kuamini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Malalamiko yetu wana ndoa

    Jamani msituchoke sisi ambao tupo kwenye ndoa pale tunapokuwa tunatoa malalamiko yetu kwenye mitandao ya kijamii Wengine ndo njia yetu ya kuondoa stress any way jana usiku nilinyimwa tendo la ndoa na mke wangu naumia sana
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa mujibu wa Dini zote tulizoletewa; Hakuna dhambi wala Karma kumtenda ubaya mtu asiye jamii yako, ndugu yako. Waafrika tuache kuamini kwenye ujinga

    KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA. Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Mtibeli. 1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya. 2...
  3. Chibike

    Niueni! Nimekaa paleee. Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa AFCON itafanyika nchi ya Kusadikika

    Tazameni uhalisia wa mambo unavyoenda. Nchi zinazokaribiana na nchi ya Kusadikika ukiangalia project zao wako very serious na hawana porojo. Ukiangalia nchi ya Kusadikika ni kama vile tuko tu shega tu Naiona nafasi kubwa ya mwamba PK inayosifiwa kwa WAREMBO afrika nzima kupata nafasi mbadala...
  4. Mr Beach Boy

    Nahisi kichefuchefu na uchafu kuoa mwanamke asie na bikra. Ntakuwa wa mwisho kuamini bikra haina maana kwenye ndoa

    Mbaya zaidi hujui ameshaliwa na wangapi kwa style karibia zote.. Hujui ametoa mimba mara ngapi Hujui watu waliopita nae Alafu aje kuniletea watoto alafu niwapende Siwezi Mtu ana makovu ya kusalitiwa alafu nije kumpa relief aaah neverrrrrr Kwa jinsi nilivyojitunza na uvulana wangu nahisi...
  5. M

    Sijui nimepatwa na hali gani, kila mwezi nilikuwa nahesabu mzigo ila imepitai miezi 7 sijahesabu, nikitaka kuhesabu naahirisha au kupatwa na uchovu ?

    Mwaka unaisha huu sijahesabu mzigo miezi zaidi ya saba, kila nikitak kuhesabu naahirisha, nikifosi nakuwa sina mood kabisa. hapo zamani kila mwezi nilikuwa nahesabu
  6. ankol

    Sitaki kuamini kua mkeka huu unachanika!

    Vipi tuendelee kusikilizia? Au ni cash out? Yaani timu moja tu ya mwishooni inachana mkeka!!
  7. K

    Naanza kuamini kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi wanajutia sasa

    Hapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa. Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru kimejaa majuto sana ,wanatamani muda urudi nyuma wafanye maamuzi sahihi. Unawezaje kukosoa kitu...
  8. kagoshima

    PostGE2025 Ninacho kiona ni CCM kuamini wao ndio wamiliki wa Tanzania

    Hii inchi ilikuwepo kabla ya ccm na TANU hivyo itaendelea kuwepo hata ccm itakapokua imekufa kabisa, maana sasa iko ICU ikishikiliwa na vyombo vya dola. Hivyo, ni kosa kwa ccm kuamini kwamba wao ndio wamiliki wa Tanzania na vyote vilivyomo. Na hivyo kujifanyia wanavyotaka hadi kuvuruga...
  9. mcTobby

    Sitaki kuamini kama kuna Makaburi ya halaiki

    Wazee hili swala la Makaburi ya watu ya pamoja ni tuhuma nzito sana. Labda itokee tu serikali (inasingiziwa). Kwamba watu wauliwe ,then ili kupoteza ushahidi wa idadi ya watu mnawazika kwenye makaburi ya pamoja kwa siri itakuwa one of the big Mistake ever committed. Watu wangerudishiwa miili...
  10. M

    Sijawahi kuamini kwa Tanzania tumefikia level ya majambazi wa kukodi, hawa huwa ni ndugu au watu wa karibu sana

    Kwa nchi za nje kuna huduma maalum za hitmen, hawa ni kazi zao rasmi kabisa Ila kwa Tanzania haya mambo bado sana, labda iwe kwa matajiri walio connected lakini kwa asilimia kubwa haya matukio na kesi za kutumiwa majambazi ukichunguza kwa karibu huwa ni wanafamilia au ndugu.
  11. Richard

    Nimeanza kuunganisha doti kwamba Lucas Mwashambwa ni Abdul Halim Hafidh Ameir mwenyewe au mtu alie karibu nae kumsaidia kwenye PR.

    Bado nafanya uchambuzi wangu kumhusu huyu Lucas Mwashambwa khasa baada ya kuendelea kutoa mada zake mbili baada ya kuapishwa waziri mkuu Mwigulu Nchemba na baada ya hotuba ya raisi mteule aliepatiana kwa wizi wa kura Samia Hassan. Moja ya mada zake mbili za hivi karibuni ni hii ya leo alotoa...
  12. The Father of All

    Kwa unyama wa Oktoba 29, sijui wala kuamini kuwa polisi wetu ni binadamu kama sisi

    Hivi kweli polisi wetu ni binadamu au mashetani yenye sura za binadamu? Natamani nao walipwe hivyo hivyo na si kwa kungojea Mungu bali kuwalipizia kisasi bila kujali nani alihusika wala hakuhusika. Sijui kama hawa viumbe wanastahili kuishi hata sekunde moja.
  13. W

    Madeleka: Watu wakiacha kuamini Mahakama tutakosa pakukimbilia

    Wakili Peter Madereka anaongea muda huu na vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali ya kesi zinazoendelea mahakamani.
  14. Setfree

    Naendelea kuamini kuwa Mungu hasemi uongo. Alisema ukiibariki Israeli, utabarikiwa. Ukiilaani, utalaaniwa. Ushahidi huu hapa

    Mungu alimwahidi Ibrahimu akisema: “Nitawabariki wakubarikio, na atakayekulaani nitamlaani” (Mwanzo 12:3). Kauli hii haikubaki historia tu, inajidhihirisha mpaka leo kwa mataifa na watu binafsi. Marekani ni mfano wa taifa la watu waliobarikiwa kwa sababu wanaiunga mkono Israeli. Tangu...
  15. Kimbesa11

    Proved: kumbe ni AI bwana si polepole, chadema kama mnaweza kuamini hata Midori basi viongozi wakuu wa chadema wajitathimini.

    Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya. Inakuwaje chadema inakuwa na...
  16. H

    Je, bado kuna Waafrika wenye akili wanaoamini kuwa Uislam na Ukristo ndiyo dini za kweli za Mungu?

    Habarini, Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini. Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza...
  17. Nyani Ngabu

    Naanza kuamini yale niliyoyahisi mwaka 2021!

    Baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ile mwaka 2021, kuna uzi niliuanzisha nikihoji kifo chake. Uzi wenyewe ni huu hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/fixed.1847493/ Nilihoji kwa kutumia hisia tu maana sikuwa na ushahidi wowote ule. Ila sasa nimeanza kuipata picha jinsi ilivyo baada...
  18. H

    "KUAMINI" ni mashaka bali ni "KUJUA"

    Ni uvivu tu wa kufikiri na kutambua kuwa KUAMINI kitu ni mashaka badala yake ni KUJUA ni kujua kitu. Waafrika wengi wamepotoshwa kuwa kuna kumwamini yesu na muhamadi ambao ni njia ya kwenda kwa Mungu. Inakuaje uamini kitu ambacho hukijui iwapo tunaamini kuna kufa kwa sababu tunajua watu...
  19. ELI COHEN

    JAMII CHAT: Uchawi ni sayansi ya kuunda miujiza au ni technique ya kufanya akili kuamini matokeo yametokana na miujiza?

    Karibuni:
  20. C

    Kuamini JK anamsaada kwenye taifa hili ni kujidanganya

    Ndivyo ilivyo JK mambo yake yanaenda wala hajali na ya wahuni wenzake nao mambo yao yanaenda hivyo wahuni wameshikamana na wamekuwa na nguvu na wakiachwa wakajijenga zaidi hali itakuwa mbaya zaidi kuja kuirudisha nchi kwenye mfumo wa kutawalika vizuri
Back
Top Bottom