Kafara ya kuchana mkeka ni vifo
Akili kubwa kunywa bia nakuja kulipaNimekuja kugundua, watu wengi tunashindwa kutimiza malengo na ndoto zetu kwa sababu tunategemea FATE Ndo ituamlie badala ya CAUSE AND EFFECT.
kwa ufupi ni WISHFUL THINKING vs CAUSE AND EFFECT.
Tukitaka matokeo fulani ni lazima tuyasababishe sisi wenyewe sio kuombea yatokee by default