kompyuta

  1. Nyendo

    KWELI Kupakata Laptop husababisha hatari katika uzalishwaji wa mbegu za kiume

    Nimeona sehemu kuwa kupakata laptop kwenye mapaja kunasababisha uzalishwaji wa mbegu za kiume kuwa hatarini na nguvu za kiume zinaweza kupungua. Je, suala hili lina ukweli?
  2. Onny Alex

    Mwongozo wa Kazi ya Mhandisi wa Kompyuta (Computer Engineer Career Overview)

    Mhandisi wa kompyuta huchanganya uhandisi wa umeme na sayansi ya kompyuta ili kutegeneza teknolojia mpya. Wao hupanga, kujenga, na kuratibu vifaa vya kompyuta katika kompyuta za kisasa. Wahandisi hawa wanazingatia kuunganisha vifaa(hardware) na programu(software) katika mfumo mmoja...
  3. T

    Mhitimu wa Shahada ya Sayansi ya Mifumo ya Kompyuta natafuta ajira

    Habarini wakuu, Kama title inavyojielezea mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 napatikana Jijini Mwanza ninatafuta nafasi ya kujitolea katika Makampuni au Biashara yoyote. Fani yangu ni IT upande wa Mifumo ya Kompyuta hivyo naweza kufanya kazi zote zinazohusiana na Mifumo ukizingatia mambo...
  4. Stephano Mgendanyi

    Etaro Sekondari Yadhamiria kuwa na High School ya Somo la Kompyuta - Jimbo la Musoma Vijijini

    ETARO SEKONDARI YADHAMIRIA KUWA NA "HIGH SCHOOL" YA SOMO LA KOMPYUTA - HARAMBEE JUMAMOSI, 23.12.2023 Tarehe ya Harambee: Jumamosi, 23.12.2023 Saa 3 asubuhi Mahali: Etaro Sekondari Kijijini Etaro Akaunti ya Shule: Benki: NMB Musoma Akaunti Na: 30301200341 Jina la Akaunti: Etaro Sekondari...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Jimbo la Ulanga: Tatizo la Kompyuta na Photocopy Mashine Nitalimaliza

    Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Salim Alaudin Hasham amesema atahakikisha anapambana kutatua changamoto ya vifaa vya mashuleni ili kuinua kiwango cha ufaulu wilayani humo. Mbunge Salim ameyasema hayo wakati akigawa vifaa hivyo ambavyo aliahidi kwa shule tatu zitakazo fanya vizuri...
  6. MSAGA SUMU

    Kusherekea kutimiza miaka 23, Zuchu atoa kompyuta 5 shule yake ya zamani

    Wasanii wana kitu cha kujifunza kutoka kwa Zuchu. Bata kidogo na misaada kidogo. Wakati akisherekea kutimiza miaka 23 ya kuzaliwa,Zuchu amemtuma chawa baba Levo maeneo ya zanzibar kupeleka kompyuta 5 kwenye shule yake ya zamani zikawasaidie katika uchapaji wa mitihani. Happy birthday Zuchu.
  7. sky soldier

    Hard disks ni teknolojia ya zama za kale, zina uwezo mdogo wa kufanya kazi kwenye computer / Laptops, weka SSD kwa bei rahisi speed ya radi

    Teknolojia ya vifaa vya kushikilia data imekuwa kubwa sana ni ajabu naona bado Tanzania tunaendelea kutumia Hard Disks. Hard Disks huwa zinasoma data kwa vifaa kuzunguka ndani yako, Zipo slow sana, hata ukiweka ram kubwa ama uwe na processor nzuri, itakuwa na msaada kidogo, ni sawa na mtu...
  8. kekule benzene

    Tatizo la mwanga mdogo katika Computer

    Habarini za jioni wanajukwaa Leo nimeangusha laptop yangu, baada ya kuiwasha ikawa inawaka lakini mwanga umekuwa hafifu mno kana kwamba nimepunguza Hadi level ya mwisho Nimejaribu kuichunguza hakuna wino, pia maandishi + folders na vitu vyote vinaonekana ila kwa brightness ndogo mno...
  9. BARD AI

    Wafikishwa Mahakamani kwa kudukua Mfumo wa Kompyuta wa CRDB

    Watu wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la kuingilia mfumo wa kompyuta wa benki ya CRDB na kujipatia kiasi cha Sh Milioni 13.8. Washtakiwa hao ni Riziki Kanena (22) ambaye ni mkazi wa Mikocheni na Laulentina Yastaf Mkazi wa Akamea...
  10. Yohana Ezekiel Kanyamala

    Natafuta kazi ya kuwa Katibu Muhtasi

    Naitwa Yohana Kanyamala, natafuta Kazi katika fani ya Secretary (Katibu Muhtasi) Nina ujuzi mbalimbali pia, kama kutumia kompyuta na nyinginezo
  11. B

    Muhambwe wampa 5 Rais Samia mradi wa maji wa milioni 650, mbunge atoa kompyuta na mashine ya photocopy

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kufanya mikutano ya hadhara kuelezea utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo leo alikuwa Kata ya Misezero Kijiji cha Kumkugwa. Wananchi wa Kumkugwa wameonyesha kufurahia mno na kumshukuru Rais Samia...
  12. Ejolisi

    SoC03 Serikali iruhusu matumizi ya simu na kompyuta kwa wanafunzi wa ngazi zote katika ulimwengu huu wa digitali

    Kasi ya ukuaji wa sayansi na teknolojia imepelekea shughuli mbalimbali za kijamii, uzalishaji na mawasiliano kufanyika kidigitali zaidi kupitia mitandao ya kijamii. Dhana ya mitandao ya kijamii na haki za kidigitai inahusisha moja kwa moja matumizi ya vifaa vya kielektroniki kama vile simu...
  13. Acehood

    Msaada kuhusu PES 2017 kwenye kompyuta

    Habari wakuu wa tech. Nina game la mpira PES 2017 kwenye kompyuta yangu nikiwa na patch ya 2023. Juzi nimepiga Windows mpya game ikagoma kuplay ikihitaji baadhi ya files, hivyo anikaamua kubadilisha HDD yenye windows na kuweka nyingine ambayo huwa natumia kwenye laptop. Sawa game lina play ila...
  14. TheForgotten Genious

    SoC03 Wizara ya Afya iunde mfumo mmoja wa kompyuta wa afya utakaotumika katika ngazi zote za hospitali za Serikali ili kurahisihsa rufaa na mengineyo

    UTANGULIZI. Kutokana na kukua kwa teknolojia kwa sasa mambo mengi yanafanyika kwa njia ya mtandao na mifumo ya kompyuta, sekta ya afya inatumia mifumo ya afya kukamilisha huduma kwa wagonjwa ambapo taarifa zote zinakuwepo katika mfumo huo. Kila hospitali inatumia mfumo wake kulingana na...
  15. J

    Korogwe: DC Jokate apokea kompyuta zenye thamani ya Shilingi milioni 92

    Mkuu wa Wilaya Korogwe Mhe. JOKATE MWEGELO apokea Vifaa vya TEHAMA katika Shule 6 wilayani Korogwe vyenye Thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 92 kutoka kampuni ya Vodacom Tanzania.
  16. BARD AI

    DELL kupunguza Wafanyakazi 6,650 baada ya soko la Kompyuta kushuka duniani

    Kampuni ya kuunda Vifaa vya Kielektroniki ya Dell itawaachisha kazi Wafanyakazi 6,650 sawa na 5% ya Wafanyikazi wote kutokana na mauzo ya Kompyuta kupungua kwa 28% kila mwaka. Dell imeripoti kushuka kwa soko la nje la Kompyuta kwa 37% katika kipindi cha mwaka 2022 huku washindani wao, kampuni...
  17. Karanga Mwitu

    Msaada: Smartphone yangu haiunganishi wireless internet kwenye kompyuta yangu

    Habari wanaJF?, Natumai mko poa Sana, mwenzenu Nina changamoto Nina simu ya Aina ya infinix, hapo mwanzo nilikua nakonnect vizuri kwenye computer. Sasa hivi karibuni nimekonnect Mara kadhaa haikubali inasema " Window unable to connect". Nimejaribu kutumia Tecno, imezingua ila nimetumia simu...
  18. BARD AI

    Marekani: Tiktok yazuiwa kwenye Kompyuta za Serikali za Majimbo 19

    Mashirika ya Serikali yameanza kupiga marufuku matumizi ya huduma maarufu ya mitandao ya kijamii ya TikTok kwenye vifaa vinavyodhibitiwa na serikali kwa kuhofia kwamba China inaweza kuitumia kuingilia taarifa za Serikali na kukagua maudhui. Majimbo 19 kati ya 50 ya Marekani tayari yamezuia...
  19. King snr

    Kukuza mtaji wa biashara ya kompyuta

    Habari wakuu, Hongereni kwa majukumu ya hapa na pale nimekuja kwenu kupata mawazo na ushauri hasa katika kukuza mtaji. Biashara yangu Ni uuzaji wa laptop, desktop and accessories. Nilianza biashara hii mtandaoni kwa kuwa napost bidhaa ambazo sina mteja akihitaji naenda kumchukulia changamoto ya...
  20. TheForgotten Genious

    SoC02 Mfumo Huru wa Kompyuta wa Kupigiana Kura. Jina La Mfumo: Fair Election (FAEL)

    UTANGULIZI Katika Dunia nzima, nchi zote hufanya chaguzi zake ili kupata viongozi wake wa ngazi tofauti tofauti kupitia mfumo wa kupiga kura za mficho. Njia inayotumika kwa sasa nyingi huwa zinasababisha wizi wa kura, gharama kubwa za usimamizi wa uchaguzi, maafa kwa wasimamizi wa uchaguzi na...
Back
Top Bottom