Kuna kitu nilifanya mwaka jana ambacho watu wengi waliniona kama nacheza mchezo wa ajabu kidogo.
Nilikaa siku 100 nzima bila kuangalia saa.
Hakuna sababu maalum. Sikuamka asubuhi nikasema tu moyoni, “leo naanza.” Nikajiambia nione kama inawezekana kuishi kawaida kabisa bila kujua muda ni saa...
Africa sijui tutakuja kuamka lini aisee
Unaona viongozi wanapambana sana na Internet linapofika suala la mambo ya msingi mustakabali wa maisha yetu na kutaka haki na utawala bora. Ukweli ni kwamba aidha watake au wasitake hawawezi kupambana na teknolojia. Mwanzo walianzaga hivihivi, wakaanza...
Natafuta kazi za kuangalia Nyumba kama vile usafi nakutuzia Nyumba mpaka pale utakapokuja ikiwa na mtu wa kuangalia, pia kama una chochote kile kulinda hapo Nyumba hapo pia nitakilinda ,
Miaka mpaka kumi nakaa kuangalia ulinzi na kazi zingine nafanya pia, pia wenye hotel naangalia mazingira...
Wakuu
Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa?
Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ukatili uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
Chanxo; Risch, Shaheen...
Mtoto anakimbia na mama yake anapigwa shaba anakufa taratibu huku anaona analia mama amka..?
Kijana anakufa taratibu wakati utumbo wote umemwagika nnje??
Watoto wanalia mamayao kafuatwa hadi ndani kapigwa shaba wanalia juu ya damu iliomwagika???
KWASASA SITOANGALIA VIDEO NYINGINE KWA...
1: THE GOOD SHEPHERD
Mwamba anachukuliwq kutoka chuo ili kuwa sehemu ya CIA, anaanzia kazi nyumbani kugundua maspy wa kinazi marekani hadi kupelekwa ujerumani kupambana na maspy wa kirusi. Jamaa ni mtiifu kwa CIA hadi ilifikiwa wakati alimuua mchumba wa mtoto wake baada ya kugundua ni spy...
Heri nusu shari kuliko shari kamili
Punyeto na porn ni mambo mawili ambayo yamekuwa tatizo kubwa hasa katika zama hizi za teknolojia za smartphones unazoweza kutumia ndani ya blanketi, chooni, vyumbani, n.k..
wengi wanaopiga punyeto wamejikuta wakiingia kwenye uraibu mwengine wa kuangalia...
Bodi ya ligi wamepitisha kanuni za kuendesha ligi msimu huu
Moja ya kanuni za ovyo ni kumpata bingwa Kwa kuangalia H2H badala ya goals different, au kuzingatia ushindi wa michezo ya ugenini
Binafsi naona ni utaratibu wa ovyo maana kwenye ligi hazishindani timu 2, wangechukua kigezo cha Goals...
Unahama kutoa sehemu A kwenda B, kuna umuhimu wa kuangalia utapakana na majirani wa aina gani?? Kabila au dini zao?? Financial status??
I'm just asking.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.