kuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Eti Samia anataka kuacha tabasamu kwa Watanzania. Kwani anaenda wapi?

    Eti Samia anataka kuwaachia tabasamu la kauli mbiu ya PESA kwa Watanzania. Kwamba kila Mtanzania anachofanya kitakuwa ni pesa. Je, yeye pesa hazitaki? Anawaacha Watanzania anaenda wapi? Mbona kama kakata tamaa? Je anataka kutukimbia watanzania? Anataka kwenda wapi?
  2. Hance Mtanashati

    Ushauri kwa watu ambao pombe zinawatesa na wameshindwa kabisa kuacha kwa kila mbinu.

    Kuna mbinu mbalimbali wanapewa watu ambao wanataka kuacha pombe. Mfano wa hizo mbinu wanazopewa lakini mwisho wa siku wanarudi kulekule ni hizi. 1)Kupunguza kiasi cha unywaji. Hapa ushauri wanaopewa ni kupunguza idadi ya pombe au siku za kunywa pombe. Mfano kama alikuwa anakunywa bia 10 kwa...
  3. M

    Watu hawa maarufu walioacha chuo (dropouts), tayari walikuwa na ujuzi, mafanikio na connections nzito, sio kama mnavyodanganyana vijiweni

    Ukweli muhimu ambao watu wengi husahau: Watu hawa hawakuacha chuo wakianza kutafuta mafanikio. Waliondoka chuo kwa sababu: Tayari walikuwa na ujuzi maalum Tayari walikuwa na miradi au biashara inayoanza kukua Tayari kulikuwa na fursa kubwa mbele yao Tayari walikuwa na connections nzito za...
  4. M

    Nasumbuliwa sana na mke wa mtu alienidhamiria bila kuchoka, nawezaje kumfanya ajue haitawezekana bila kuvunja urafiki wetu?

    Kuna binti mmoja, ni mke wa mtu, lakini ananiumiza kichwa sana siku hizi. Mume wake alimfungulia duka kubwa tu awe anakuwa bize, na kwa kuwa hata mimi nina duka katika mitaa hiyo, tulianza kuzoeana kama majirani. Kila nilipopita na kumuona, sikusita kumsalimia na mara nyingi tulikuwa tunapiga...
  5. T

    Arusha: Mtoto ajinyonga na kuacha barua yenye ujumbe huu, 'Mungu mpe bibi hela ya marejesho'

    Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 11, darasa la sita anayefahamika kwa jina la Lightness Mkiindi, mkazi wa Mtaa wa Namayana, Kata ya Ilboru, wilayani Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia akidaiwa kujinyonga Kwa mujibu wa maelezo ya mama mzazi na bibi wa marehemu, siku ya tukio Januari...
  6. M

    Hakuna Shortcut: Hii ndiyo nguzo ya maendeleo inayofanya Rwanda kuendelea kwa kasi kubwa na muda sio mrefu kuiacha Tanzania

    Mods please msihamishe wala kujoin Hakuna Shortcut, Maendeleo yanahitaji nidhamu.
  7. Brayan_Jk

    Kuacha Mkaa na kutumia Taa za Joto kwenye malezi ya Vifaranga : Uamuzi uliobadilisha ufugaji wangu

    Kwa yeyote ambaye amewahi kulea vifaranga, atakubaliana nami kuwa hatua hii ndiyo ngumu zaidi kwenye ufugaji wa kuku. Binafsi, kitu kilichonichosha sana mwanzoni ni kuamka usiku kuongeza mkaa ili kuhakikisha vifaranga vinapata joto la kutosha. Unalala kidogo, unaamka mara kwa mara, na bado huna...
  8. Analogia Malenga

    Mikoa iliyoongoza kwa wanafunzi wa sekondari kuacha shule kwa mwaka 2024

    Kwa Takwimu zinazotolewa na TAMISEMI kuhusu elimu zinaonesha kwa mwaka 2024 jumlay ya wanafunzi 100,109 waliacha shule. Katika idadi ya watoto hao, idadi ya wanawake na wanaume ina tofauti ambapo watoto wa kike walioacha shule ni 49661 na wakiume ni 50448. Mikoa inayoongoza kwa kuacha shule ni...
  9. Pdidy

    Njia za kuacha punyeto

    KUJICHUA ni moja ya changamoto kubwa sana kwa wanaume wengi, na wengi wanajua madhara yake lakini wanashindwa kuacha. Ni kama mnyororo unaokuchelewesha kimaisha na kukupotezea nguvu zako za kiume bila wewe kujua. Kabla hujachukua hatua ya kuacha, ni muhimu kuelewa kwanini unataka kuacha na nini...
  10. Msanii

    Ni maneno mazuri msibani lakini hatuwezi kuacha ipite hivi hivi: Mbowe ni sauti iliyochelewa, au ukweli uliopimwa?

    Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la kuaga mwili. Ulikuwa mahakama ya dhamiri ya taifa. Ilikuwa ni mahali ambapo historia, maumivu, hofu, na matumaini vilikutana uso kwa uso. Katika jukwaa hilo, Freeman Mbowe—mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA—alisema maneno yaliyotikisa mioyo ya wengi...
  11. Genius Man

    Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula

    Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula. Vita ni vita
  12. M

    Tukutane hapa tunaojali Utulivu wa nafsi, uliwahi kuacha kitu gani kiende uwe na peace of mind ?

    NIliwahi kuwa na shida ya ajira nikaenda kiwandani nikafurahia kuambiwa ajira zipo bila rushwa lakini nilipoanza kazi siku ya kwanza tulipelekwa godown, ule mziki wa kubeba viroba si wa kitoto, mimi na rafiki yangu tuliacha viatu na hela, pesa tulikuwa tunaihitaji ila sio kwa mazingira yale...
  13. Imani rubaba

    Mimi ni askari lakini siwezi kuacha

    📌 KUMBUKIZI Tulipata fursa ya kumtembelea Afande Ntale, askari mpambanaji na mwenye maono. Licha ya majukumu yake kazini, hakuona sababu ya kuachana na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa. Kwa kupitia ufugaji huu, ameweza kujenga chanzo imara cha kipato cha ziada, bila kutegemea mshahara pekee. 👉...
  14. mirindimo

    Mlio karibu na Waziri Mkuu mwambieni ajitahidi kuacha kuropoka anaaibisha kiti chake

  15. T

    Nimeweza kuacha pombe. Miaka 4 sasa

    Habari wadau. Nashukuru Kwa wote mlio nijenga juu ya namna ya kuacha pombe nilipoomba USHAURI MWAKA 2022. Naelekea miaka 4 Sasa bila kunywa pombe Nilikuwa mlevi sanaaaaaaaaaaaaaaa wa pombe aina zote za dukani na kienyeji. Nimelewa Toka 2010 mpaka 2022 nimeacha. Mali zimekwisha ila Mimi nipo...
  16. Stability

    Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc. Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
  17. Lycaon pictus

    Jinsi Nyerere alivyofanyiwa hila hadi kuacha kazi ya ualimu

    Kitabu Uamuzi wa busara kinazungumzia maamuzi mbalimbali magumu yaliyofanywa na Mwalimu JK Nyerere na TANU. Kuanzia Mwalimi kujiuzulu kazi ya ualimu, TANU kuamua kutosusia uchaguzi, Mwalimu kujiuzulu ubunge, Mwalimu kujiuzulu Uwaziri Mkuu, Muungano, Azimio la Arusha. Kinapatikana ndani ya app ya...
  18. DR HAYA LAND

    Jinsi ya kuacha tabia chafu usizozipenda

    JINSI YA KUACHA TABIA CHAFU USIZOZIPENDA. {PSYCHOLOGY YA KINA} Kuna wakati mtu hujikuta amechoka na tabia fulani: imekuwa ikimrudisha nyuma, kumshusha heshima, kumdhalilisha kimoyomoyo—lakini bado haiachi. Ataapa kuacha kesho, akishindwa kesho kutwa; aweke mipango, aweke viapo, lakini mwishowe...
  19. M

    Tetesi: Mamia ya Polisi waomba kuacha kazi kutokana na kilichotokea wakati wa uchaguzi

    Taarifa za ndani kutoka jeshi la polisi, ni kwamba zaidi ya polisi 100 wameomba kuacha kazi ya Upolis with immediate effect. Shida kubwa ni walichokiona tarehe 29/10/2025 na hofu ya maandamano ya tarehe 09/12/2025. Jeshi linakataa kuwakubalia. Vikao vinafanyika na viongozi wa kisiasa juu ya...
  20. Genius Man

    Onyo: Zanzibar inapaswa kuacha ubaguzi dhidi ya ndugu zao watanganyika, itawagharimu pakubwa

    Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu. Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
Back
Top Bottom