kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania tanzania imeingia kwenye Nchi 5 zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV duniani

    Kwa mujibu wa makadirio ya kimataifa ya hivi karibuni hizi ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV South Africa – Takribani milioni 8.3 India – Takribani milioni 2.5 Mozambique – Takribani milioni 2.4 Nigeria – Takribani milioni 2.0 Tanzania – Takribani...
  2. JamiiForums Tanzania Ninaliona tatizo kubwa kwa kamati ya kuu ya ulinzi na usalama wa Taifa letu, HAYA matamko ya wanasiasa ni ushauri wao kweli? 29/10 mlikuwa wapi?

    Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
  3. JamiiForums Tanzania UTAFITI MDOGO: ASILIMIA KUBWA YA WANA JF NI INTROVERT

    Wakubwa hawakosei na Jumapili njema. Nimeamka na bandiko lenu wakuu. Nimejiuliza kwanini wana Jf wanatumia ID's za kificho. Na tabia mojawapo ya introverts ni kufanya vizuri anapokuwa peke yake. Ndiyo maana kuna watu kwenye real life wanashindwa kujielezea vema ila hapa ni uhuru wa manyani...
  4. JamiiForums Tanzania Maandamano ya vijana tarehe 22 Oktoba 1966 dhidi ya 29 Oktoba 2025: Nyerere akili kubwa hakumwaga damu.

    Kwa mujibu wa rekodi za kihistoria, yalifanyika maandamano siku ya Jumamosi, 22 Oktoba 1966. Hapa chini kuna mfuatano wa matukio kwa tarehe: 4 Oktoba 1966: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria iliyofanya National Service (JKT) kuwa ya lazima kwa wahitimu wa Kidato cha...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la Serikali ya CCM ni Denial

    Kwa ufupi kabisa, mpaka sasa Taifa la Tanzania limeshapoteana. Sababu kubwa ni CCM kushindwa kuelewa kuwa Generation has changed, na hata modality ya kuongoza nchi na kuchanganua mambo inapaswa kubadilika. Modality ya kutisha tisha raia, kuteka watu ilianzishwa na Nyerere na inatumika hadi...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Heshima Kubwa, Dr. Leakey Tuna Ombi Moja Tu: Anzisha Podcast Yako

    Leo nilipita mitandaoni nikakutana na comment ya mtu mmoja, nadhani ni watoto walioanza kufatilia mpira juzi. Alikuwa anauliza, "Huyu Mzee Leakey ni nani?" Hakuwa anamfahamu. Kilichonivutia si swali lake, bali sababu iliyomfanya atake kumjua. Alisema amevutiwa na uwezo wa Dr. Leakey kuuchambua...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Barabara za Sumve: Miaka 31 Bila Rami!

    Tanzania hii kama Kuna majimbo yaliyobaguliwa basi ni Jimbo la SUMVE wilaya ya KWIMBA mkoa wa Mwanza. Jimbo hili toka uchagaguzi wa kwanza wa vyama vingi vya siasa Tanzania 1995 mpaka waleo hii limekuwa na wabunge watatu pekee lakini halijawahi kuwa hata na millimeter 1 ya kipande cha rami hii...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Pamoja na changamoto kubwa ya uongozi tuliyonayo lakini nimegundua nimegundua wananchi wengi nao ni Changamoto baada ya kuung'oa mfumo ovu kazi bado

    Ndugu zangu, mara nyingi tumekuwa tukilaumu uongozi kwa matatizo mengi yanayoikabili nchi yetu. Ni kweli, kuna changamoto kubwa za kiuongozi. Lakini kadri ninavyoangalia kwa undani, nimegundua jambo moja muhimu: wananchi wenyewe ni sehemu ya changamoto hizo. Tukumbuke, viongozi hawaanguki...
  9. JamiiForums Tanzania Changamoto kubwa ya mtoto kutokukaa kwa wakati

    Wasalaam wataalam, Mtoto wangu mpendwa ana miezi nane ila mpaka sasa hajakaza kukaa mwenyewe kabisa ana uwezo wa kukaa dk mbili mpaka tano baada ya hapo anaanguka. Ndugu zanguni napata msongo Mkubwa wa mawazo kutokana na hali yake je ni kawaida au vp? NB: Alipata changamoto wakati anazaliwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la Vijana Omba omba mitandaoni ni kubwa sana fanyeni kazi

    Nina Mwaka sijaingia Jf Kwakuwa nilikuwa busy nimeingia nakupa SM zaid ya 200 hivi kwanini msifanye kazi ? Unamuombaje hela mtu mtandaoni ambaye humjui
  11. JamiiForums Tanzania Anayefikiria kujiunga na Savanna Fibre kuwa makini sana

    Kutokana na uzoefu wangu binafsi, nashauri mtu yeyote anayefikiria kujiunga na Savanna Fibre kuwa makini sana kabla ya kufanya malipo. Nilifanya malipo kwa matarajio ya kuunganishiwa huduma kwa muda uliotajwa, lakini hadi sasa nimepitisha zaidi ya miezi miwili bila kupata huduma kama...
  12. JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Vinywaji: Fursa Kubwa Kama Utaanza Kwa Njia Sahihi

    Biashara ya kuuza vinywaji ni moja ya biashara zinazoweza kuwa na mzunguko mzuri wa fedha, hasa ukiifanya katika eneo lenye wateja wa uhakika. Vinywaji kama Konyagi, K-Vant, mvinyo, bia, soda, maji na vinywaji vingine vinaweza kuwa na soko kubwa kwenye maeneo ya makazi, karibu na migahawa, baa...
  13. JamiiForums Tanzania Hili la msaada wa milioni 900 za DIPD kwa Chadema ni kashfa kubwa isiyofunikika

    Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana. Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukosefu wa Vifaa kwa Wapima ARDHI (land surveyors) ni sababu Kuu ya kuwa na gharama kubwa katika Upimaji Ardhi

    Mimi ni mmoja ya watu wanao amini katika ARDHI hasa zile ambazo hazijaendelea wengi hupenda kuita mapori au bush huko ndio mahali huwa napenda kutupia visent vyangu. sina tofauti na mtu anae bet kwa muhind maana unaweza nunua pori leo baada ya miaka kadhaa unakuja unaambiwa nusu ya eneo lako...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna maeneo na taasisi kubwa msije shangaa sio mali ya serikali wala mnawatagemea kuwa ni mihimili

    Usione ubabe wa Chalamira jua kuna jambo linakuja mtabaki mkijiuliza nguvu kapata wapi. Ndio maana lolote likitokea kama litafanikiwa mtaanza kuvuta picha ya nyuma .Hii code naogopa maana inaweza kufanya mauwaji na utekaji mkubwa ndani ya mfumo kuhisi kuna kuvuja. Ila tambueni mtoto kama...
  16. JamiiForums Tanzania Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo ni tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya - Mbeya

    Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo umeendelea kuwa tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Makala hii inaangazia sababu kuu zinazochochea kasi ya upotevu wa misitu katika wilaya hiyo. Kilimo cha Tumbaku na Nishati ya Kuni Sehemu kubwa ya misitu ya...
  17. JamiiForums Tanzania World cup 2026 timu kubwa zote mbovu?

    Nilianza kuangalia world cup toka game ya kwanza Timu Kama Brazil, German Spain zote mbovu Brazil hii na Ile ya 2014 hakuna tofauti German pamoja na kushinda 7 Jana lakini mpira mbovu. Muda huu nipo nawaangalia spain utadhani ni Tunisia iliyochangamka. France nayo baada ya kufunga na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Maono ya Watanzania na ya Serikali yana tofauti kubwa sana

    Pamoja na mifumo sasa ni wazi kabisa maono ya serikali fake ya Tanzania na Watanzania wenyewe ni tofauti sana Serikali bado inataka mfumo wa kizamani lakini Watanzania wamebadilika na mfumo mzima hauendani kabisa na matakwa ya watanzania. Ushahidi ni katiba . Watanzania wanataka katiba mpya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Familia ya Rostam, Mwenyekiti Halmashauri ya Monduli kwenye kashfa ya rushwa

    Mdogo wa Rostam Aziz, Akram Aziz akishirikiana na Mwenyekiti wa Hamsahauri ya Longido, Thomas Ngobei, na yule wa Monduli, Kisioki Moitiko wanadaiwa kumwaga mamilioni ya fedha za rushwa ili kuteka maelfu ya ekari za ardhi ya Wilaya za Longido na Monduli mkoani Arusha. Akram ambaye pia...
  20. JamiiForums Tanzania Kama una pua kubwa utupishe.

    Haiwahusu wale wa POOR infrastructure.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…