kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kuwa na Mbunge kama Musukuma ambae anadhania kuwa Mbunge ni kinga ya kutokukamatwa kama akifanya makosa ya jinai.

    Taifa letu linarudishwa nyuma sababu ya kuwa na wanasiasa wanaojali upuuzi huku wakipoteza kodi za watanzania kujadili masuala yasiyo na na maana Bungeni. Yaani mtu akiwa Mbunge ndio watumishi wake wasikamatwe kwa kupakia samaki waliovuliwa kinyume na sheria? Askari gani ambae hana weledi...
  2. JamiiForums Tanzania TARURA na mfumo wa maegesho kuna tatizo kubwa

    Nakumbuka mwanzo mwezi wa oktoba 2021 mfumo huu ulipokuja ulikuwa na changamoto nyingi mpaka ikabidi usimamishwe kwanza ili kuangalia namna mpya ya mfumo unavyofanua kazi ili kuepusha usumbufu kwa watumiaji wa maegesho.Lakini cha kushangaza mfumo huu umerudi na mbaya zaidi tatizo badala kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Dunia kwa sasa haina tena taifa kubwa

    Kushindwa kwa Urusi kuiteka Ukraine kwa haraka na kukimbizwa Marekani kule Afghanistan na wanamgambo wa Taliban kumedhihirisha kwa mara nyengine kuwa kwa sasa dunia hakuna tena taifa kubwa. Baada ya Urusi kupeleka msururu mrefu wa vikosi vya jeshi vinavyofikia kilomita 4 kuuzunguka mji mkuu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Simu ya tsh 240,000/= kutoka Tecno yenye sifa kubwa zaidi

    Hii ni habari njema kwa watumiaji wa simu janja. Kampuni ya yetu imezindua simu janja SPARK 8C ambayo inapatikana kwa bei poa kabisa ya Tsh 240,000/= kwa SPARK 8C yenye 64GB + 2GB na Tsh 290,000/= kwa SPARK 8C yenye 64GB + 3GB. Katika simu hiyo kuna teknologia ya “Memory fusion”. Unaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili ya ile ya Tanzania?

    Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu? Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60. Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++. Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili zaidi ya Tanzania?

    Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu? Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60. Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++. Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Bandari Salama, bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria

    Kishindo kikuu 'Bandari Salama', bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria. Kaa tayari kujua. Kuna jamaa kaandika; "It's our Vessel called Frontier Ace is coming direct from Singapore carrying 4342 units. Accordingly to Vessel Captain tomorrow morning at 0900Lts confirmed will be...
  8. JamiiForums Tanzania Je, unadhani 'Bunge Live' imerejeshwa kwa moja ya sababu ipi labda Kubwa hapa?

    1. Kuwaambia Watanzania kuwa Hayati Rais Dkt. Magufuli alikuwa ni Dikteta na ana Roho Mbaya sana? 2. Kumtafutia Sifa na Umaarufu Rais wa sasa Samia kwa Gharama ya Maamuzi ya iliyokuwa Serikali ya Rais Hayati Rais Dkt. Magufuli ambayo Rais wa sasa Samia nae alikuwa ni sehemu yake.? 3...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Simba ni kubwa Afrika. Comments za baadhi ya Waafrika Kusini wakiogopa Simba kupangwa na Orlando Pirates

    Ni vile tu tumezungukwa na majinga sana nchi hii ila simba kwa sasa ishajiweka kwenye level fulani kubwa sana soma mwenyewe comments za wana orlando pirates wakitamani wasipangwe na simba kwenye draw ya kesho.
  10. JamiiForums Tanzania Kinana: CCM ni kubwa kuliko Serikali

    "Kasema CCM sio chombo cha serikali, CCM haitokani na Serikali, ila Serikali zote mbili (Tanzania na Zanzibar) zinatokana na CCM, CCM haipokei maagizo kutoka Serikalini, ila Serikali inapokea maagizo kutoka CCM, hii ni kupitia ilani na sera zilizotungwa na viongozi mbali mbali wa Serikali!" Huu...
  11. JamiiForums Tanzania Jambo kuu nililojifunza kutoka kwa awamu ya tano. Vijana waliprove wrong kweye nafasi kubwa za uongozi

    Hakika vijana walitukosea sana, waliongoza taasisi ama nafasi zao kwa mihemuko bila kufuata taratibu. Hii siyo kwamba vijana hawafai kupewa madaraka la hasha Bali vijana wengi walioaminiwa na Magufuli ama walikuwa hawakuandaliwa kuwa viongozi ama Magufuli alikuwa anawapa maelekezo ya namna ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Ya Mtaa Tupieni Jicho Kundi kubwa la watoto wanaoishi Daraja La Kijazi

    Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  14. JamiiForums Tanzania Kwa 'Kafara' Kubwa na la Hatari tulilofanya ukithubutu kwenda Kuwapokea Gendamarie kwa 'Kiherehere' chako tusilaumiane

    Wewe mwenye Chuki na Simba SC na umeshajiandaa Kuwapokea akina Gendamarie tafadhali hakikusha ukienda Uiage kabisa Familia yako na uache Maagizo Ukifa kutokana na Kafara la hali ya Juu tuliyoifanya Simba SC ambalo halitaacha Kitu chochote kile au Mnafiki yoyote yule mwenye Nia mbaya ya Kuihujumu...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Jambo kubwa alilofanya Ndugai Jimboni mwake ni lipi?

    Wengi wanamkumbuka kwa kuchukia washindani wake. Ama iwe ndani ya Chama au wa nje ya Chama. Hapendi kabisa kushindana. Huyu ana mbinu ya KiMasai ukimshinda ni bifu kubwa mno hivyo hata fimbo anakulamba nayo ukikaa kizembe zembe. Kwa sasa mjadala ni mkubwa Jimboni kwake. Wanatamani kama vile...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kuwavalisha sare za shule matabibu Ni fedheha kubwa mno.

    Swala la kuwavalisha matabibu sare za shule Kama wanafunzi wa sekondari Ni fedheha kubwa mno Inawashushua heshima pia hata mgonjwa anakuwa hayupo comfortable kuguswa na mtu aliyevaa sare za sekondari Angalau libuniwe vazi lingine la tofauti kabisa na sare za sekondari Kama sare za watu...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Tamasha kubwa la Wavuvi laja

    Tamasha kubwa litakalojulikana kwa jina la Wavuvi Festival &Culture Tourism Tanzania liko njiani kufanyika kwa siku mfululizo jijini Dar es Salaam likiwa ni la kwanza katika historia ya nchi. Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo, Alphone Mkama, Wavuvi Festival litafanyika kwenye Ufukwe wa Coco...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Marekani kupeleka Ulaya Cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia ile waliyokuwa wananunua Urusi

    Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia. Source: BBC
  19. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yafanya majaribio makubwa tangu 2017

    Korea kaskazini imeripotiwa kufanya majaribio yake makubwa zaidi ya makombora yake ya (Intercontinental ballistic missiles) makombora yenye uwezo wa kuvuka bara moja hadi jingine Majaribio haya nimakubwa zaidi tangu Mara yamwisho kufanya hivyo mwaka 2017, huku makombora hayo yakiwa na uwezo...
  20. JamiiForums Tanzania Serengeti Lager kubwa inafoka

    Ni kwa mda mrefu kidogo nimekua nikiwa nchini Tanzania natumia bia ya Serengeti Lager, hii ni vile taste yake kidogo inakalibiana na bia ya balozi ya Kenya. Sasa kwa kipindi hiki nina kama week moja na nusu niko nchini na nikiitisha hii bia waiter akifungua inafoka, na inamwagika kama 25% hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…