TRA msipitwe na gari la mshahara
TRA kataeni siasa chukueni Pesa
TRA mleteni mjomba StarLink msipoteze muda kwenye pesa
Nchi zilizochelewa kuipokea zimegundua kuwa zilijikosesha mamilioni ya USD kwasababu Elon Musk analipa kodi kwa wakati na jambo kubwa zaidi hana longo longo kipengele mje...
Wafanya biashara wengi hupigwa fines wasizozitegemea na wanajikuta na mrundikano wa madeni makubwa yanayo waelemea kila uchwao.
SAbabu kuu zinazofanya wafanya biashara wanapigwa fines ni kutokuzijua compliances wanazotakiwa kuzifanya kila mwezi na kila mwaka.
Nimekuandalia E-book inayoitwa...
Serikali baada ya kukusanya kodi zetu haitoi ufafanuzi sahihi mfano huu mwaka serikali imekusanya takriban trilioni 8.7 za kitanzania Lakini hatuambiwi mgawanyiko wa hizi fedha maana ni fedha zetu wananchi.
Wataalamu naomba kuuliza kwani gharama za Kodi kwsnye kuagiza Gari zimeshuka au. Maana nimezoeaga kuona ghadama za kodi ni sawa sawa na Bei ya Gari kuagizia. Ila sahizi naona ni tofauti iko Chini
Kodi zimeshuka?
Kwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa.
Tozo hiyo inasomeka kama "HIV Response Levy " ambayo ni kiasi cha shilingi 100,000.
Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?
Ni Desemba 16, 2025, Kampuni ya Meta ilithibitisha rasmi kupokea ombi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) la kukata kodi ya asilimia 5 kwa kila malipo yanayolipwa kwa Watengeneza Maudhui (Content Creators) wanaoishi Tanzania. Utekelezaji wa mfumo huu unaanza Desemba 21, 2025, hatua inayozua...
Na Dkt. Kirimi Wanjagi
Mivutano ya hivi karibuni mpakani mwa Kenya na Tanzania, ambapo malori yalilazimika kusimama kwa saa nyingi kufuatia vurugu za Oktoba 29 nchini Tanzania zimefufua tena wasiwasi wa muda mrefu katika jumuiya ya wafanyabiashara eneo Afrika Mashariki kuwa hali mbaya kuliko...
Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.
Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye...
Wakuu,msada kwenye tuta tafadhali,kama kichwa kilivyojieleza hapo juu,niko mtupu kabisa kwenye engo hiyo,nmejaribu ku gugo sjapata chochote cha maana.
Naomba wakuu mnisaidie hili.
Nawasilisha
"Ndonger,mkongwe kwenye jukwaa"
Kuanzia #D9 Wananchi tunapaswa kugoma kulipa kodi hatuwezi kufadhili wauwaji na mafisadi wanunue siraha kutuuwa kwa kodi zetu.
Tunalipaje kodi ili zituletee maendeleo kama mnauwa watu.
Kataa wahuni !
Habari,
Naandika haya kutokana na mwenendo mbaya wa serikali ya Tanzania kukataa ama kugomea kusikiliza nini haswa walipa kodi wake nini hasa wanataka
Kama walipa kodi ndio waendesha nchi walipa mishahara ya wabunge, mawaziri, samia pamoja na polisi ni kwanini serikali hii ikatae kusikiliza...
Hivi eti Mtanzania mwenzangu hiyo nguvu ya kubaki unawaangalia tu vibaka wakiiba na kubomoa Mali za watu na za serikali uliitoa wapi?
Mbona wezi wa kariakoo huwa mnawashughulikia ilikuwaje watu wachome vituo vya mwendokasi, wabomoe maduka ya watu huku mnawashangaa tu?
Uzalendo upo wapi...
TRA walisema wafanyabiashara walioko online au wanaofanya biashara online walipe kodi ni sahii kwa asilimia 100
Siku za hivi karibuni kuna site unahitaji VPN ili uaccess jamiiforums ni mojawapo swali hawa watu wanaofanya biashara sehemu kama jamiiforums na twitter wanatakiwa kulipa kodi...
Kuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania.
Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji.
Kua na gari Tanzania ni anasa.
Wewe kama ni mmiliki wa Channel ya YouTube au mmiliki wa Website na unapata pesa kwa njia ya Google Adsense basi jua sasa hivi TRA wanakata Kodi mpaka huko YouTube na kwenye Websites kwa pesa unayokusanya kupitia Google AdSense. Hivyo uwezi kutoa pesa mpaka uwe na TIN namba pia, tofauti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.