A
Anonymous
Guest
Tunapata changamoto kubwa katika huduma ya Mwendokasi kwenye ruti ya Kimara–Mlonganzila. Gari linaweza kuchelewa kufika kituoni kwa muda wa saa mbili hadi tatu, hali inayowasumbua sana abiria.
Tunapokwenda kuulizia kwa kiongozi wa kituo, mara nyingi tunapokea majibu yasiyoridhisha, ikiwemo kuambiwa kwamba kama huwezi kusubiri, upande bajaji.
Tunaomba mamlaka husika kulifuatilia suala hili na kuboresha huduma ili abiria wapate usafiri wa uhakika na wenye ufanisi.