kofia

The kofia is a brimless cylindrical cap with a flat crown, worn by men in East Africa, especially in Somalia, Kenya, Uganda . Kofia is a Swahili word that means hat. The kofia is worn with a dashiki, a colorful African shirt which is called a kitenge shirt in some regions of East Africa. In Uganda, the kofia is worn with the kanzu on informal occasions.
Jomo Kenyatta, the first President of Kenya, was often photographed wearing a kofia. The kofia is popular in Comoros. The traditional kofia has tiny pin holes in the cloth that allows the air to circulate. In West Africa, this cap is called a kufi.

View More On Wikipedia.org
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kofia ngumu ndani ya usafiri wa mabasi

    Naomba kuuliza je? Kuna utafiti ulishawahi kufanyika kwa ajali zilizotokea na kuua watu wengi kwenye mabasi, kuwa hao waliofariki hasa waliumia sehemu gani mwilini? Mm maranyingi nilishuhudia majeruhi wakiwa wameumia vichwani, Kama kwenye meli watu huvaa life jacket, basi na nchi kavu...
  2. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Muuaji mwenye kofia nyekundu

    ..
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Zijue tofauti za rangi na majukumu yake kwa kofia ngumu zivaliwazo kwenye ujenzi

  4. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Usimvalishe mwanao wala usishike ile kofia nyekundu ya Krismasi, Babu yule amaeingizwa kimakosa kwenye sherehe za Krismasi

    Kofia nyekundu ya Baba Krismasi Santa Claus' Kama viumbe visivyokuwa binaadamu aliens watafika duniani katika wakati wa Krismasi, bila ya shaka wataamini Krismasi kuwa ni sherehe ya kufurahikia kuzaliwa kwa Baba Krismasi Santa. Majina ya ‘Santa Claus’, hayamo popote ndani ya Biblia. Hata...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Diamond alikuwa na haki kukasirika kuibiwa kofia

    Mzuka wanajamvi. Lile tukio la msanii maarufu nchini na bara la Africa Diamond la kuibiwa kofia halikuandaliwa staged. Kwa utafiti wangu ni kweli Diamond ile kofia aliporwa. Na hiki kitendo kilimkasirisha sana Diamond siyo kwasababu kofia ni ghali bali kufanyiwa matambiko na kurogwa kupitia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Aliyepora Kofia aliandaliwa na Diamond Mwenyewe

    Diamond anajua kujitengenezea Matukio ili kuzidi ku trend. Hata tukio la kuporwa kofia juzi ni la kutengeneza. Ukiangalia uchukuaji wa video utagundua ni movie tu, yaani pale alikosekana tu yule anayesema " Action!!!". Na hata baada ya Diamond kuingia ndani ya gari nakuanza kuchukuliwa video...
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Watanzania nawavulia kofia

    Wanatengeneza vitu kujifurahisha ila hii ni kiboko.
  8. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Kwanini hackers wanavaa Mask na Kofia wakiwa katika shughuli zao?

    Hello I.T fans.. naomba kupewa majibu mujarab. Naona wengi mnaovunja mifumo ya computer huwa mnavaa Hizo nyenzo (mask, gloves, kofia za mzula) hivi sababu ni zipi hasa? Halafu bado wengine mnakamatwa😅😅😅😂😂
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kofia ya moto ya thamani ya mafuta yawadondokea G7

    Hapo juzi mataifa ya G7 yakiongozwa na Marekani yalipitisha azimio la kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya kutoka Urusi. Katika mpango huo nchi hizo zimekubaliana kuwa bei ya mafuta ya Urusi isizidi dola 60 kwa pipa moja..ikizidi hapo mataifa hayo wamesema hawawataki mafuta ya Urusi. Katika...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kosa la Dr. Bashiru ni kusema, "Tusichague Mtu kwa Ubwabwa, kofia, Kanga wala Tshirt

    Dr. Bashiru anauliza, tabia yenu na mienendo yenu wakati wa Uchaguzi ikoje? Chama mnachokichagua mnakijua? Mnaye mchagua mnamjua? Tusichague Mtu kwasababu ametupa Ubwabwa, kofia, Kanga, pesa au Tshirt. Dhana ya Uwajibikaji: Muna nafasi gani kusimamia Serikali ili iwe upande wenu? Veo vyote...
  11. AKAN

    JamiiForums Tanzania Natafuta hizi kofia

    Habari ya muda huu wana Jamiiforums, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza., nahitaj kufahamishwa ni maduka gani/wapi naweza pata hizi kofia kwa hapa Tanzania.
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu watu wanaovaa kofia hizi?

    Haya tiririkeni hapa...
  13. Mastamind

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa TALGWU mwaka huu tunapigwa, no tisheti wala kofia

    Kuna Dalili ya Kuingia Sherehe za May Mosi Bila Kuwa na Jezi za TALGWU. Mpaka leo April 29 hakuna mzigo wa kofia wala tisheti ulioingia na kugawiwa, viongoz dako kimya. Inaonekana Wako Kuvutana Aina ya Tsheti. Kweli Mwaka Mzima Hamjaamua ni zipi zakununua, Me naona kuna kajambo wanataka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kofia na Valley kwenye Nyumba

    Poleni na majukumu wana JF ni imani yangu Mungu anaendelea kutupigania. Naomba kujua umuhimu wa Valley kwenye Nyumba, pia nitashukuru kama naweza kupata picha ya Nyumba yenye Valley. Nawatakia weekend njema.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mabati Transparent, kofia na gata zake

    Wakuu habari, Niko Morogoro natafuta mabati ambayo ni transparent pamoja na kofia na gata zake. Mwenye kujua Morogoro yanapatikana wapi au Dar anijuze.
  16. Mkulungwa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kumsamehe mpenzi wako kwa kukuminya kende au kukupiga kofi kwenye kende?

    Ndio kama kichwa kinavyojieleza, Unaweza kumsamehe mpenzi wako kwa kukuminya kende au kukupiga kofi kwenye kende? Hivi unaweza kuendelea na mahusiano na msichana kama huyo? Be honesty and tell honestly
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania 1910 suti ya vipande vitatu na kofia ilikua ndiyo vazi la heshima kwa wanaume

    Ukitoka nje ya nyumba yako unakubalika katika jamii ukiwa na vazi hili. Kuvaa jeans na t-shirt ilionekana si ustaarabu.
  18. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Wakati wa uchaguzi pombe, tisheti na kofia hutuchagulia Viongozi

    Kila ifikapo wakati wa uchaguzi, watanzania husahau shida zote walizopitia. Ni ajabu sana! Kwa zawadi ya pombe, tisheti na kofia. Ndugu zangu wakulima, poleni sana kwa yanayowasibu. Mliamini katika kile kibwagizo cha, “Kama mnataka mali mtaipata shambani” Pengine mateso hayo mnayoyapata ni...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni kama kofia ngumu (Helmet)

    Wataalamu wa #Afya wameifananisha Chanjo dhidi ya Magonjwa mbalimbali ni kama #Helmet anayovaa Dereva na Abiria wa Pikipiki. Ufafanisho huo umemaanisha chanjo kama ya #COVID19 umetokana na ukweli kwamba inasaidia kukukinga dhidi ya maambukizi ya #CoronaVirus. === A vaccine is an additional...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Watakaogombea Ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati

    Watakao gombea ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati. Huko kwenye majimbo vijana wanahitaji ajira, kama mbunge hawezi kutengeneza ajira asichaguliwe ubunge. Maana huyo hana uwezo. Huyu mgombea ubunge alikua anapeleka mchele kwa wananchi ili...
Back
Top Bottom