kodi

  1. K

    Biashara za magendo zinaongezeka kwa kasi nchini kwa sababu ya mfumo wa kijeshi wa kukusanya Kodi

    Serikali inarealize upotevu mkubwa wa mapato kwa sababu yakutumia mkono wa chuma kukusanya Kodi. Kodi nzuri Ni ile inayokusanywa kwa mujibu wa sheria, kwa masikilizano na kwa gharama ndogo. Leo hii nguvu inayotumiwa kukusanya Kodi ni kubwa sana, wafanya biashara wamegeuzwa wahalifu na...
  2. B

    Kitendo cha mabeberu kufungasha na ongezeko la utitiri wa kodi

    Mwaka 2021 umeanza kwa kutangazwa kodi au tozo ambazo awali hazikuwepo. Tumesikia ukaguzi wa magari, garama za kuagiza magari zimepanda mara mia, tozo katika bidhaa nyingi za nje nk. Hii inaashiria vyanzo vya mapato vilivyomo nchini vikilinganishwa na miradi tunayoanzisha nakusimamia...
  3. Kwanini wenzetu Sweden wanapenda kulipa kodi?

    The Nordic Way - BBC Reel Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State. Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure. Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure. Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa...
  4. House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

    Nyumba inapatikana ukonga, Mombasa Njia ya lami kuelekea mazizini. (Kutoka stand mpaka kwenye nyumba ni mwedo wa dakika 5) Maelezo. Nyumba ina vyumba viwili (ikiwemo master moja) Sitting room, jiko, public toilet na store. Full tiles, gypsum, shunter Windows. Maji ya dawasco Iko ndani ya fensi...
  5. T

    Kodi za Tanzania ni za ajabu sana, inawezekanaje gari ya miaka 20 iuzwe kwa zaidi ya Milioni 20?

    Sijui ni sababu ya kodi ama umasikini lakini gharama za maisha Tanzania zinasikitisha sana. Hii nchi kweli bado masikini na kuja kutoka hapa sio leo. Leo ukiagiza gari ya mwaka 2001, gari ambayo nchi karibu zote Duniani zimeiondoa barabarani kwa sababu ya kimazingira na kiafya isipokua...
  6. Mwangosi: Hakuna kitu kinachoitwa kodi kubwa kwenye sheria za kodi

    Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kilimanjaro, Gabriel Mwangosi amesema hakuna kitu kinachoitwa ‘Kodi Kubwa’ kwenye sheria za kodi bali kodi inayostahili. Ameyasema hayo baada ya wamiliki wa shule mkoani Kilimanjaro kulalamikia makadiri makubwa ya kodi ambapo shule nyingi...
  7. Limekaaje suala la madalali kulipwa kodi ya mwezi mmoja?

    Habari za muda huu wakuu? Heri ya mwaka mpya pia. Leo nimekuja kuuliza na kutafuta majibu ya juu ya suala la madalali wa nyumba kulipwa kodi ya nyumba ya mwezi. Hili suala limekaaje hii ni baada ya kuona mijadala kadha wa kadha kupitia mitandao ya kijamii tofauti. Je, kwanini kodi ya mwezi...
  8. RC Tanga: TRA acheni kujenga Mazingira ya chuki kwenye ukusanyaji wa kodi

    MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela amewataka watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara mkoani humo, kutojenga mazingira ya chuki wakati wa ukusanyaji kodi. Alitoa jana rai hiyo wakati wa kikao cha wadau wa kodi, ambao alisema kuwa iwapo pande zote mbili zitafanya kazi...
  9. Kodi, ushuru na tozo za Tanzanua ni kero kubwa

    Tanzania yetu hii Mungu atusaidie tufanye kazi kwa pamoja tukishirikiana vizuri na vyombo vya mamlaka.
  10. Kwanini Watu Hawapendi Kulipa Kodi Ya Mapato!?

    Habari zenu Makala hii naileta ikiwa katika muundo wa swali ambalo kama jamii na wenye mamlaka pia wanapaswa kujiuliza na hatimaye kutafuta njia sahihi za kuifanya jamii ione na iamini ya kuwa kulipa kodi ya mapato ni wajibu wa kila anaestahili na si kwa watu wachache tu kama wafanyabiashara...
  11. Watumishi 22 TRA kuchunguzwa, madai kubambikia watu kodi yatajwa

    Waziri wa Fedha, usiwatoe kafara watendaji wako. Wewe ndiye chanzo cha mayowe ya kodi kandamizi kwa wafanyabiashara Ndugu zangu wanabodi, huwa napenda sana kuishi kwa kujifunza kutoka kwenye hotuba za viongozi na kupitia hotuba hizo huwa nanyakuwa baadhi ya mambo ambayo kwangu ninayoyaona...
  12. Nchi maskin haziwez endelea kwa kutegemea Kodi, Bali kwa kutumia rasilimali vizuri

    Ukiangalia nchi nyingi zilizo endelea zilitegemea rasilimali, yaan zilitumia rasilimali vizuri ndo zikaendelea hazikutisha wanaanchi wake mzigo wa makodi Kama zifanyazo nchi za Afrika Nchi za Afrika zina-rasilimali nyingi lakin ni maskin sababu moja wapo ni usimamiz mbovu wa rasilimali na...
  13. Rais Mwinyi: Watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa Serikali, kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara

    Leo Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameitisha kikao na wafanyabiashara na kuongelea changamoto zinazoikabili sekta ya biashara Zanzibar na muelekeo wa kuzitatua. Kikao hiko kimehudhuriwa na wafanyabiashara pamoja na mawaziri wa serikali ya Zanzibar Pamoja na mambo mengine, Rais wa...
  14. TRA yazindua kodi ya kitanda kutoka kwa Watalii

    Kamishna Mkuu wa TRA Dkt. Edwin Mhede amepokea orodha ya huduma za malazi iliyoboreshwa 2020 kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki ili kuiwezesha TRA kukusanya tozo ya Kitanda Siku kutoka kwa Watalii wanaotumia huduma za malazi. Hii ni katika harakati za...
  15. Januari 1, Kenya yatangaza kurudisha kodi kama ilivyokuwa kabla ya corona

    Waziri wa Fedha wa #Kenya, Ukur Yatani ametangaza kurudisha kodi mbalimbali ambazo zilipunguzwa au kuondolewa ili kutoa unafuu kwa wananchi baada ya nchi hiyo kupigwa na janga la #COVID19 Watu wanaopata chini ya Ksh 24,000 sawa na takriban Tsh. 495,700 hawatalipa kodi ya mapato (PAYE). Kodi ya...
  16. Msaada: Wanaotoa magari bandarini kwa kukopesha malipo ya kodi

    Wadau salama hapa ndani? Niliwahi kusoma uzi hapa JF kwamba kuna raia wanaosaidia kutoa gari bandarini hata kama huna pesa ya kulipia TRA mnaingia makubaliano ya kulipia kidogo kidogo baada ya yeye kulipa. Hii imekaaje? Hakuna utapeli ndani yake? Nina mpunga kidogo hapa ambao unatosha tu...
  17. J

    Fahamu maana, umuhimu wa kodi na taratibu za ulipaji

    Kodi ni malipo yanayotozwa na Serikali kwa wananchi, kampuni, au taasisi zilizopo ndani ya nchi au zilizopo nje ya nchi lakini zimesajiliwa ndani ya nchi. Lengo kubwa la kutoza kodi ni kuitengenezea mapato serikali iliyopo kwa ajili ya kufikia malengo yake katika kutoa huduma za Jamii na maslahi...
  18. B

    Kodi ya ardhi hulipiwa Halmashauri au Wizara ya Ardhi?

    Wakuu naomba mnijuze kuhusu hizi kodi za ardhi zinalipiwa wapi kwa sasa maana nikiingia kwenye website ya WIZARA Wana mfumo wa kulipia na huko HALMASHAURI wana utaratibu wao?
  19. D

    Hotuba ya Rais imeonyesha njia; Tozo na kodi kwa mahoteli na lodge zipunguzwe

    Nimesikiliza hotuba nzuri ya Rais na kubaini kuwa Rais anayo nia njema ya kulipeleka mbele taifa letu. Kwa upande wa miundo mbinu ya watalii mahoteli ni muhimu sana yakaboreshwa kwa kuyawekea mazingira mazuri hivyo nashauri mambo yafuatayo: 1. Kupunguza bei ya leseni ya TALA kwa mahoteli kama...
  20. B

    Jinsi ya kucalculate kiasi cha kodi kinachozidi endapo CIF ya gari itakuwa kubwa zaidi ya CIF ya kwenye calculator ya TRA.

    Habari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…