kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 4

    GE2025 Unaenda vipi kwenye Uchaguzi nchi ikiwa katika alert kubwa namna hii?

    Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia. Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele. Leo wenda vijana wetu katika...
  2. Ni nchi gani nyingine kubwa imewahi kutawaliwa na nchi ndogo hapa Afrika?

    Ukiacha li nchi hili tunalolijua ambalo lina watu milioni sabini lakini linatawaliwa na kanchi kenye watu milioni 2 nanusu! Nchi hilo ambalo limejaa wajinga wengi, yani tofauti ya msomi na asiesoma tofauti yao ni makaratasi tu. Kubwa jinga ambalo kwake gharama za matibabu na nishati ni ghali...
  3. T

    Elimu kubwa vs Mafanikio ya maisha

    Simaanishi kusoma hakuna maana, bali unaweza kusoma sana kwa kiwango kikubwa cha elimu lakini ukaja kukuta kitu kilichokufanya ukapata mafanikio ya maisha kwa kuwa na utajiri hata havihusiani na elimu uliyosoma. Kuna kijana wa kisomali nilisoma nae mpaka chuo kikuu, na akaendelea mpaka...
  4. Tetesi: Kuna mtu anadai kuonesha epl na ligi zote kubwa kwa bei ndogo facebook

    Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
  5. Kwanini Foxy Brown yupo underrated kwenye game la HipHop hapewi heshima kubwa anayo stahili

    Kwa nini game ya HipHop upande wa kina dada haimpi heshima kubwa sana Foxy Brown ?
  6. S

    CPU mashine kubwa kabisa na mpya HP 290 G4, SSD ndani

    IMEUZWA
  7. I

    Usipuuze Sauti Hizi 6 Kutoka Kwenye Kompyuta Yako — Ni Dalili Kubwa ya Hatari

    Kompyuta yako si kifaa kinachofanya kazi kimya kabisa. Ndani yake kuna fans, diski zinazozunguka, na sehemu za kielektroniki ambazo kwa kawaida hutoa sauti ndogo. Lakini pale sauti zinapobadilika ghafla kuwa kubwa zaidi, za ajabu, au zisizo za kawaida, hapo ndipo tatizo linaanza. Leo tutaeleza...
  8. Ningekuwa na uwezo na kuruhusiwa na mamlaka ningejenga sanamu kubwa la TRUMP, SHEIKH ZAYED na NETANYAHU

    Sheikh Zayed wa UAE. Trump wa US Netanyahu wa Israel
  9. M

    Wanajeshi wa Afrika wana tatizo kubwa la ushamba wa kuonesha ubabe kwa raia, kama mtu kakosea akamatwe sio sawa kumpiga au kumdhalilisha hadharani.

    Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
  10. Usiombe kuangalia mechi kwa TV alafu kuna jirani yako yeye anasikilizia kwa redio pia kaweka sauti kubwa , inakera mnoo.

    Mjini redio zinafanya nini? si mrudi kijijini mkalime.
  11. Ifahamu Wizara ya Usalama wa taifa ya China na majukumu yake kwa nchi hiyo kubwa Duniani

    https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa. Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
  12. Police nyie ni jamaa zetu na ndugu zetu pia. Punguzeni kutumia nguvu kubwa tunajua mpo kazini

    Ndiyo police nyie ni ndugu zetu na wengine ni marafiki zetu na jamaa zetu pia. Tunajua nyie mko kazani lakini punguzeni kutumia nguvu kubwa pasipo na ulazima. Tukio la leo mahakamani sio tukio la kiungwana watanzania bado ni watu ambao wanaelekezeka bila hata kutumia nguvu kubwa. Tutawatia...
  13. WaNigeria elfu ishirini wakusanyika kushuhudia ubwabwa wa jollof kuwahi kupikwa katika sufuria kubwa zaidi duniani!

    Huko Nigeria mpishi mmoja aitwaye Hilda ameweza kuwakusanya raia 20,000 Waafrika wenzake wa nchi hiyo wakati katika tukio lake la kupika wali wa jollof katika sufuria kubwa zaid lillovunja rekodi ya ukubwa duniani.
  14. GE2025 Nguvu wanayotumia CCM kukusanya watu kwenye mikutano ni kubwa mno na inawatesa

    GT Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana. Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi...
  15. Je ofisi nyingi za umma zile kubwa ziko bugged na vinasa sauti na kamera za Siri?

    Hapa naulizia swali tu Kwa hapa Ethiopia.
  16. GE2025 Ethiopia, Bwawa la Umeme kubwa zaidi kwa fedha za ndani na michango huku CCM wakichangisha Bil.86 kwa ajili ya Kampeni alafu tuunanuna Umeme Ethiopia

    Siku zote nasema. Bila kuwaondoa CCM madarakani, Tanzania tutakuwa tunacheza biashara ya pata potea kila siku. Nchini Ethiopia, Serikali yao wamekamilisha ujenzi wa Bwawa la Umeme kubwa zaidi Afrika kwa kutumia fedha za ndani na michango ya Wananchi wao hasa Diaspora. Hayo yakifanyika, hapa...
  17. Ukiongalia idadi ya Guests ambao wapo online , ni kubwa sana leo licha ya watu kutumia VPN

    Muda mwingine serikalini kuna watu wanashangaza hawaoni kuwa wameipa Promo JF ya bure Ebu tazamane maudhurio yalivyo Makubwa Leo muone wenyewe.
  18. Nawaombeni mpigie mstari hiyo sentensi isemayo...''kama hakutakuwa na Maelekezo mengi''.... kisha ichambue kwa kutumi Akili Kubwa ili uielewe

    ''Yanga wameamua kuwapa Singida Black stars silaha Khalid Aucho na Clatous Chama ambazo hata wao wenyewe zinaweza kuwadhuru siku ambayo watakutana kama hakutakuwa na maelekezo mengi ,Singida wana timu bora sana kama watamuacha mwili apange kikosi chake mwenyewe kwa namna ambavyo anataka yeye...
  19. Siri za Masoko: Jinsi ya Kufanya Bidhaa Zako Zinunuliwe kwa Faida Kubwa

    Changamoto kubwa ya kilimo na ufugaji si uzalishaji – ni soko. Wengi hufanya kazi kubwa shambani au bandani, lakini mwisho wa siku bei ni ndogo, wanunuzi hawapo, au madalali ndio hunufaika. 👉 Siri ni hii: Soko si mahali, ni maarifa. Ukiwa na taarifa sahihi za bei na mahitaji, hupotezi...
  20. Sabaya onyesha kuwa na njaa na dhiki za kisiasa. Atamka hadharani kuwq hata akipelekwa gerezani kwa uonevu CCM ni dude kubwa

    Huu ni upumbavu na ujinga. Unapelekwa gerezani kwa kesi ya unyag'anyi wa kutumia silaha ya kubumba. Alafu unasota gerezani mpaka unakuwa hoi Unatoka gerezani na mahakama inathibitisha kuwa haukufanya kosa la kunyag'anya mali kwa kutumia silaha. Kwa upuuzi na dhiki za kisiasa unatamka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…