kompyuta

  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Majasusi waivuruga Australia. Wadukua mifumo yao ya kiusalama ya kompyuta. Macho yaelekezwa kwa China, Russia na Korea Kaskazini

    Nchi ya Australia ipo katika kipindi kigumu baada ya mifumo yake ya kompyuta kudukuliwa na majasusi na kuharibu mifumo yake ya mashule, vyuo na mahospitali Mashambulizi hayo pia yamevuruga na kuharibu mifumo ya kompyuta za masuala ya biashara na mifumo ya serikali kwa ujumla Taarifa yaendelea...
  2. kimbendengu

    JamiiForums Tanzania Kazi za muda mfupi za kompyuta

    Husika na kichwa cha habari hapo juu mimi ni raia wa kawaida hapa kisarawe kwa Sasa naomba msaada wa kusoma kozi za muda mfupi kwa jiji la Dar es salaam,hivyo kama kuna mdau yeyote anayefahamu eneo wanalofundisha hizo kozi za muda mfupi aje hapa jukwaani anisaidie,iwe miezi mitatu, miezi sita...
  3. BeEducated

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kompyuta desktop complete inauzwa

    Nauza Komyuta (Desktop complete) Yenye Sifa zifuatazo. Core i5 @ 3.10 proccessor, 4GB RAM, 500GB HDD, 19" Monitor, keyboard and Mouse. Bei ni Tsh. 330,000/. Napatikana Dodoma mjini . Kwa maawasiliano : Phone: 0620823250 / 0744774462, Whatsapp:0744774462 Karibun sana!!.
  4. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

    Habarini wakuu Nimeamua kuanzisha huu uzi maalumu kwa kuweka picha zilizotengenezwa kwa mifumo ya kompyuta. huu utakuwa ni uzi wa kuweka picha tulizozitengeneza sisi wenyewe na si picha za ku download au kuweka picha kutoka kwa mtu mwingine. Huu uzi ni wa kujumuisha watu wote: wanaozalisha...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Namna matumizi ya simu au Kompyuta yanavyosababisha tatizo la uoni hafifu

    Daktari bingwa wa magonjwa ya macho kutoka Hospitali ya CCBRT, Dar es Salaam, Cprian Ntomoka amesema kuwa matumizi ya vifaa vyenye mwanga mkali kama simu na kompyuta yanaweza kusababisha tatizo la uoni hafifu au hata upofu wa muda. Dk. Ntomoka ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Macho katika...
  6. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Hongera Uganda kwa kufanikiwa kutengeneza simu na pia kompyuta mpakato nitaagiza ya kwangu nione fahari

    Nchi ya Uganda imefikia hatua nzuri sana inayostahili pongezi kwa kuweza kutengeneza simu na kuziingiza sokoni. Uzalishaji unaonekana kuwa simu 2000 za kawaida, smartphone 1500 na kompyuta mpakato 800. Watanzania tujifunze hapo napo
  7. J

    JamiiForums Tanzania Lengo la kujaza fomu yoyote ni kupata taarifa siyo kutegana

    Injinia Kagoshaki kutoka Japan ameshangaa inakuwaje mtu anayegombea uongozi wa serikali anajaza fomu kwa mkono! Kagoshaki anasema Japan unapojaza fomu yoyote hata ya kuomba chumba cha kulala Hotelini utatumia kompyuta ambayo itakuwa inakupa mwongozo ili usikosee. Lengo la kujaza fomu ni kupata...
  8. Dr Orb

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa software developer anaeanza part-3 (WEB BASED APPLICATION)

    Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2 Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications. Kama tulivyoainisha hapo awali hizi ni program zinazotumia internet katika kufanikisha jambo lililokusudiwa mfano Kupatana...
  9. Tukudzi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kubadilisha lugha ya kompyuta iwe Kiswahili

    Ungependa kubadilisha lugha ya tarakilishi yako kutoka Kimombo hadi Kiswahili? Ungependa kutumia Microsoft Office kwa Kiswahili? Basi fuata maagizo haya. Kitu cha kwanza unachofaa kujua ni kuwa Windows hutumia faili aina ya LIP (language interface pack) kuwezesha lugha zisizo Kimombo kuonyeshwa...
Back
Top Bottom