kuachiwa huru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Etwege

    Lengai Ole Sabaya kuwa huru?

    Mh rais Samia, sisi wana CCM tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali basi tunakuomba pia uguswe na umwachie aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai...
  2. Lady Whistledown

    Ethiopia: Wadau wa Haki za binadamu watoa wito kwa wafungwa 9,000 kuachiwa huru Tigray

    Shirika la kutetea haki za binadamu nchini humo limetoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa maelfu ya watu wa Tigray wanaozuiliwa katika kambi mbili katika eneo la kaskazini-mashariki la Afar tokea Desemba 2021 kinyume cha sheria. Inaelezwa kuwa ukosefu wa huduma za kimatibabu katika kambi hizo...
  3. M

    Baada ya Sabaya kuachiwa Huru nashauri 'mnaoshadadia' kutwa kuwa Makonda nae akamatwe achaneni nalo kwani 'System' bado inawahitaji na inawakubali

    Kikubwa tutafuteni tu Hela za Kutunza Familia zetu ila Kuwashadadia akina Sabaya na Makonda kuwa Wafungwe Maisha au ikiwezekana Wanyongwe ili mfurahi na mridhike ni Kupoteza muda Wenu kwani hawa Watu 'System' iliwatumia huko nyuma na huenda hata Kuachiwa kwa huyu Sabaya Kuna 'Operation'...
  4. kavulata

    Rais Samia ameupiga mwingi kuachiwa huru Mbowe

    Chuki huzaa chuki, heri huzaa heri na kicheko huzaa kicheko. Kwenye sakata hili la Mbowe kuachiwa huru wa kushukuriwa hapa ni Rais Samia full stop. Kama Rais JPM angekuwa bado Yuko kwenye kiti jambo hili la kuachiwa Mbowe kwa namna hii lisingewezekana. Ndugu zangu Tanzania imepata kiongozi...
  5. Kichwamoto

    Ni nini hasa tafsiri ya kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe? Tuangazie mizania hizi

    Habarini wana JF, Naomba nichokoze maada, je nini kiwe tafsiri ya kuachiwa huru kwa F. Mbowe. Je ni 1. Win-win situation? 2. Win-loose situation? 3. Loose-win situation? 5. Loose-loose situation? Na je, ni tafsiri ipi ioanishishwe sambamba na mtazamo wa nyakati za sasa, za kati na za...
  6. The Palm Tree

    Kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe na wenzake hakuna sababu nyingine isipokuwa ushahidi wa Jamhuri kutothibitisha mashitaka

    ASIKUDANGANYE MTU, kwa propaganda yoyote kuwa DPP kutangaza kutokuwa na nia ya kuendelea na mashitaka ya tuhuma za ugaidi na uhujumu uchumi dhidi ya M/Kiti wa CHADEMA - Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake eti ni kwa sababu zingine zozote zile bali ilikuwa ni suala la muda tu siku hii ifike...
  7. Naipendatz

    Kauli ya kwanza ya Mbowe baada ya kuachiwa huru

  8. Nyendo

    Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Baada ya upande wa Mashtaka kufunga ushahidi wao na kuialika Mahakama kutoa hukumu ndogo na kisha mahakama kuwakuta watuhumiwa na kesi ya kujibu mnamo Februari 18 2022. Leo 04, Machi 2022 ni siku ya watuhumiwa kuanza kujitetea kutokana na tuhuma wanazotuhumiwa nazo. Awali Mahakama iliwakuta na...
  9. J

    Wakili Sungusia: Haki Jinai haina utaratibu wa mtu aliyewekwa muda mrefu Mahabusu kudai FIDIA pindi anapoachiwa huru au DPP kutoendelea na kesi

    Wakili msomi Halord Sungusia amesema sheria za Tanzania hazijaweka utaratibu wa mtu aliyewekwa mahabusu kwa muda mrefu kudai fidia pindi itakapobainika aliwekwa mahabusu kimakosa, akishinda kesi au DPP akiamua kutoendelea na kesi. Hii imeumiza watu wengi sana lakini ndivyo utaratibu wa sheria...
  10. Chachu Ombara

    Baadaya James Rugemalira kuachiwa huru, Mwanasheria wa IPTL kuendelea kusota rumande mpaka Desemba 23

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Septemba 16, 2021 imemwachia huru Mkurugenzi wa VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemarila baada ya Mwendesha Mashitaka wa Serikali kufuta mashitaka 6 ya uhujumu uchumi yaliyokuwa yanamkabili tangu mwaka 2017. Mbali na...
  11. Leak

    Rais na DPP ni matarajio ya wengi kuwa Mbowe atafikishwa Mahakamani au kuachiwa huru

    Mh Rais mashitaka dhidi ya Mbowe na wenzake yanashitusha sana watu wengi na hata wale ambao kwa vyovyote si mashabiki wa Mbowe au CHADEMA na ni mashitaka ya juu sana mtu kutuhumiwa nayo hasa mtu wa karba ya Mbowe kwa hiyo matarajio yetu ni kuwa serikali na DPP walishajipanga kumpeleka Mh Mbowe...
  12. M

    Nasubiria Ole Sabaya aende Kuachiwa Huru, ili niwalaumu Watanzania wa Mitandaoni kwa kuwa Wanafiki na Waongo

    Nianze Kwanza kwa Kuwapongeza baadhi ya JF Members ambao nakumbuka walisema tena hapa hapa JF kuwa aliyekuwa DC wa Hai Ole Sabaya atakutwa hana Hatia na kuwa Huru. Binafsi kiumakini kabisa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa hii Kesi na kwa yanayoendelea huko Mahakamani nami naungana na wale JF...
  13. Q

    Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

    Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya. Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020. Mdude...
  14. I

    Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani

    Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA SHEIKH MSELEM SHEIKH FARID WAKO NYUMBANI ZANZIBAR Masheikh zetu wawili wako majumbani kwao na familia. Tutaendelea kukupeni taarifa awamu kwa awamu. Lengo ni kutoa taarifa za kweli na zilizozingatia mambo yote muhimu. Aidha viongozi wa...
Back
Top Bottom