Wasalaam!
Kwa kweli hili jambo limekuwa linanipa shida sana tena kwa muda mrefu! Ni kwanini kusafirisha mizigo kutoka Japan kuja Tz ni gharama kubwa?
Mfano: Mzigo usiozidi 2kg utasafirisha kwa $30 by Sea freight, $230 by UPS na $295 by DHL! Why is it so expensive?
Tena kwa njia ya Sea freight...
Watu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia ingekuwa ni maneno tu ya watu, basi ahadi alizozitoa Mungu kwa Israeli zisingetimia kwa usahihi wa...
Hii imekuja baada ya papa kiongozi huyo wa dini kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo.
Ambapo baada ya kutoka hospitali ameonekana kuwa tofauti kabisa na awali, licha ya kusema alizungumza na watu zaidi ya 1,000 baada ya kupona, ila hapa wanasema wanamfundisha baadhi ya maneno!.
Inasemekana...
Nimepata habari Kuna parking ya magari kubwa itakayokua na hoteli na super makert ambayo inatarajiwa kujengwa kibaha misugusugu shule je kuna ukweli kugusu Ili jambo ama alieniambia kanidanganya nimeona niulize humu jamii forum sababu ni kisima Cha maarifa Ili tuweze
Wasalaam
Vyama vya upinzani msiwe kama manabii wa utapeli waliojazana mijini
Mtaji wa CCM ni ujinga wa watu wengi walio vijijini...huku mjini mnakubalika sana...ushahidi ni kabla ya Mhe. Mwendazake...mtaji wa CCM ni vijijini
Wao huwatishia kuwa amani ndio jambo la msingi na endapo chama...
Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio South wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.
Wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na...
Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni...
Barcelona wamepanga kuweka dau kubwa la kutaka kumnunua tena Lionel Messi kabla ya msimu wa 2026/27, kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Argentina.
Messi alihudumu Barcelona kwa zaidi ya miongo miwili huko Catalonia kuanzia mwaka 2000 mpaka msimu wa joto wa 2021, akijiunga na Paris Saint-Germain...
Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.
Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi.
Yanga...
Watu husubiri mpaka masaa 2 kwenye vituo vikubwa na muda mwingi vituo vingine, mfumo wa watu kugombania kupanda gari za mwendokasi kwa vituo vya kimara, Morocco, Gerezani na Kivukoni ni mfumo hatari sana kiusalama. Watu wanaumizana sana na hata kuvunjika.
Gari linaweza fika kwenye hivyo vituo...
Moja ya taifa lililofurahia kwa kuvunjwa kwa sauti ya Marekani (VOA) ni China ambayo imesema redio hiyo kwa lugha zote kubwa duniani ilikuwa ni kiwanda cha hadhithi za uongo.
Katika hatua za hivi karibuni alizochukua raisi Trump ni kufukuza kazi wafanyakazi wote wa VOA na kuifanya taasisi hiyo...
Mama Samia sasa anaenda kukata mzizi wa fitna kstika rushwa zinazotokana na Ardhi.
Kamishna wa Ardhi na Idara yake nxima inalalamikiwa sana katika suala la rushwa ilinkuhudumiwa kupata uhalali wa Ardhi.
Wafanyakazi chini ya Idara hii wana ukiritimba wa kutisha, ili kutengeneza mazingiraya...
Hili suala limeakaaje? Yani kukutana na mtu anakwambia ana miezi 7 haja sex ni kawaida tu na yuko kwenye ndoa!
Wanawake wengi wamekuwa kama makuku ya broiler, hawana hamu kabisa ya kusex.
Huu utafiti nimeufanya kwenye coments za wanawake kwenye video moja ya Criss Mauki kule facebook. Lundo...
Katika misimamo ya ki-conservative, majemedali hawa wanataka marekani iwe marekani ya viwango vikubwa bila ya kupoteza asili, utamaduni na chapa yake ya kuwa nchi yenye nguvu zaidi duniani.
Wamekuwa maadui kwa wafuatao:
Mashoga
Transgenders
Wanaofanya abortion
Wahamiaji holela
Wavushaji wa...
Wakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema.
Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani hii, na kwa miaka kadhaa nimejifunza na kupata uzoefu wa hali ya juu katika kutengeneza pombe kali...
Kundi kubwa liloshindwa kabla ya ushindani limeteleza kwenye Upotoshaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Jimbo Moshi mjini....
Kundi Hilo limeathirika kwa kushindwa kujinadi nini watafanya na kwanini aliyekupo hajamaliza mnampiga vita na kutusi na kukejeli KAZI za kutekelezwa...
Uwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana.
Bei ya chini jeneza sikosei ni laki na kitu mpaka milioni.
Linapotokea swala la msiba wengi huwa hawataki kuuliza mara mbili kuhusu bajeti ya mazishi sababu wapo kwenye majonzi.
Kwa haraka haraka wauza majeneza hawakadiliwi kodi na...
Wakuu , naomba kupata ufafanuzi wa kitaalamu .
Ikiwa Jimbo ni kubwa je kinachohitajika zaidi nini kati ya haya.
Tume ya huru ya uchaguzi -kuligawa jimbo .
Au serikali kuelekeza bajeti kubwa ya kulihudumia hilo jimbo?
Maana ikiwa tutaligawa Jimbo maana yake tunaenda kuongeza idadi ya wabunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.