generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 401
- 660
1-Vijijini na hata mijini bado kuna watu hata hawajui kama nafasi ya makamu wa rais imefanyiwa mabadaliko
2-bora hata wazee na miranial wengi wao wanajua kuhusu hizi habari
.....utafiti usio kuwa rasmi umeonyesha Gen z ndo kabisa hawajui kinachoondelea wao wanasema bora liende hao viongozi hawachangii chochote ktk maisha yao
3-vijiwe vya kahawa baadhi wanazungumzia habari za vita uko iran, michezo na burudani uku wakidai kuzungumzia siasa hasa hii ya hapa bongo ni sawa na kumchonoa simba
4-wengne wanasema vita inapikwa soon moto utawaka
wacha nirudi mzigoni tutaonana badae wadau............loading.............