Nina kosa hapa?

Z kali

Member
May 25, 2022
68
123
Nawasalimu nyote.

Huyu ni binti wa Kizanzibar, ingawa maisha yake ni bara huku, binti wa miaka 19 au 20 ivi, Bado Yuko kwa wazazi, nazan ni mtoto wa mwisho pale kwao.

Pale kwao ni mabingwa wa kutengeneza vitafunwa Sana, na mm ni mteja wao, kwa vile vitafunwa vyao ni pendwa ukichelewa tu uvikuti, Basi ikabidi nimuombe huyu bint namba zake ili Kama nahitaji vitafunwa Basi niwe namuomba aniwekee, na ikawa ivo.

Huyu binti sikuwahi hata kumvunjia heshima hata siku moja, na niliitumia ile namba yake Kama nilivomuambia siku ananipa.

Siku zikapita na niliendelea kumtafuta pale tu ninapohitaji aniwekee vitafunwa na inakuwa ivo tu si vinginevyo.

Sasa huyu binti ana dada ake Kama 22 yrs, karudi chuo mwezi uliopita huu, very beut & smart, namjua kitambo kidogo ila mda mwingi anakuwa chuo, hakai Kai Sana pale kwao huyu dada, na sikuwahi pata mawasiliano yake kabsa japo nilitaman ivo mda Sana.

Huyu dada ndo alinifanya nisimvunjie heshima yule mdogo ake maana nilijua tu nikiharibu kwa dogo ntakuja kumkosa dada ake siku moja, Mana namtamani kitambo, sema sikupata fursa. Dada kamzidi dogo mbali Sana.

Sasa ivi karibuni baada ya sister kurudi chuo nilienda pale kuchek vitafunwa Kama kawaida, dukani namkuta yule wa chuo, moyo ulipiga aisee! Baada ya salamu na story kidogo habar za masomo, Sasa nawaza napataje namba, baada ya kupata huduma nikasema potelea mbali, nikampa simu yangu aandike namba ake, anasitasita kidogo mwishoe anachukua simu anaandika namba zake, bas ile ananikabidhi simu tu Kuna mmama fulani jiran yao alikuwa anafka pale dukani nazan aliona lile tukio, nazani cna hakika,

Basi ikawa ivo natembea narud home nikamtxt kumpa namba angu ile. Basi ikawa ivo bhana.

Kufupisha tu, story story cku zikapita nikamueleza hisia zangu , huku na kule Mambo yakawa fresh

Sasa nilikuwa nawaza Sana kama atajua Nina namba ya mdogo ake vp hawez kuwaza Kama Nina mahusiano nae? VP naanzaje kumwambia hatoniwazia tofauti? Nikajisemea ngoja nitamwambia cku za mbele kidogo, ila ukweli ndo ule kuwa mdogo ake sikuwahi kabsa kujihusisha nae kimapenzi kabsa,

Siku zimepita, dada kaanza kuzama kihisia, charts mda wote, nisipomtafuta ananuna kabsa, kifupi ni ivo tunaingia ile mnaita deep love Kama sijakosea, tushapima na tunda tumekula Mara 1, japo ilkuwa chap fulan sikufaidi

Kimbembe kimeanza juzi Sasa, mdogo ake kanitxt, " kumbe una namba ya sister we noma" nikamwambia Sasa noma VP Kwan Kuna tatzo gan kuwa na namba ake? Ooh dogo akaanza kuwaka eti "Sasa namba angu ulichukua ya nn? Utachukua namba za Kila mtu? Acha uhuni, namwambia sister, namba angu futa," na mengne mengi kidogo, duuu! Sasa nashangaa huyu dogo mbon cjawah mvunjia heshima kabsa!? Mbon kanimaindi ni Kama tuna mahusiano ivi, nawaza Sasa nimwambie sister ake ile ishu ilivokuwa, namchek dada ake ananiambia yuko bize kidogo namchek badae kidogo

Bana nazan ikawa nimechelewa, nusu saa ivi baadae nawasha data naona manzi ananitumia screenshot za mdogo ake, yani mdogo ake hakuwa home ivo dogo alikuwa anamtumia text sister ake kuwa "Z Kali kanitongoza
nimemkataa" na blaa blaa nyingne nyingi za kunichafua na ni za uongo kabsa aisee! Na dogo kanitumia text kibao kuwa niachane na family yao!

Aisee nimepigwa na kitu kizito manzi najaribu kumuelewesha hanielewi kabsa, na kosa kubwa nilifanya sikumwambia Kama nina namba ya mdogo ake kule mwanzon, kifupi Kila kitu kimeharibika ghafla Sana, ngoja niendelee kupambania ili penzi, ukweli nampenda na ukweli dogo kanichoma makusudi kabsa,

Sijui hata amejuaje dogo haya mahusiano Mana dada ake alikuwa bado hajamwambia yyte bado pale kwao, simu yake alisema dogo hata password haijui na huwa hashiki simu yake, ndo nikamkumbuka yule mama jiran siku nachukua namba aliona kitu dakika za mwsho wakati ananirudishia Simu, anyway muwe na usiku mwema
 
Huyo jirani wala hahusiki kabisa, kawaida ya ndugu wa kike huachiana simu zao. Hapo sister ameona sms zako kwenye simu ya ndugu yake ndio akaanza kukutext wewe. Unajua kwasababu gani? Ametaka kujirizisha kama hujamla mdogo wake. Hapo aliposema yupo busy alikuwa anafikiria maongezi yenu ya chat kupitia simu ya mdogo wake.
 
Nimeishia kusoma hapo ulipoandika "nilipo muona huyo binti dukani moyo ukapiga paaaaaa""... Kijana unapoelekea ni pagumu kuliko unapotoka sasa kama unamuona mwanamke moyo unapiga paaa vipi ukikuta mke wako amelaliwa?... Mwanaume inabidi uwe mgumu hata kam demi unampenda vipi, unaonyesha madhaifu yako ndio maana unalialia.
 
Pole mpe muda huyo binti akitulia utaweza kumuelewesha vzur kwa sasa ameshajazwa maneno na mdogo ake ana hasira. Dogo inaonekana alikua ameshaanza kukupenda ameumia kuona upo na sista.
 
Nawasalimu nyote.

Huyu ni binti wa Kizanzibar, ingawa maisha yake ni bara huku, binti wa miaka 19 au 20 ivi, Bado Yuko kwa wazazi, nazan ni mtoto wa mwisho pale kwao.
Unazidiwa akili na katoto ka miaka 19
 
Nawasalimu nyote.

Huyu ni binti wa Kizanzibar, ingawa maisha yake ni bara huku, binti wa miaka 19 au 20 ivi, Bado Yuko kwa wazazi, nazan ni mtoto wa mwisho pale kwao.

Pale kwao ni mabingwa wa kutengeneza vitafunwa Sana, na mm ni mteja wao, kwa vile vitafunwa vyao ni pendwa ukichelewa tu uvikuti, Basi ikabidi nimuombe huyu bint namba zake ili Kama nahitaji vitafunwa Basi niwe namuomba aniwekee, na ikawa ivo.

Huyu binti sikuwahi hata kumvunjia heshima hata siku moja, na niliitumia ile namba yake Kama nilivomuambia siku ananipa.

Siku zikapita na niliendelea kumtafuta pale tu ninapohitaji aniwekee vitafunwa na inakuwa ivo tu si vinginevyo.

Sasa huyu binti ana dada ake Kama 22 yrs, karudi chuo mwezi uliopita huu, very beut & smart, namjua kitambo kidogo ila mda mwingi anakuwa chuo, hakai Kai Sana pale kwao huyu dada, na sikuwahi pata mawasiliano yake kabsa japo nilitaman ivo mda Sana.

Huyu dada ndo alinifanya nisimvunjie heshima yule mdogo ake maana nilijua tu nikiharibu kwa dogo ntakuja kumkosa dada ake siku moja, Mana namtamani kitambo, sema sikupata fursa. Dada kamzidi dogo mbali Sana.

Sasa ivi karibuni baada ya sister kurudi chuo nilienda pale kuchek vitafunwa Kama kawaida, dukani namkuta yule wa chuo, moyo ulipiga aisee! Baada ya salamu na story kidogo habar za masomo, Sasa nawaza napataje namba, baada ya kupata huduma nikasema potelea mbali, nikampa simu yangu aandike namba ake, anasitasita kidogo mwishoe anachukua simu anaandika namba zake, bas ile ananikabidhi simu tu Kuna mmama fulani jiran yao alikuwa anafka pale dukani nazan aliona lile tukio, nazani cna hakika,

Basi ikawa ivo natembea narud home nikamtxt kumpa namba angu ile. Basi ikawa ivo bhana.

Kufupisha tu, story story cku zikapita nikamueleza hisia zangu , huku na kule Mambo yakawa fresh

Sasa nilikuwa nawaza Sana kama atajua Nina namba ya mdogo ake vp hawez kuwaza Kama Nina mahusiano nae? VP naanzaje kumwambia hatoniwazia tofauti? Nikajisemea ngoja nitamwambia cku za mbele kidogo, ila ukweli ndo ule kuwa mdogo ake sikuwahi kabsa kujihusisha nae kimapenzi kabsa,

Siku zimepita, dada kaanza kuzama kihisia, charts mda wote, nisipomtafuta ananuna kabsa, kifupi ni ivo tunaingia ile mnaita deep love Kama sijakosea, tushapima na tunda tumekula Mara 1, japo ilkuwa chap fulan sikufaidi

Kimbembe kimeanza juzi Sasa, mdogo ake kanitxt, " kumbe una namba ya sister we noma" nikamwambia Sasa noma VP Kwan Kuna tatzo gan kuwa na namba ake? Ooh dogo akaanza kuwaka eti "Sasa namba angu ulichukua ya nn? Utachukua namba za Kila mtu? Acha uhuni, namwambia sister, namba angu futa," na mengne mengi kidogo, duuu! Sasa nashangaa huyu dogo mbon cjawah mvunjia heshima kabsa!? Mbon kanimaindi ni Kama tuna mahusiano ivi, nawaza Sasa nimwambie sister ake ile ishu ilivokuwa, namchek dada ake ananiambia yuko bize kidogo namchek badae kidogo

Bana nazan ikawa nimechelewa, nusu saa ivi baadae nawasha data naona manzi ananitumia screenshot za mdogo ake, yani mdogo ake hakuwa home ivo dogo alikuwa anamtumia text sister ake kuwa "Z Kali kanitongoza
nimemkataa" na blaa blaa nyingne nyingi za kunichafua na ni za uongo kabsa aisee! Na dogo kanitumia text kibao kuwa niachane na family yao!

Aisee nimepigwa na kitu kizito manzi najaribu kumuelewesha hanielewi kabsa, na kosa kubwa nilifanya sikumwambia Kama nina namba ya mdogo ake kule mwanzon, kifupi Kila kitu kimeharibika ghafla Sana, ngoja niendelee kupambania ili penzi, ukweli nampenda na ukweli dogo kanichoma makusudi kabsa,

Sijui hata amejuaje dogo haya mahusiano Mana dada ake alikuwa bado hajamwambia yyte bado pale kwao, simu yake alisema dogo hata password haijui na huwa hashiki simu yake, ndo nikamkumbuka yule mama jiran siku nachukua namba aliona kitu dakika za mwsho wakati ananirudishia Simu, anyway muwe na usiku mwema
Oya love is not for everyone..achana nao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom