Kubadili pesa ya kigeni

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
720
943
Wajuvi mimi ni mfanyakazi wa hoteli sina muda mrefu kwenye hii kazi nilipewa DIRHAM 200 pesa ya UNITED ARAB EMIRATES baada ya kumkaribisha vizuri mgeni wa kiarabu
Je wapi naweza kubadilisha hizi pesa maana nasikia benki nyingi hawabadili
IMG_20210902_212820.jpg
IMG_20210902_212849.jpg
 
Nenda airpot DSM mkuu ,,,

Mm nilikuwa na yuan 1500 nilihangahka nazo Sana hadi nilipoenda airport nilikuwa na shida fulani nikakuta jamaa wanaba dirisha fedha karibu zote dunian nam nikafanikiwa sababu nilikuwa natembea nazo kwa wallet yangu kila niendako

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Yuan ila haisumbui kubadili,mjini duka nyingi zinabadili..
 
Nenda airpot DSM mkuu ,,,

Mm nilikuwa na yuan 1500 nilihangahka nazo Sana hadi nilipoenda airport nilikuwa na shida fulani nikakuta jamaa wanaba dirisha fedha karibu zote dunian nam nikafanikiwa sababu nilikuwa natembea nazo kwa wallet yangu kila niendako

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu sijawah kufika airpot ni ile mpya au ya zaman je wanahitaji kitambulisho?
 
Airport ni moja mkuu ila kuna terminals mbili. Nenda terminal yoyote, TERMINAL 1 AU 2. Nenda na kitambulisho, unaweza kuulizwa na usipoombwa kitambulisho inshallah. Ukishindwa nicheki PM nikusaidie kuinunua ila kwa discount. Asante
 
Mkuu mm ilikuwa wakat wa magu anafunga Yale maduka ya kubadilisha pesa niluhaha Sana s mliman city city center kariakoo had bank nako Mambo yakawa magumu

Nilileta had uzi humu kuomba msaada

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa alikuwa kivuruge kwa mtafutaji wa maisha yeyote. Wanaomshabikia waangalie vizuri . Utawakuta ni wa hivi hivi tu
 
Mkuu mm ilikuwa wakat wa magu anafunga Yale maduka ya kubadilisha pesa niluhaha Sana s mliman city city center kariakoo had bank nako Mambo yakawa magumu

Nilileta had uzi humu kuomba msaada

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Asikwambie mtu, kile kipindi kilikuwa cha "mashetani" kweli. Mimi pia nilikuwa na Indian Rupee. Nakumbuka kuna mtu aliniambia hukohuko ulipo badilisha uje na USD, nikajidai sina muda. Nilipokanyaga tu naambiwa Mwendazake kafunga maduka, na kazi ya kubadilisha kaitwisha Posta (sitokuja kusahau rate niliyokutana nayo)!!
 
Back
Top Bottom