kuchanganya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Sauti ya wengi sio sauti ya Mungu. Huu msemo ni kuchanganya dini na siasa

    kuna msemo wa kirumi Vox Populi Vox dei ( Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu). Huu msemo ni sahihi kisiasa sio kidini au kiimani. Wanasiasa walitumia huu msemo kujihalalishia mambo yao hata kinyume cha Mungu na wengine ilikula kwao. Sasa ni aibu kwa kauli hii kusikika kwa watu wa dini. Ibaki...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

    Wanabodi, Declaration of Interest Mimi ni Mkristo Mkatoliki, tena sio Mkatoliki mlei tuu wa kawaida, ni miongoni mwa wale walei Wakatoliki wacheche tuliobahatika kwenda kuhiji Israel, na waliofika St. Peter's Basilica, kule Rome, Italy. Enzi nikiwa mdogo nimehudumu utumishi kanisani pale St...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Nyamagana: Tunawataka DP World bandari ya Mwanza, watoto wa kiarabu wajae

    "Tutakapolimaliza ya bandari ya Dar es Salaam hata Mwanza hapa tuna bandari, tunawataka Waarabu hapa, waje Waarabu DP world sijui na nani, waje hapa watuendelezee bandari ya Mwanza. "Tukitoka hapa tunahamia Ukerewe, tukitoka hapo ni visiwa vyote vya ukala, wape Waarabu. Waarabu oyeee...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Phillipo Mwakilima amtaka Spika Tulia Ackson aache kuchanganya sheria na siasa

    Akihojiwa na chombo kimoja cha habari, Mwanasheria Phillipo Mwakilima anemkosoa vikali Spika Tulia Ackson kwa staili yake ya kujifanya ni mtafsiri sheria na mwalimu wa sheria kila sehemu anayokuwepo. Wakili Mwakilima, akaponda kauli za spika kuwa eti bungeni walipitisha makubaliano na siyo...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu muhimu unapoamua kuanza na jambo kubwa kwa maombi

    1: Maombi yatakufanya uangalie mambo kama Mungu anavyoaangalia sio kama watu wa kawaida wanavyoona. Hivyo huamasisha uthubutu. Mwanzo 18:14 Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA? 2: Maombi yatabadilisha mtazamo wako juu ya ukubwa na ugumu wa lengo lako. Yatakufanya uone inawezekana...
  6. teac kapex

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuchanganya mafuta

    Habari za leo wadau wa jukwaa hili, leo kwa bahati mbaya nimechanganya mafuta, nina gari aina ya hiace ambayo inatumia Petroli, nimekwenda kituo cha mafuta muuzaji bila kuuliza akashindilia diesel kama lita 4 hivi na ndani ya tank kulikuwa kama na lita 7 za petroli nilipoondoka tu umbali...
  7. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Kuchanganya udongo wa Zanzibar na Tanganyika haiwezi kuwa ni kifungo kwetu cha daima?

    Salamu kwa wote na heri za maadhimisho ya kumbukumbu ya muungano wetu. Tuna kila sababu ya kuwapongeza waasisi wetu kwa kuwa na fikra chanya za kutaka kuungana na hatimaye ikawa hivyo. Umoja, undugu, mshikamano kwa kiasi kikubwa imekuwa sababu ya kupelekea maendeleo ya moja kwa moja kwa wale...
  8. J

    JamiiForums Tanzania James Mbowe amvaa Askofu Gwajima kuchanganya mikutano ya injili na siasa za Rais Samia

    Kada maarufu wa CHADEMA, James Mbowe ameandika kuhusiana na utaratibu ulionzishwa na Askofu Josephat Gwajima kuendesha mikutano ya Injili huku akitumia kufanya kampeni za siasa. === "Bishop Gwajima nisikilize kwa makini huenda umezungukwa na watu ambao hawakuambii ukweli! Lakini huu usanii...
  9. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Nilipoteza Tsh. Milioni 2 kwa kuchanganya Afrikana na Afrika Sana

    Aya mambo mengine jamani yasikieni tu na kila siku tujitahidi kufanya ibada/ Maombi kwa sababu kuna muda tunapitia changamoto. ila sasa muda wengine tunapitia changamoto mfululizo yani haijamaliza changamoto hii inakuja nyingine. Sasa naomba moja kwa moja kwenya mada. Kutokana na tukio hili la...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Ashatu Kijaji hiyo 'Doctorate' yako ni ya Ubobezi wa Uwongo au Kuchanganya?

    "Royal Tour ya Rais Samia imesababisha Hoteli zote Kubwa Dar es Salaam, Kilimayna Arusha kujaa kwa miezi Mitatu ijayo" Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dk. Ashatu Kijaji. Halafu GENTAMYCINE nawaulizeni nyie Viongozi wa Serikali hivi mnavyokuwa mnatudanganya kiasi hiki huwa mnadhani kuwa...
  11. Saad30

    JamiiForums Tanzania Bei ya mshine ya kuchanganya rangi za nyumba

    Amani iwe juu yenu wakuu.. Kwanza natoa shukrani kwenye hili jukwaa maana limenipa faida katika kufikiri mambo. Tuje kwenye mada sasa... Mimi naomba kupewa bei ya mshine za kuchanganya rangi za nyumba mana nimeuliza huko mitaani sipati jibu la uhakika ila naamini humu siwezi kukosa jibu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kuchanganya siasa na soka, Simba wametukosea sana Watanzania

    Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini. Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi. Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na...
  13. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro sio sehemu ya makazi ya binadamu bali ni hifadhi ya wanyamapori

    #NGORONGORO SIO SEHEMU YA MAKAZI YA BINADAMU BALI NI HIFADHI YA WANYAMA POLI Naa Joseph #Yona Mwaka 1960 Ngorongoro Ilikuwa na Tembo zaidi ya 2000! Ila leo hii Tembo waliobaki Ngorongoro ni 30! Moja ya utajiri wa kipekee duniani ni kuwa na wanyama Mwitu kama hawa ambao sisi wabongo...
  14. Baraka21

    JamiiForums Tanzania Mashine za kusaga na kuchanganya chakula cha mifugo na za kutengeneza Pellets

    Wakuu nauliza mashine za bei rahisi hasa hizi local za kusaga, kuchanganya na kutengeneza pellets za mifugo kwa hapa Tanzania zinapatikana wapi na kwa bei gani? Nataka hizi ndogo kabisa zinazotumia umeme wa single phase. Sitaki majibu ya agiza China, ninajua China ipo na local zipo nataka hizi...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya maonyesho ya biashara sabasaba vya Mwalimu Nyerere, visiwekewe sanamu la Magufuli, ni kuchanganya Magufuli na Nyerere

    Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu Magufuli. Magufuli atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage. Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na Magufuli , sanamu hili kuwekwa...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kuchanganya chanjo za COVID-19 kunaongeza ufanisi

    Njia ya kuchanganya chanjo za Covid -19 kwa kutumia chapa mbalimbali za chanjo ya Covid kwa dozi ya kwanza na ya pili - inatoa kinga nzuri dhidi ya virusi vya janga hilo, utafiti wa Uingereza umebaini. Majaribio yalitazama ufanisi wa dozi mbili za Pfizer, AstraZeneca na Mchanganyiko wote...
  17. Najiona Mimi

    JamiiForums Tanzania Wale wataalamu wa kuchanganya perfume/body spray

    Kwa wale wataalam wa kuchanganya hayo manukato na kupata harufu ambayo ni nzuri haikeri na inakaa muda mrefu, embu tupeni formula mchanganyiko upi ni best kwa maoni yako?
Back
Top Bottom