kosa

KOSA-TV, virtual and VHF digital channel 7, is a CBS-affiliated television station licensed to Odessa, Texas, United States and serving the Permian Basin area. The station is owned by Gray Television, as part of a de facto triopoly with MyNetworkTV affiliate KWWT (channel 30, also licensed to Odessa) and Big Spring-licensed CW+ affiliate KCWO-TV, channel 4 (which is simulcast in high definition on KOSA-TV's second digital subchannel); it is also sister to two low-power stations: Odessa-licensed Telemundo affiliate KTLE-LD, channel 7.5 (which is simulcast in standard definition on KOSA-TV's third digital subchannel and in high definition on KCWO's second digital subchannel), and Midland-licensed Cozi TV affiliate KMDF-LD (channel 30.5). The five stations share studios inside the Music City Mall on East 42nd Street in Odessa, with a secondary studio and news bureau in downtown Midland; KOSA-TV's transmitter is located on FM 866 west of Odessa. The station is relayed on low-power translator K31KJ-D in Big Spring.
On cable, KOSA-TV is carried on Reach Broadband channel 4, and on channel 7 on other systems in the market.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa sana la kiufundi kumteua Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa

    Huenda ni kwa kutotathmini au kushauriwa vibaya kwa CCM kumpendekeza Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, hili litakigharimu kwa kiasi kikubwa sana. Hii ni nafasi ya kukisemea chama kwa wananchi na siyo kwenda kulazimisha baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali kufanya kazi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la kiufundi alilofanya Paul Makonda leo

    Kitendo cha Makonda kutoa hotuba yeye vitisho dhidi ya mawaziri maRC, maDC na maDED leo hii ktk mapokezi yake ni sawa na kuifunga milago ya ufanisi ktk kazi ya uenezi. Vitisho hivi vimetafsiriwa na wengi kana kwamba Makonda bado anasumbulowa na kiburi yes ueuri na ulevi wa madraka...
  3. JamiiForums Tanzania Mama kabandika picha sebuleni ambazo yumo ex, mke kazing'oa. Hapa kosa la nani?

    JE, HUU NI UUNGWANA? Mama wa rafiki alikuja na picha ya frem ili aiweke sebuleni, kwenye picha yupo yeye, rafiki yake mwengine na ex wake. mke wake alipofika nyumbani aliitoa hio picha, mama akaanza kulalamika kagharamika na kutumia muda mwingi kuchagua picha. mama akaanza kumwambia kachagua...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni vigogo gani wanatengeneza jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Stars? Kwanini dola inaogopa kuwachukulia hatua? Wanalipa kodi?

    Nimeona viongozi wa vilabu vya mpira ndio wanahangaika na watu wanaotengeneza jezi feki. Najiuliza ni halali kisheria mtu kutengeneza jezi feki Tanzania? Mbona kwenye bidhaa nyingine watu huchukuliwa hatua kali za kisheria? Au wanaotengeneza ndio vigogo wenye nchi? Tukiendelea hivi haiwezekani...
  5. JamiiForums Tanzania Kosa kubwa tunalolifanya kabla ya kufunga ndoa

    Nimejaribu kutafakari ni kwanini kasi ya kupeana talaka na migogoro ya kwenye ndoa imeongezeka mara dufu katika zama hizi kuliko kipindi chochote kile na nilichokibaini ni kwamba kuna mahali tunakosea. Ikumbukwe kuwa watu wanapoamua kuishi pamoja kama mke na mume au kufunga ndoa ni moja ya...
  6. JamiiForums Tanzania Israel VS Gaza. Kosa dogo tu likifanyika kama halijapangwa nyumba ya pazia, tunaingia WWIII (Nuclear War)

    Baada ya Marekani kupeleka meli zake za kivita zenye thamani ya matrillioni. China na yeye anapeleka karibu na Gaza meli zake za kisasa z kivita nne. Baada ya israel kuharibu uwanja wa ndege wa Damascus na Allepo. Leo dege kubwa la Iran limetua Syria likiwa na shehena za silaha kutumia uwanja...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

    Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake. Mume bora ni nani? Mume bora ni yule anae mpenda na kumjali mke wake na familia yake kwa ujumla. Je dunia inampenda baba bora/mume bora? The evidence says NO. Experience inaonyesha kwamba mwanaume ukijaribu...
  8. JamiiForums Tanzania Kuomba msamaha na kukubali kosa ni janga kwa wadada wengi

    Akijitahidi sana kuomba msamaha utasikia "Sawa basi nimekosa" "Aya basi nisamehe" hapo ni baada ya kumbana kona zote na ameona hamna pa ku excuse. Kwanini? Kwanini inakua shida kukubali kukosea na kuomba msamaha genuinely?
  9. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Jela miaka 60 kwa kosa kubaka na kumpa mimba Mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma October 18, 2023 imemhukumu kifungo cha Miaka 60 Jela, Faraji Milanzi Yasini, (20), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Ruanda - Mkowela Wilayani Tunduru baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la Kubaka na kumpa mimba Mwanafunzi wa Darasa la Saba...
  10. JamiiForums Tanzania Ihefu FC wamefanya kosa gani kwa kuwafunga Yanga SC hadi walaaniwe na wakamiwe kushushwa daraja?

    Msifungwe nyie nani? Wapuuzi wakubwa. Inafungwa Simba SC inayowazudi Kimafanikio kwa Kimataifa, inafungwa Real Madrid FC na hata PSG FC sembuse nyie Washamba ( Wagaigai ) tukuka wa Jangwani na Kigamboni? Sasa kwa taarifa yenu Ihefu FC ipo pamoja na Mwenyezi Mungu, itakuwepo na atailinda dhidi...
  11. JamiiForums Tanzania Dar: Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua mkewe

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salalam, iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, All Balanda Idofulo, kunyongwa hadi kufa, baada kupatikana na hatia ya kumuua mkewe, aitwaye Selan Kondo kwa kumchoma kisu begani. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumanne Septemba 26, 2023 na Hakimu...
  12. JamiiForums Tanzania Kosa la Rais Samia ambalo watanzania wengi hawalitaki ni hili

    Habari Wakuu! Kwanza ijue nchi yako, waelewe Watu wako. Ifahamu jamii yako. Sisi ni jamii ambayo mtu ukifanikiwa utaitwa ni Freemasonry, Tupo kwenye jamii ambayo ukiwa na utajiri unaitwa Fisadi, Jizi au muuza madawa ya kulevya. Tupo kwenye jamii ambayo ukimiliki vimiradi kadhaa au biashara za...
  13. JamiiForums Tanzania Kosa la nani? Nani achukue hatua?

    Karibu wote tunajua kwamba huu ni uongo. Lakini ni wachache sana wanaojua kwa uhakika uongo huu ni nini, unafanyaje kazi na hawa watu wanapataje faida. Ni kama vile ''ile pesa tuma kwa namba hii'' Wengi wanajua kabisa ule ni uongo, ila ni wachache sana ambao hata wanaelewa wale wahuni huwa...
  14. JamiiForums Tanzania TCRA bado mnaendelea kufanya kosa kwenye jina lenu

    TCRA mimi ni mtumiaji wa takwimu zenu, ila angalieni ripoti zenu nyingi mnakosea jina lenu, badala ya kuwa "Authority" mnajiita "Authory" hii inanipa mashaka kama data mnazotoa ziko sahihi ikiwa jina lenu tu mnakosea. Ripoti ya June 2023, mmejiita "Authory" June 2022, mmejiita "Authory"...
  15. JamiiForums Tanzania Paul Pogba asimamishwa kucheza kwa kosa la kutumia dawa za kusisimua misuli

    Kiungo wa timu ya Juventus, Paul Pogba, mwenye umri wa miaka 30, amesimamishwa kucheza kandanda kwa muda baada ya kukutwa na kosa la kutumia dawa za kusisimua misuli. Uamuzi huo umechukuliwa na Mahakama ya Kitaifa ya Italia yenye dhima ya kupambana na matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwilini...
  16. JamiiForums Tanzania Simiyu: Ahukumiwa kuchapwa viboko 8 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu imemhukumu Boniphace Abel (18) mkazi wa Nyashimba Magu Mkoani Mwanza adhabu ya kuchapwa viboko nane (8) kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia majeraha. Mbali na adhabu hiyo, Mshtakiwa ametakiwa na Mahakama hiyo kumlipa...
  17. JamiiForums Tanzania Kosa kutumia pesa usiyoitambua

    Wana JF, Najua kuna wanasheria na mawakili wengi humu ndani. Naomba kufahamu, iwapo mtu amepokea pesa kutoka kwa mtu usiyemfahamu na ukaitoa na kuitumia bila ridhaa yake, je sheria inasemaje kuhusu hili?
  18. JamiiForums Tanzania Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr. Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?

    Wanabodi Juzi September Mosi Imetolewa taarifa ya Ikulu kumhusu aliyekuwa Balozi Dr. Wilbroad Slaa kufutiwa hadhi ya Ubalozi, taarifa hiyo ya Ikulu haikutoa sababu za kumfutia hadhi hiyo ya Ubalozi. Hatua hii imezua mijadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wengi waki speculates sababu za...
  19. JamiiForums Tanzania Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Wakulima wengi wa nyanya wanapata hasara kutokana na kuzalisha nyanya ambazo zimezidi mahitaji ya soko au Sababu nyingine ni uhaba wa masoko ,Kiasi kikubwa cha nyanya zinaoza shambani au sokoni ni kwa sababu wakulima wengi hawana/hawajui jinsi ya kuhifadhi nyanya zao Kwa utafiti wangu...
  20. JamiiForums Tanzania Mapenzi na heshima utayapata kwa mgeni wa mapenzi uliemzidi umri, Tafuta binti mwenye 16 hadi 20, usije kufanya kosa la kuoa mwanamke mliefanana umri

    MUHIMU: Sheria za Tanzania zinaruhusu kuao binti mwenye miaka 15 Kwanza kabisa nisema binti wa miaka 15 sheria zinaruhusu aolewe, ni kwa wakristo tu sheria za makanisa yaliyoanzishwa ulaya hayakuwa na budi kufata sheria za ulaya, kwenye biblia binti akifika miaka hata 13 mwanaume anaweka order...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…