korona

Korona Kielce, Polish pronunciation: [kɔˈrɔna ˈkʲɛltsɛ], (Korona – Crown – symbol of club and city, Kielce – name of city where club is based) is a Polish football club, currently playing in the Ekstraklasa. In the years 2002–08 Club belonged to Polish holding company Kolporter Holding and achieved its greatest success – in 2005, winning promotion to the first division (Ekstraklasa). Since then Korona has spent 5 seasons in Polish soccer top level. In 2006–07 season Korona played in the final of the Polish Cup. As a result of alleged corruption after 2007–08 season Club was relegated to I liga. After a one-year banishment Korona returned to the Ekstraklasa.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Mama mwenye maambukizi ya Korona hawezi kumuambukiza Mtoto kwa kumnyonyesha

    Tafiti zinaonesha kuwa virusi vya Korona haviambukizwi kupitia njia ya kunyonyesha Hivyo mama aliyethibitika au kuhisiwa kuwa na Virusi vya Korona anaweza kuendelea kunyonyesha mtoto wake isipokuwa atazingatia yafuatayo:- Kuosha mikono mara kwa mara na sabuni na maji tiririka au kwa kutumia...
  2. Superbug

    Tanzania Kuna korona tatizo Ni "OLE WAKO USEME" ushahidi huu hapa.

    1. Mwele malechela alitangaza Kuna zika kilichompata tulikiona. 2.Kule sumbawanga walipata ugonjwa wa ajabu mwezi uliopita diwani na dmo walilisemea kwenye media yaliyotokea mliyaona. 3.Kidato Cha nne 2020 walikaa nyumbani nusu mwaka mzima kumbuka walipokuwa mapumzikoni hakukuruhusiwa...
  3. J

    Usivae glovu kujikinga na Korona

    Glovu zinazotumika mara moja huvaliwa katika kazi za kitabibu. Glovu hizi hazina ufanisi katika maisha ya kila siku katika kujikinga na Korona. Usivae glovu katika mazingira ya kawaida kila siku kama vile unapofanya manunuzi. Kuvaa glovu kunaweza kukufanya ujihisi kuwa upo salama hali ambayo...
  4. S

    Mnasikia tu Tanzania tuna korona ,ukweli hatuna ukweli huu hapa.

    Dunia ya utandawazi utasikia mengi ,si unasikia Tanzania tuna corona mbona tupo shwari,yaani kama ingekuwepo unakisia mamilioni ingelikuwa wameshapoteza maisha ,au unaonaje? Angalia nchi zilivamiwa na korona unajua yametokea vifo vingapi ? Kwa maelfu.malaki na mamilioni na wanaziidi...
  5. funluverx

    Baada ya 'Korona' unadhani amsha-amsha itakayofuatia ni ipi?

    Nimegundua mwaka ni mdogo sana katika maisha, Kama yalivyo mafupi maisha yenyewe. Hatahivyo vinaunogosha na kuukimbiza mwaka ni pamoja na MATUKIO (mnapigwa matukio, mnapigwa matukio, mkija kujistukia mwaka huo umeisha unakuja mwingine) Ingawa mengine yanatokea tu kwa matakwa ya 'muweza' yapo...
  6. M

    Serikali lawamani kuruhusu Mkusanyiko wa Maelfu kwenye Kilimanjaro Marathon wakati Taifa linapambana na Virusi vya Korona

    Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua. Mkusanyiko wa mahali hapo ulikuwa ni mkubwa kiasi kwamba kaa kuna wstu wana virusi...
  7. I

    Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waagiza takwimu za wagonjwa wa korona na chanjo vitolewe

    Ambassador to Tanzania. I want to talk to you about COVID-19, and how we can work together to prevent its spread and help all of us stay safe. Since the start of the Covid-19 pandemic, almost two and a half million people have died of the disease. The loss is staggering, and no country has...
  8. J

    Lushoto wapata dawa ya kinga ya Corona, mganga wa tiba mbadala ndugu Shaban ameseme wabunge wengi wameshakunywa!

    Mganga wa tiba mbadala ndugu Shabani wa Lushoto mkoani Tanga amesema amegundua dawa ya kinga ya Corona ambayo imewasaidia watu wengi mkoani Tanga. Shabani amesema dawa hiyo ni kinga kwa magonjwa yote ya mfumo wa kupumua na kwamba hadi sasa wabunge wengi wameshakwenda hapo Lushoto kunywa kikombe...
  9. JokaKuu

    Dr.Mpango alitumia mtungi wa Oksijeni wiki mbili kabla hajapelekwa hospitali. Je, kila kaya ipatiwe mtungi wa Oksijen kukabiliana na korona?

    ..katika mazungumzo yake na waandishi wa habari Waziri wa Fedha Dr.Mpango amesema alitumia mtungi wa oksijen kwa muda wa wiki 2 kabla hajahamishiwa hospitali. ..sasa kwasababu huduma hiyo inaelekea ilikoa maisha ya Dr.Mpango, kwanini serikali isifikirie kuzipatia kaya zote mtungi wa gesi kama...
  10. Idugunde

    Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

    Waziri wa fedha na mipango Dkt. Philp Mpango amesema anarudi kuchapa kazi baada ya mkono wa Mungu kumvusha na ugonjwa uliomkumba mpaka akalazwa. Waziri Mpango amesema haya (Nukuu) - Narudi kazini na kazi ndogondogo nimekwishaanza za kulitumikia Taifa. Watanzania tuendelee kumwomba Mungu kwa...
  11. Victor Mlaki

    Ujasiri wa Rais Magufuli juu ya janga la korona katika ulimwengu wa roho

    Awali ya yote napenda kutoa salamu za dhati kabisa kutoka katika kina cha nia yangu kwenu nyote nikiwa na uhakika salamu hii itapokelewa na kila mtu atakayesoma andiko hili na kuruhusu kuelewa zaidi ya uelewa ulivyo. Natamani sana andiko langu niliweke katika lugha ambayo itamfanya kila mmoja...
  12. S

    Kirusi cha Corona kwenye nguo kinaishi siku mbili

    Huyu ni mwanasayansi gani asiyetambua ukweli? Kirusi cha Corona kwenye nguo uhai wake siku mbili na kwenye vyuma kinaishi hadi siku nne. Kontena tuka huko kwa mabeberu usafirishaji unachukua wiki tatu hadi mwezi kufika Tanzania. Sasa virusi gani tunavyoletewa toka kwa mabeberu? Propaganda...
  13. Intelligence Justice

    Je, Ugonjwa wa Virusi vya Korona vimelea vyake vilitengenezwa au vilitokea tu?

    Wakuu wenye bongo bobevu, Hili bandiko limekusudiwa kuuliza wataalamu wabobezi kwamba, mosi, 1. Je, vimelea vya virusi vya Korona vilitokea tu kutokana na nguvu ya asili na mabadiliko ya hali hewa ikiwa na chanzo cha viumbe hai ama mimea au vimetengenezwa na binadamu kupitia utafiti wa utukutu...
  14. Tanganyika Law Society

    Tamko la Tanganyika Law Society(TLS), Juu ya Wimbi la Pili la Mlipuko wa Ugonjwa wa Korona nchini

    TAARIFA KWA UMMA Ndugu Watanzania, TAMKO LA TLS JUU YA KUWEPO KWA WIMBI LA PILI LA UGONJWA WA KORONA NCHINI Mnamo tarehe 13 Februari 2021 Baraza la Uongozi la TLS lilikutana kutekeleza majukumu yake na moja ya ajenda ya kikao hicho ilikuwa ni umuhimu wa TLS kuitaka Serikali kutoa tamko...
  15. A

    Kiongozi wa Kweli

    Vigezo vya kupima viongozi wetu
  16. This is...

    KORONA USSERI ROMBO

    Waalimu na baadhi ya watoto wa shule ya kulelea watoto yatima kituo cha Mashima Usseri Wilayani Rombo wamelazwa katika Kituo Cha Afya Karume kwa changamoto ya mafua makali, vikohozi na kuumwa kichwa. Ni taarifa tu. USHAURI: Usisubiri kuambiwa na mwanasiasa kwamba kuna korona, chukua tahadhari...
  17. Superbug

    Tofauti ya dini na dola kwenye korona hapa Tanzania

    Kwa Mara ya kwanza dini iliburuzwa na dola kuwaaminisha watu kwamba Corona haipo na kwamba Mungu ameiondoa Corona Tanzania. Dini zikaja kushtuka kwamba hapa tumeingizwa cha kike wao dini wakajirudi wakalamba matapishi Yao kwasasa nimewasikia wakiwaambia watu waanze kunawa mikono na kuchukua...
  18. rosemarie

    Wote mlioshiriki kuiba kura mjiandae korona haitawaacha salama

    nimeona wengine wako busy wanajifukiza, hii korona haitakuacha salama kama ulishiriki kwa namna moja au nyingine kuiba kura na kudhuluma haki za wataznania ujiandae utubu maana hakika hutapona kwa hakika,ile huzuni iliyokuwa mioyoni wa watanzania imefikia kikomo sasa,glass imejaa maji...
  19. Google Diggers

    Katika historian ya sijui la kufa, watanzania tuwe macho korona is fun bustad

    Waitaliano walikufa Sana, lkn kilichowaua Sana ni hichi kinachoendelea nchini.. Vaeni barakoa au facemask tumieni vitakasa mikono, muhimu zaidi ule utamaduni tulioanza nao phace one kunawa na nyungu tuhakikishe tunanawa mikono. Najifikiza wale waliohamasisha kunawa nankukagua ndio, maji...
  20. Dickson Edwin Mgaya

    Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine - SUA: Tahadhari juu ya ugonjwa wa Corona

    Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya...
Back
Top Bottom