Bayern Munich yajipanga kuachana na Sadio Mane

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Kocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel amekiri kuwa usajili wa raia huyo wa Senegal haujawa na mafanikio kwa kuwa mchezaji ameshindwa kufikia malengo, hivyo anaweza kuuzwa kwa Paundi Milioni 17 ikiwa ni mwaka mmoja tu tangu alipoajiliwa kutoka Liverpool kwa Pauni Milioni 35.

Bayern ina mpango huo ili kuongeza fedha za kumsajili mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane.

Tuchel amesema “Hajafikia malengo, ushindani ni wa kiwango cha juu, yeye mwenywe anajua hilo, anajua maoni yangu na maoni ya klabu.”

Mane.JPG

============ ===============

Bayern Munich coach Thomas Tuchel admits Sadio Mane 'fell short of expectations' - as the German giants seek to offload the forward for £17m just 12 months after joining from Liverpool

Bayern Munich coach Thomas Tuchel has revealed why Sadio Mane is out of favour at the Bundesliga champions.

The German giants are prepared to sell Mane for just £17million this summer in an effort to raise funds for Tottenham striker Harry Kane.

Speaking in his first press conference ahead of the new season, Tuchel revealed why Mane had struggled following his £35m move from Liverpool.

Tuchel said: 'He fell short of expectations.

'The competitive situation is extremely high, the starting position is not easy for him.

'The player knows that too, he knows my opinion and the opinion of the club.'

Mane has endured a turbulent debut season in Bavaria following his £35m move from Liverpool last summer.

The serial Bundesliga champions had hoped to lure Kane to the Allianz Arena for around £70m this week, capitalising on the fact that Spurs could lose their superstar for free next summer when his contract expires.

However, as Mail Sport reported, Tottenham are primed to reject Bayern's second offer and have placed a £120m asking price on the England captain.

Still keen to land Kane now and avoid a frenzy with other clubs at the end of next season, Bayern have reportedly decided to hold a summer fire sale in the hope of strengthening their transfer kitty.

According to Sky Sports in Germany, Bayern hope to raise £17m from Mane, who headlines the seven-man list, £12m from Austrian midfielder Marcel Sabitzer and up to £34m from Barcelona target Benjamin Pavard.

The most expensive player on Thomas Tuchel's transfer list is 21-year-old Dutch starlet Ryan Gravenberch, who is hoped to raise up to £42m.

Meanwhile, Bouna Sarr, Alexander Nubel and Yann Sommer are all expected to depart for fees worth less than £8.5m.

Source: Dailymail
 
Bayern yajipanga?

Mane ana nini mpaka Club kubwa ijipange kumuuza,si suala la kumtia sokoni tu.

Halafu Mane anaweza kurudi kwenye club za Uingereza nadhani kwa aina ya uchezaji wake timu kibao zitamnunua ila siyo zile za top four.
 
Tatizo wewe ni mpumbavu unaingiza dini kwenye mpira

Wazungu hawaangalii dini ya mtu wanaangalia uwezo wako

Waarabu wanauchukulia mpira km chombo cha kutambulisha dini

Apo ndio utajua mwenye akili ni yupi
Waarabu Mungu awabariki kwa kweli, wana imani sana, na ukifuatilia club zao au national team utaona weusi ni wengi, ila wazee wa chuki hawatakuelewa, subiri wakuijie na gear namba 5
 
Wew na bib faiza nimtu nawifi yake eeeh yan warabu wameteka akili zenu

Ndio, kama vile wazungu na mayahudi walivyoteka akili zenu, wengine wakatupiwa ndizi na wengine hufananishwa na sokwe, ushawahi kusikia huu ujinga kwa mwarabu?
 
Tatizo wewe ni mpumbavu unaingiza dini kwenye mpira

Wazungu hawaangalii dini ya mtu wanaangalia uwezo wako

Waarabu wanauchukulia mpira km chombo cha kutambulisha dini

Apo ndio utajua mwenye akili ni yupi

Hebu nionyeshe hicho kipengele nilichoingiza dini kwenye mpira!
 
Tatizo wewe ni mpumbavu unaingiza dini kwenye mpira

Wazungu hawaangalii dini ya mtu wanaangalia uwezo wako

Waarabu wanauchukulia mpira km chombo cha kutambulisha dini

Apo ndio utajua mwenye akili ni yupi
Wanaangalia uwezo? Mbona maguire anacheza?
 
Nitajie nchi yeyote ya waarabu ambayo timu yao ya taifa ina weusi wengi kuizidi ufaransa

Hapa hatupo kushindana, pamoja na hilo unalodai black ni wengi ufaransa, je! Ulishawahi kusikia nchi yoyote ya kiarabu inawabagua/inawatukana/inawanyanyasa na kuwauwa watu weusi? Huko ufaransa na marekani nini kinatokea kwa watu weusi? Ushawahi kusikia mtu mweusi amepigwa risasi? Waarabu Mungu awabariki sana


Bhujiku ng'waka bhabhaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom