloria Kahaya kutoka kituo kimoja cha kutoa haki za kisheria hapa nchini. Walikuwa wakijadili mambo ya ndoa na taraka lakini baadae bila ya kutegemea wakatumbukia katika hukumu...
  15. Umuzukuru

    Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

    Yaani iko hivi Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu. Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake. Yaani ni kucheka mwanzo mwisho. Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh...
Back
Top Bottom