Baadhi ya waislam wanaacha swala ya Alfajiri na kukaa ktk TV kuangalia kombe la Dunia. Hili ni kosa kubwa kwa muislam tena dhambi kubwa.
Quran unasema:
"Hakika Swala imefaradhishwa kwa Waumini kwa nyakati maalumu." (Surah An-Nisa 4:103)
Na pia:
"Ole wao wanaoswali, ambao wameghafilika na Swala zao." (Surah Al-Ma'un 107:4–5)