kuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Nina mtoto wangu wa kike ana mwaka mmoja na miezi sita, kila alalapo huwa anakoroma sana yaani unaweza ukahisi ni mtu mzima huo mkoromo wake! Je, hii husababishwa na nini? Naweza kumsaidiaje mwanangu aache kukoroma alalapo, maana hata...
  2. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu kuacha kazi kwa kutoa notice ya mwezi mmoja?

    Wakuu kuna sehemu nataka niachie ngazi ili kupata muda wa kufanya mambo yangu mengine. Sasa wakati naplan kuondoka ningependa kujua sheria ipoje kwa upande wangu. Je baada ya kutoa notice ya mwezi mmoja nitatakiwa kufanya kazi huo mwezi bila malipo au nikitoa notice tu inatosha na huo mwezi...
  3. C

    JamiiForums Tanzania August Alsina kuacha kufanya muziki?

    August Alsina kuacha kufanya muziki? Staa wa Pop na Rnb kutoka Marekani @augustalsina Ametangaza kuwa kazi zake mpya zijazo ndio za mwisho kutoka kwake baada ya hapo ataacha kufanya muziki. - Ktk IG Yake aliandika, 'Kwa wote wanaonipa ushirikiano, hizi kazi mpya zitakuwa za mwisho kutoka kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Billy Graham alimsaidia Rais George Bush kuacha Pombe

    Laura Bush anasema mume wake yaani George W. Bush alikuwa mlevi sana. Ikafika kipindi akaogopa akaona hata Urais utamshinda. Lakini Laura Bush hakuwahi kuthubutu kuita press conference kusema "ninyi wamarekani mnamheshimu na kumsikiliza huyu mshenzi mlevi mkubwa? Hamumjui tu". Hakuthubutu...
  5. U

    JamiiForums Tanzania CCM yaitaka wizara ya afya kuacha utendaji wa mazoea

    Hayo yamesemwa leo tarehe 17 Septemba, 2021 na Katibu wa Halmashuri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akiwa Wilayani Mtwara ikiwa ni muendelezo wa ziara ya wajumbe wa sekretariet inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo. "Wananchi hawana matarajio mengine kwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwamba wapo wakuu wa wilaya wameomba kuacha kazi kwa ajili ya majukumu mengine binafsi zina ukweli?

    Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa karibu wa DC mmoja Kanda ya ziwa anaeleza kwamba rafiki yake ameshaomba na ametuma baadhi ya wazee...
  7. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 John Pombe Magufuli, Rais aliyeacha alama kwenye mioyo ya wanyonge na kuacha kovu kwenye kidonda cha Katiba

    Na Elivius Athanas. Ni takribani miezi mitano na siku ishirini na nne (24) sasa, tangu hotuba ya dharura ya Rais Samia Suluhu Hassan itutoe machozi Watanzania, alipokuwa akitangaza kifo cha Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli aliyefariki Jumatano jioni tarehe 17.03.2021 kwa tatizo la...
  8. JamiiForums Tanzania 70% ya wasiotaka chanjo USA wako tayari kuacha ama kufukuzwa kazi kuliko kuchanja

    Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa. Kutokana na covid, makampuni mengi ama taasisi nyingi zinahimiza ama kulazimisha wafanyakazi wao kuchanjwa na mengine...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini sala nyingi ujikita kuombea waliopo madarakani na kuacha vyama pinzani?

    Ukifuatilia sala na maombezi mengi yanayofanywa hasa na viongozi wa dini ya kikikristo ambayo Mimi Ni muumini utaja majina ya viongozi wa kitaifa, kimkoa, kiwilaya na hata mataifa mengine. Katika sala hizo utajwa kwa majina, Rais na Marais wastaafu, Makamu, Waziri mkuu, Jaji Mkuu, Spika ,vyombo...
  10. JamiiForums Tanzania Morison amshauri Haji Manara kuacha tabia za kike

    BM3 wakili msomi amepiga kwenye mshono
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa tisa utakuwa ni mwezi wa balaa na mtifuano ndani ya Club ya Yanga

    Wanakutana na Wanigeria kwenye Club bingwa Africa (1st Leg/2nd Leg) 10-12 September / 17-19 September 2021-WATATOLEWA Wanakutana na SImba Ngao ya Hisani- WATAFUNGWA Unadhani nani atakuwa wa kwanza kuchinjiwa baharini?, Kwa kuwa bado GSM anaendelea kuwa na nguvu na bado anataka kuendelea...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asiwabembeleze Polisi kwenye suala la uonevu kwa Wananchi

    Polisi hawaruhusiwi kisheria kuwapiga, kuwatesa au kuwapa vibano watuhumiwa. Hakuna asiyejua kuwa polisi kinyume cha sheria na pasipokuwa na uhalali wowote huwawapiga, huwatesa, na hata huwauwa watuhumiwa. Hii ikiwamo kufanya hivyo kwa jeuri, dhuluma, na hata kwa makusudi tu. Inafahamika...
  13. JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kuacha Tabia usiyoipenda na kujenga tabia unayoitaka

    Je umewahi kutamani kuacha au kupenda kuwa na tabia zifuatazo? Unachukia sana kunywa pombe lakini hujui jinsi ya kuacha kunywa pombe Unachukia sana tabia ya kuvuta sigara lakini hujui utaachaje Unataka uwe msomaji wa vitabu lakini unashindwa unaona uvivu kila unapojaribu Hupendi somo flani...
  14. JamiiForums Tanzania Mnaojiita Vyama Pinzani Tanzania msipokubali kuacha ubinafsi na kuwatumikia Wananchi kwa Elimu ya Siasa Ikulu mtapasikiga tuu

    CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani wakati umefika sasa mkae chini na kujitafakari! Tena mjitafakari na kuwa wakweli nafsini mwenu kwamba siasa mnazofanya ni kwa maslahi ya familia zenu huku vyama vyenu vikiwa havina hata misingi imara kwa jamii Hakuna mtanzania anayekataa au asiyejua...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona: Kunawa mikono sawa lakini vipi kutumia media kuhimiza watu kuacha kupiga chafya na kukohoa kwa kutumia viganja vya mkono?

    Unajua wakati mwingine wanadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa tena sometimes kwa kukosa maarifa madogo tu. Mfano halisi wa hiki ninachosema ni sisi wanadamu kutumia nguvu kubwa kuhimiza watu kunawa mikono/kutakasa mikono katika kudhibiti maambukizi ya corona na kutumia nguvu kidogo kuhimiza...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga ni bora tusingeshiriki Kagame. Mimi naona kama sisi kuna Kitu tulifanywa tulipokuwa wadogo

    Sisi Yanga kuna kitu tulifanywa kwa kweli. Ni mashabiki wa kipumbavu sana. Yaani week nzima tunahangaika na Manara na Mo. Hatujiandai Wachezaji wetu wapo muda wote busy na mitandao. Insta na twitter kumuunga mkono Manara na kumsema Mo. Tunatolewa mapema mashindano ambayo yangetupa uzoefu wa...
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Manka binti mrembo, Mzaliwa wa Machame na mkazi wa Tandale alivyobahatika kuacha ukahaba mpaka kuwa dereva Ikulu

    Kwa majina naitwa Manka, Mzaliwa wa Moshi Machame, mkazi wa Tandale Dar es salaam. Nilifanikiwa kuanza masomo yangu ya msingi Dar, na kufanikiwa kujiunga masomo ya Sekondari shule wanafunzi wenye vipaji maalumu Tabora Girls, ambapo nilisoma mpaka kidato cha nne, na kufanikiwa pia kuendelea na...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini, kuna wimbi kubwa la vijana kuacha kazi ndani ya kipindi hiki cha miaka 7

    Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini. Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa viongozi wa CHADEMA: Lissu awataka wahisani kuacha kuisaidia Serikali

    Mwamba kaungurumu.
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge ataka kuwe na utaratibu wa kuchukua fedha M-Pesa, Tigo Pesa kwa watu wanaofariki na kuacha fedha huko

    Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama Tigo pesa, M-Pesa, Airtel Money nk wanazinufaisha kampuni za simu huku serikali ikiwa haipati kitu. Ameishauri serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…