kodi

  1. Last Seen

    Kwanini sisi tunaobeti tunakatwa Kodi ila hatutambuliki na TRA kama walipa kodi?

    Habari wana Jamvi, Ninafarijika sana kuona kiwanda chetu cha kubeti kimetambulika kuzalisha ajira zaidi ya 25,000. Sisi kama wabetiji tuna dukuduku, ni kwa nini kwa kila mkeka tunakatwa kodi, Kwa nini hatutambuliki na TRA? === "Sekta ya michezo ya kubahatisha Tanzania imefainikiwa kuzalisha...
  2. Roving Journalist

    Mjadala kuhusu Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2024:

    Mjadala unaofanyika kwenye Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2024: https://www.youtube.com/watch?v=flJ-sm9Ke0A MDAU: KUNA UTAMADUNI WA TRA KUTOA BENKI FEDHA ZA WATEJA WAO WENYE MIGOGORO YA KIKODI BILA USHIRIKISHWAJI Mdau ameshauri mamlaka ya...
  3. BARD AI

    Watanzania wengi wanashindwa kumiliki Magari mapya kwasababu ya Utitiri wa Kodi

    Kama ni mfuatiliaji wa aina za Magari yanayomilikiwa na Watanzania walio wengi, utagundua kuwa asilimia kubwa wananunua Magari ambayo ni "Used" tena kwa miaka 10 au 15 nyuma, na yote ni sababu ya wingi wa Kodi za ajabu ajabu kutoka Mamlaka za nchi hii. Tofauti na ukienda nchi za wenzetu mfano...
  4. M

    Dkt. Mwinyi aondoa kodi ya sukari Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye sukari ili kuwasaidia wananchi kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kutopanda bei ya bidhaa hiyo. Dkt. Mwinyi amesema hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara wa...
  5. BigTall

    Wakusanya kodi za mabango Ilemela hawataki kutoa ‘control number’, wanataka ‘Cash’

    Kuna kero kubwa sasa hivi Watu kutoka Halmashauri ya Wilaya Ilemela Jijini Mwanza wanapita kila ofisi wanataka kodi ya mabango na ukiomba control namba hawataki kutoa. Tunamba Serikali iondoe hiyo kodi kwa sababu mteja anajitangazia biashara zake kupitia bango ili apate kodi ya TRA, jamanI sisi...
  6. A

    KERO Serikali ibadilishe mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo, washushe mzigo kwa Wapangaji uende kwa Wamiliki

    Naiomba serikali iweke chaguo katika ulipaji wa kodi ya majengo. Serikali iandae mfumo wa kuomba Control number kupitia namba za mita ili mwenye jengo aweze kufanya malipo kwa muda anaoutaka na ikiwa hajalipia kwa muda fulani mfano miezi 6 au mwaka mzima basi deni hilo lihamishiwe moja kwa moja...
  7. Powell Gonzalez

    Elon Musk ameokoa $ 25 billions kwenye kodi kwa kubadili jina la ''twitter'' kuwa '' x''

    Mfanyabiashara na tajiri bwana Elon Musk aliokoa takribani dola za marekani bilioni 25 kwa kubadili jina la twitter kuwa x . Sasa ipo hivi: Kwa pale Marekani, unapokuwa na public company inabidi utangaze kipindi ambacho itauza shares na kubadili shareholders. Sasa baada ya Musk kuinunua...
  8. ubongokid

    Je, ni wakati sasa kwa serikali kuanza kupunguza mzigo wa kodi kwa Wananchi?

    Habari za wakati; Hivi majuzi nilikutana na bandiko la TRA ambalo walikuwa wanaalika watanzania kutoa maoni kuhusu mifumo yetu ya KODI.Bandiko lile pamoja na kwamba lilikuwa halali la TRA lakini lilikuwa kama vile limefichwa fichwa(Mtazamo wangu) so sikulichukulia SERIOUS. Nimekuwa Katika...
  9. Msanii

    TRA mnajisikiaje kukamua kodi kutoka kwa wafanyabiashara wanaopata hasara kwa kukosa umeme na maji?

    TRA Tanzania hii hoja naiweka mezani kwenu. Mnakusanya kodi kwa niaba yetu ili tuweze kuwekeza kwenye maendeleo ya nchi. Lakini sasa, serikali inashindwa kuprovide umeme wa uhakika na kupelekea gharama za uzalishaji kuwa juu kwa sababu ya kutumia vyanzo mbadala vya nishati ya umeme. Anguko la...
  10. Forgotten

    Ramadhani Brothers kukutana na rungu la kodi

    Sina utaalamu na masuala ya fedha au kodi ila nimeona suala la kodi watakayolipa Ramadhani Brothers baada ya ushindi wao kule Marekani kwenye mashindano ya America's Got Talent (Fantasy League) likiibua maswali juu ya kodi watakayolipa. Ningependa kujua kama nitakuwa sahihi kwa huu mchanganuo...
  11. Replica

    Ramadhani Brothers kukutana na rungu kodi zaidi ya 180M kwenye 600M waliyoshinda

    Wale wana walioshinda kule Marekani TRA Tanzania inawasubiri kwa hamu, hela walizoshinda zitakatwa kodi ya 30%, yaani mtu ambae hajaruka sarakasi hata moja anakinga mkono apewe 30%. Akishaichukua wenyewe ndio wagawane 50% each kwenye kilichobaki. 600m-180m inabaki 420m, wakishapata hiyo...
  12. D

    Lowassa ametibiwa kwa kodi zetu, si hisani ya Rais Samia!

    Jana nimemsikia mtoto wa Marehemu Edward Lowassa ambaye pia ni Mtunga Sheria (Mbunge) Fred Lowassa akimshikuru Rais Samia Suluhu Hassan na kusema, "kama si Rais Samia baba asingefika Jumamosi alipofariki" kwamba ni Samia alijitolea Kwa hali na mali kuhakikisha Lowassa anapata matibabu...
  13. Papaa Mobimba

    KWELI Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hukatwa PAYE kama wafanyakazi wengine

    Nimekuwa nikisikia kuwa wabunge wetu hawalipi kodi kwenye mshahara mnono wanaopata. Kuwa walimu wanalipwa Tsh 400,000 lakini kamshahara hako kanaliwa na PAYE. Wabunge wetu wakiwa kwenye vikao, sitting allowance na Perdiem wanakunja 470,000 kwa siku, Mshahara wa mwisho wa mwezi nao mnono...
  14. N'yadikwa

    Kwanini kodi ya gari la miaka ya karibuni iko juu sana

    Yaani ukiagiza Japan gari la Miaka ya 1990's ushuru wa TRA upo chini. Ila ukijiroga uagize gari la miaka ya 2010's utafurahi na roho yako jinsi ushuru wa TRA ulivyo juu. Unakaa unajiuliza hivi hii nchi kuna mtu ana roho ya korosho hataki watanzania waendeshe magari mazuri? Nani anafanya hivi...
  15. Kiboko ya Jiwe

    Wewe Makonda, uadilifu umeanza lini? Makontena yako 20 ulikwepa kodi ya sh. 1.2 bilioni. Acha kuhadaa wananchi

    2018 kuna wakati ulianza kuwehuka mara makontena si yangu ni ya CWT, walipoulizwa chama cha walimu walikana licha ya maigizo yako ya kuchukua wanafunzi na walimu wachache kwenda kuwaonyesha makontena bandarini. Baadaye ukakana huyatambui. Baadaye tena ukaanza kugawa laana kwa watakaonunua kama...
  16. BARD AI

    Ghana: Serikali yasitisha Kodi mpya ya Umeme baada ya Wananchi kuigomea

    Serikali ya ghana imesitisha mipango ya kutekeleza ushuru wa 15% kwa nguvu, kufuatia ghasia za umma kwamba itazidisha mzozo wa gharama ya maisha. Kodi ya ongezeko la thamani (VAT) ilipaswa kutozwa kwa watumiaji wa ndani wa umeme. lakini vyama vya wafanyikazi vilipinga ushuru huo mpya na...
  17. R

    Kwanini Mawaziri na Wabunge Tanzania hawalipi kodi? Wanapata wapi nguvu yakidai wananchi walipe kodi?

    Tanzania ni nchi ambayo wanasiasa wa ngazi zote awalipi kodi kwa mapato yao. Hakuna diwani, mbunge wala waziri anayelipa kodi nchini. Wote wametunga sheria za kujiwekea kinga. Wabunge na mawaziri wanapewa mafuta na gharama za matengenezo ya magari na awalipi kodi . Wanalipwa posho kwa mamilioni...
  18. TRA Tanzania

    Stempu za kodi zashuka hadi 30%

    Stempu za Kodi za KIeletroniki (ETS) zashuka bei.
  19. ndege JOHN

    Mwenye nyumba yako anaweza kukuvumilia miezi mingapi bila kumlipa kodi yake?

    Maisha yenyewe ya sasa ukijichanganya ukaishi maisha fake ya kuigiza lazima u collapse tu kuna mpangaji mwenzangu single mother aliforce kumpeleka mtoto shule hizi za mamilion sasa hata baba mtoto amegoma kulipa ada mambo magumu Leo hii kafikisha miezi Sita anadaiwa tu kodi ila baba mwenye...
  20. Kaka yake shetani

    kodi ya jengo kuweka kwenye malipo ya kununua umeme ni kumuonea mpangaji

    huku tukisubiria chuo cha uchambuzi wa michezo ,leo kwa wale tulioponga kwenye biashara ua makazi swala la mpangaji kuwajibika kodi ya jengo kwenye umeme ni kama walijifikiria wao wenye nyumba zao ambao ndio wapo bungeni na mishahara minono. mnakamua 1500
Back
Top Bottom