Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,772
Nimemkabidhi P Diddy Kwa Yesu tangu Jana. Nimemuachia mwokozi Angie mzigoni na kuzishinda chuki za mabeberu mabaguzi na Diddy awe huru Leo.
Na kijana wetu mwafrika mweusi mwenzetu aachiwe huru Na aendelee Na majukum Yake.
Pia namuombea braza Lissu Rais ajaye wa Tanzania 2030 aachiwe huru mara moja.
God bless P Didy and TAML
adriz
Na kijana wetu mwafrika mweusi mwenzetu aachiwe huru Na aendelee Na majukum Yake.
Pia namuombea braza Lissu Rais ajaye wa Tanzania 2030 aachiwe huru mara moja.
God bless P Didy and TAML
adriz