Utafiti: Inaripotiwa kuwa vifo zaidi ya 7,000 hutokana na miandiko mibaya ya Madaktari

King Mufasa

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
2,082
2,000
Kulingana na tafiti ya the Institute of Medicine (IOM)- 2006, majeruhi 1.5 million kila mwaka hutokana na wafamasia ,waudumu wa afya kushindwa kusoma maandiko ya madaktari. Vifo zaidi ya 7000 hutokana na mgonjwa kupatiwa dawa isiyo sahihi tofauti na maelezo ya madaktari.
14.jpg

Muda mwingine hata madaktari wenyewe hushindwa kusoma nini wameandika kwenye maandiko yao wenyewe, hata hivyo sababu kubwa ya kuwa na miamdiko hiyo ni kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaotakiwa kuonwa kwa muda mchache, notes na prescription zinazotakiwa kuandikwa kwa muda mfupi.
 
swahiba Senior

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
2,283
2,000
Binafsi huwa wananikera Sana, kwa nini wasiandike tu maneno yanayosomeka vizuri? Hiyo Sababu hata sikubaliani nayo, hakuna Cha wagonjwa wengi Wala nini ni upumbavu tu hasa hawa wa kwetu Afrika.
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,778
2,000
Kulingana na tafiti ya the Institute of Medicine (IOM)- 2006, majeruhi 1.5 million kila mwaka hutokana na wafamasia ,waudumu wa afya kushindwa kusoma maandiko ya madaktari. Vifo zaidi ya 7000 hutokana na mgonjwa kupatiwa dawa isiyo sahihi tofauti na maelezo ya madaktari. View attachment 1790219
Muda mwingine hata madaktari wenyewe hushindwa kusoma nini wameandika kwenye maandiko yao wenyewe, hata hivyo sababu kubwa ya kuwa na miamdiko hiyo ni kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaotakiwa kuonwa kwa muda mchache, notes na prescription zinazotakiwa kuandikwa kwa muda mfupi.
Mkuu, inasemekana watu wenye muandiko mbya wana akili sana. Wanafikiri zaidi ya kuandika.
Madokta wengi huchagukiwa kutokana na kuwa na akili nyingi.
Hata wanasaysnsi wengi hawana mwandiko mzuri wala mpangilio wa kuandika ubaoni.
Watu wa art wengi wana mwandiko mzuri, ila kichwani sio smart sana kama wanasayansi(fact).
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,778
2,000
Kwa hio mnataka mjue walichokuandikia ili mfie hospitali.
Akikuandokia kuwa Ini lako limeoza lote utafika nyumbani kweli.
 
kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
3,462
2,000
Kulingana na tafiti ya the Institute of Medicine (IOM)- 2006, majeruhi 1.5 million kila mwaka hutokana na wafamasia ,waudumu wa afya kushindwa kusoma maandiko ya madaktari. Vifo zaidi ya 7000 hutokana na mgonjwa kupatiwa dawa isiyo sahihi tofauti na maelezo ya madaktari. View attachment 1790219
Muda mwingine hata madaktari wenyewe hushindwa kusoma nini wameandika kwenye maandiko yao wenyewe, hata hivyo sababu kubwa ya kuwa na miamdiko hiyo ni kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaotakiwa kuonwa kwa muda mchache, notes na prescription zinazotakiwa kuandikwa kwa muda mfupi.
Siku hizi ni computerized
 
Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
7,767
2,000
Dokta unakuta amecharanga charanga havisomeki umafika kwa pharmacist unampa anasoma anajifanya kaelewa anakupa dawa kameze kutwa mara 6.

Huna jinsi, unakubali tu unasepa.
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,729
2,000
Kuna mmoja alikuwa anagombania mwanamke na dakitari mwenzake aliyekuwa na pharmacy binafsi, siku moja akamwabia mwanamke yule jamaa (Mwenzake mwenye pharmacy) hata kusoma hajui, kama huamini kesho mpelekee cheti hiki akupe dawa uone kama ataweza kusoma, akachorachora hicho cheti yule mwanamke akapeleka, yule mwenye pharmacy akasoma akampa dawa yule mwanamke, akarudi kwa yule dakitari kumwonyesha dawa alizopewa, akamwambia"unaona kuna dawa nyingine hapo hajaziona nilikuambia hajui kusoma mimi nikiandika ni watu wachache sana hapa mjini wanaoweza kusoma"
 
Rockefeller

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
527
1,000
Natakiwa ku attend wagonjwa 30 kwenye foleni alaf nirembe mwandiko kweli?

Na kwenye emergency napo nirembe mwandiko?

Kuna kama code zinatumika ambazo zinaeleweka na health care providers wote ni vitu vichache sana huitaji clarification kama mtu hajaelewa.
 
mysterio

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
5,816
2,000
Naomba yeyote aandike tena hayo maandishi, mimi nimeona ni uchafu. Lakini kwanini ufanyie kazi kitu ambacho ujakielewa? that is also foolishness
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom