kodi

  1. JamiiForums Tanzania Yaani unamiliki app inaingiza mapato alafu Kodi ya Marekani hutaki kulipa sio

    Hali sio Hali Kwa Binti yetu, sasa ni ule mda wa kumchangia mliokua mnampenda sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania TRA, je, ni kweli sasa hivi ukiingiza gari nchi kuna kodi kwa ajili ya dawa za UKIMWI(HIV)?

    Kwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa. Tozo hiyo inasomeka kama "HIV Response Levy " ambayo ni kiasi cha shilingi 100,000. Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?
  3. JamiiForums Tanzania Kodi ya Watengeneza Maudhui Mtandaoni: Ubunifu unakufa taratibu

    Ni Desemba 16, 2025, Kampuni ya Meta ilithibitisha rasmi kupokea ombi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) la kukata kodi ya asilimia 5 kwa kila malipo yanayolipwa kwa Watengeneza Maudhui (Content Creators) wanaoishi Tanzania. Utekelezaji wa mfumo huu unaanza Desemba 21, 2025, hatua inayozua...
  4. JamiiForums Tanzania Ushirikiano Kitanzani: Kodi ya Ushuru wa Bidhaa ya Tanzania na Nafasi ya Mahakama ya EACJ

    Na Dkt. Kirimi Wanjagi Mivutano ya hivi karibuni mpakani mwa Kenya na Tanzania, ambapo malori yalilazimika kusimama kwa saa nyingi kufuatia vurugu za Oktoba 29 nchini Tanzania zimefufua tena wasiwasi wa muda mrefu katika jumuiya ya wafanyabiashara eneo Afrika Mashariki kuwa hali mbaya kuliko...
  5. JamiiForums Tanzania Sasa turudi kuijenga nchi TRA iwe jeshi usu, hakuna mwananchi wa kukwepa kulipa kodi

    Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi. Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni bidhaa gani Tanzania zina msamaha wa kodi ukitaka kuagiza kutoka nje ya nchi?

    Wakuu,msada kwenye tuta tafadhali,kama kichwa kilivyojieleza hapo juu,niko mtupu kabisa kwenye engo hiyo,nmejaribu ku gugo sjapata chochote cha maana. Naomba wakuu mnisaidie hili. Nawasilisha "Ndonger,mkongwe kwenye jukwaa"
  7. JamiiForums Tanzania Kuanzia #D9 Wananchi tunapaswa kugoma kulipa kodi hatuwezi kufadhili wauwaji na mafisadi wanunue siraha kutuuwa kwa kodi zetu

    Kuanzia #D9 Wananchi tunapaswa kugoma kulipa kodi hatuwezi kufadhili wauwaji na mafisadi wanunue siraha kutuuwa kwa kodi zetu. Tunalipaje kodi ili zituletee maendeleo kama mnauwa watu. Kataa wahuni !
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kulipa kodi kwa wafanya biashara

    Habari, Naandika haya kutokana na mwenendo mbaya wa serikali ya Tanzania kukataa ama kugomea kusikiliza nini haswa walipa kodi wake nini hasa wanataka Kama walipa kodi ndio waendesha nchi walipa mishahara ya wabunge, mawaziri, samia pamoja na polisi ni kwanini serikali hii ikatae kusikiliza...
  9. JamiiForums Tanzania Mnaharibu miundombinu tuliyotengeneza na kujenga kwa Kodi zetu halafu watu wanawaangalia tu ilitakiwa mshugulikiwe Kama vibaka

    Hivi eti Mtanzania mwenzangu hiyo nguvu ya kubaki unawaangalia tu vibaka wakiiba na kubomoa Mali za watu na za serikali uliitoa wapi? Mbona wezi wa kariakoo huwa mnawashughulikia ilikuwaje watu wachome vituo vya mwendokasi, wabomoe maduka ya watu huku mnawashangaa tu? Uzalendo upo wapi...
  10. JamiiForums Tanzania Itakuwa unfair kwa TRA kuchukua kodi kwa watu wanaofanya biashara kwenye site ambazo unahitaji VPN uaccess

    TRA walisema wafanyabiashara walioko online au wanaofanya biashara online walipe kodi ni sahii kwa asilimia 100 Siku za hivi karibuni kuna site unahitaji VPN ili uaccess jamiiforums ni mojawapo swali hawa watu wanaofanya biashara sehemu kama jamiiforums na twitter wanatakiwa kulipa kodi...
  11. JamiiForums Tanzania Aliyeleta wazo la kodi ya “HIV Response Levy” unapoagiza gari, apate Pangusa kidudu kikatike!

    Kuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania. Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji. Kua na gari Tanzania ni anasa.
  12. JamiiForums Tanzania TBC ni chombo ambacho nado inaendeshwa kwa Kodi za Wantazania?

    Nauliza hii taasisi bado inaendeshwa kwa Kodi za watanzania wanawezaje kutumia TBC chombo cha wananchi wote kwasababu ya propaganda za watu wachache?
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Mo29 mkiniona nimepiga picha chumbani Ikulu msishangae ni kodi zangu

    Mo29 mkiniona nimepiga picha chumbani ikulu msishangae ni kodi zangu.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tunanunua V8 mpya kwa Kodi zetu, ila Engine ya Treni ya iweje inunuliwe mtumba?

    Hellow! Kwamba V8 ni muhimu kuliko engine ya SGR inayobeba watu wengi? Nani anyongwe Katika hili. Karibuni 🙏
  15. JamiiForums Tanzania Sasa Hivi TRA Wanakusanya Kodi Hadi Google AdSense (YouTube & Websites)

    Wewe kama ni mmiliki wa Channel ya YouTube au mmiliki wa Website na unapata pesa kwa njia ya Google Adsense basi jua sasa hivi TRA wanakata Kodi mpaka huko YouTube na kwenye Websites kwa pesa unayokusanya kupitia Google AdSense. Hivyo uwezi kutoa pesa mpaka uwe na TIN namba pia, tofauti na...
  16. JamiiForums Tanzania Tuwambie vijana vijiweni uko nchi hii ni mali yao wana haki yakupata mgao wao kama wanavyogombania kodi za nyumba ya familia za urithi

    Tutumie mfano mwepesi vijana waelewe na wajue kwanini kina polepole, kina mdude wametekwa kina tundu lisu wamepigwa risasi nk. na kwanini kuna watu wanatumia nguvu nyingi kubaki madarakani, wanapiga watu virungu, wapo tayali kuuwa watu Wambieni hao ndio wale wanaotaka kubaki na mashamba ya...
  17. JamiiForums Tanzania Shirika la Masoko Kariakoo latangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa waliounguliwa maduka

    SHIRIKA la Masoko Kariakoo mkoani Dar es Salaam limetangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa wafanyabiashara waliounguliwa na maduka. Meneja Mkuu wa shirika hilo, Ashiraf Abdulkarim ametangaza msamaha huo wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2025 Dar es Salaam. CHANZO...
  18. JamiiForums Tanzania Hatuwezi linda amani ya Mafisadi, Tunataka kuona kodi zetu na mapato ya nchi yakimnufaisha mTanzania bila kujali chama chake, familia aliyotokea, dini

    Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka. Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
  19. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

    Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
  20. JamiiForums Tanzania Ukiagiza gari unatozwa tozo ya UKIMWI

    kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha. Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…