kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuchukue tahadhari kubwa, Wakenya mbioni kutuletea Coronavirus Tanzania!

    Serikali ya Kenya, japo imesimamisha ndege zake za KQ kwenda China, imekuwa ikiruhusu abiria kutoka China kungia nchini humo bila kuwa na tahadhari zozote zaidi ya kuwapima joto wanapowasili uwanja wa Jomo Kenyatta au kuwadhibiti katika kile kipindi cha siku 14. Hii imezua taharuki kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Angalia akili kubwa inavyotawala akili ndogo

    Ukweli ni kwamba mtandao wa mawasiliano ya kompyuta ulimwenguni "Internet" hakuna mtu anayeumiliki. Waasisi wa mawasiliano ya internet ni jeshi la marekani katika mawasiliano ya vita ya pili ya dunia. Baadaye akatokea jamaa mmoja namkumbuka jina lake la mwisho "Lee" akauboresha kwa ajili ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa uamuzi huu wa kumfungia Paul Makonda kuingia Marekani sasa ni rasmi hawezi kuwa rais wa Tanzania, waziri mkuu, waziri wa mambo ya nje wala balozi

    NILIWAHI KUSEMA MAREKANI IKIPIGA CHAFYA DUNIA INAUGUA MAFUA Pole Paul Makonda! Kwa uamzi huu wa kumfungia Paul Makonda kuingia Marekani sasa ni rasmi hawezi kuwa rais wa Tanzania, waziri mkuu, waziri wa mambo ya nje wala balozi katika nchi yoyote ya Ulaya. (Nitafafanua). Wakati wa matamko ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wanaohamia CCM kutoka upinzani wanafanya hivyo kutafuta vyeo na masilahi mengine, wakiyakosa wataendelea kubaki?

    Nipe historia ya KANU, UNIP ya Kaunda etc! Historia ni mwalimu mzuri. CCM imesismama (kama kweli imesimama) kwa vile inapendwa na wanaohamia au ni kwa vile kuna "marupurupu" yanafuatwa? Kwangu mimi CHADEMA imesismama pamoja na kutokuwa na nguvu ya dola kwa vile walioko wana nia ya dhati na...
  5. JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mvua kubwa mikoa 12 ikiwamo Dar es Salaam

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza hali mbaya ya hewa kwa siku tano kuanzia leo Jumatano Februari 12, 2020. Taarifa ya TMA imeitaja mikoa inayotarajia kunyesha mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ni mikoa ya Lindi, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, Pwani, Dar es Salaam...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tukiwa jamii iliyostaarabika, lipi ni kosa kubwa na zito zaidi kwetu kati ya kuua mtu au kuchana kitabu cha dini kama Quran au Biblia?

    Ukituhumiwa kuua mtu, (au kumnyang'anya mtu haki yake ya kuishi) tunategemea utafikishwa mahakamani na kujibu mashataka ya kosa la kuua. Inawezekana kabisa, hukumu ya kesi yako ikawa ni kuachiwa huru kwa kuwa katika ushahidi uliotolewa ulionyesha labda ulisingiziwa, au uliua kwa kujitetea maisha...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kuongeza idadi ya maafisa wa JWTZ kwa kasi kubwa

    Zamani ukifika kambi ya jeshi maafisa we jeshi ni wakumulika kwa tochi. Kambi kubwa ina askari mia 5 lakini maafisa jumla yao utawapata 5 tu. Majukumu yaliyopaswa kufanywa na Meja yalikuwa yanafanywa na Kapteni au Luteni kutokana na kukosekana nguvu kazi. Lakini sasa hili tatizo linapotea...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na miradi mingi ya ujenzi na yenye thamani kubwa sana. Kenya yafuata

    Wakati serikali ikiendelea kuwekeza katika miradi mikubwa ya maendeleo hasa katika sekta ya miundombinu, ripoti ya ujenzi ya The Africa Construction Trends Report (2019) iliyoandaliwa na Kampuni ya Deloitte kutoka nchini Uingereza inaonesha kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Utalii una fursa kubwa sana ila njia tunazozitumia ndio zinatufanya tusifaidi matunda ya utalii

    Utalii ni mpana sana una vitu vingi sana ambavyo kuulewa inataka muda. Na si kila mtu anaweza fanya kazi katika taasisi za utalii ile ni professional kufikia hadi level ya PhD. Kwa mfahamu wa wengi wetu tunawafahamu tu waongoza watalii (tour guides), receptionists katika hotels ambao wamefanya...
  10. JamiiForums Tanzania Ifahamu PROM NIGHT, tamasha kubwa la kutoana bikra linaloandaliwa mashuleni kila mwaka huko Marekani

    Tamasha hili huandaliwa maalum kabisa kwa ajili ya wanafunzi wa 'high school seniors / juniors' ambao wanamaliza shule na hivyo hukusanyika kama njia moja wapo ya kuagana na kupongezana. Katika hatua za awali za Tamasha hili huanza kwa kupiga picha za pamoja baina ya marafiki na wapenzi...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wetu hawajui kuwa Tanzania ni nchi kubwa sana Kimataifa! Tanzania ina rekodi ya kipekee Duniani bado haijavunjwa!

    With due respect, naomba niseme kuwa Tanzania viongozi wengi hawajui ukubwa na umuhimu wa nchi ya Tanzania kwenye jicho kuuu la Ki mataifa. Naomba niwakumbushe yafuatayo: Rais Bill Clinton akiwa madarakani aliwahi kutembelea Tanzania Rais Bill Clinton akapokelewa kijiti na Rais George Bush...
  12. JamiiForums Tanzania Ukerewe yalalamikia bei kubwa ya umeme, wananchi wanalipa 2,500 kwa unit 1 ya umeme

    Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard Kalemani ametoa maagizo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella kuhakikisha anafuatilia gharama za umeme zinazotozwa kwa wananchi wa kisiwa cha Ukerewe mkoani humo. Imeelezwa leo bungeni kuwa Watumiaji wa umeme katika Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nina kazi kubwa ya ofisini ya 'ku type' lakini nimeona nipige picha then na convert kwenda PDF then kwenda Word then

    .....na copy na ku paste words, lakini imekataa ku copy wala ku paste words toka kwenye picha. Yaani inakuwa km ina copy picture yote badala ya ku copy words peke yake, maana Mimi nina shida na words nilizopiga picha Wajuvi naombeni muongozo wenu. cc: ma chief wote wa jukwaa la tech.
  14. JamiiForums Tanzania Mvua ya mawe kubwa kuwahi kutokea duniani

    Mwaka 2017, Shirika la hali ya hewa duniani (WMO) lilitangaza mvua kubwa ya mawe kuwahi kutokea duniani. Baada ya uchunguzi wa kina, ilionekana mvua iliyowahi kutokea Uttar Pradesh, India, tarehe 30 April 1888 ndio mvua kubwa kuwahi kutokea duniani, na ikaingia kwenye rekodi ya dunia ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida kubwa 10 za kuwa na kitambulisho cha taifa

    1. Vitasaidia kuongeza wigo wa mapato ya Serikali. 2. Vitasaidia kumtambua mhusika kirahisi anapohitaji kupatiwa huduma katika taasisi mbalimbali kama vile benki, taasisi za mikopo na huduma za afya. 3. Vitarahisisha kuwatambua wakwepaji wa kurejesha mikopo kutoka kwenye benki na asasi...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania kwa nini haihamasishi mauzo ya nyama ya punda China wakati soko liko kubwa mno?

    China nyama ya punda na ngozi za punda zina soko kubwa mno. Kwanini serikali haihamasishi ufugaji mkubwa wa punda Tanzania na kuanzisha minada ya punda?
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kama haya matokeo ni ya kweli tuna shida kubwa

  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais anapewa hadhi kubwa Bungeni

    LIMEULIZWA swali katika group moja la WhatsApp ambalo nimo, nimelijibu kule ila kwa faida ya wengi, nalitolea ufafanuzi na hapa. Swali ni kwa nini Rais ambaye ni Mkuu wa Serikali anapewa hadhi kubwa ndani ya Bunge ambao ni mhimili mwingine, lakini Jaji Mkuu hapewi wakati ni kiongozi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kama idadi ya wanaokutembelea nyumbani kwako ni ndogo, usitegemee kupata traffic kubwa mitandaoni

    Kanuni ndio hiyo, Mafanikio yako mtandaoni yanapimwa na mafanikio yako in the real World! Ukitaka kuwa na accounts kama Youtube insta mategemeo ya kupata watu wengi wa kutembelea pg yako yanaakisiwa na namba ya wanaokutembelea kwako au hata kukucheki kwenye simu.
  20. JamiiForums Tanzania Maneno: Silaha kubwa ya Mwanamke na jinsi inavyochangia Ukatili Majumbani "Domestic Violence" wakati ingeweza kutumika otherwise

    Kuna Mjadala mkali sana Unaendelea twitter, kuhusu domestic violence. Ukihusisha watu wa kawaida, celebrities, Twitter influencers wadau wa haki za wanawake "Feminist" nchini Tanzania. Mjadala umechagizwa zaidi na video ya mdau mmoja, ambaye alionekana akimpiga vibaya mke wake, ni mtu ambae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…