kodi

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa makanisa na misikiti kulipa kodi ili wapate uchungu na kusimamia HAKI

    Makanisa na misikiti kutolipa kodi ni RuSHWA kwa viongozi wao ili wasikemee maovu au ili waitetee serikali kwa uovu wake. Kwa misingi hiyo makanisa na misikiti anze kitoa stakabadhi za malipo za EFD kwa kila pesa wanayopokea na kwa kila shughuli watakayoendesha. Haiingiit akilini eti...
  2. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Watalipa kodi, au ni kama sadaka?

    Habari wanandoa! Sina maelezo mengi, kichwa cha habari kinajieleza. Kwa kuwa uelewa wangu si mpana kwenye mambo ya kodi hapa Tanzania, ningependa kujua kama B 100 za harambee ya CCM kodi itakatwa, au ni kama sadaka?
  3. K

    JamiiForums Tanzania CCM walipe kodi kwa hiyo harambee yao

    Walipe Kodi kwanza 86 b bila Kodi ni wizi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa kodi

    Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa wapi? Kodi za TRA Kukwepwa, usalama kuwaogopa na kukwepa kodi kutawasaidia bei ya vitu vyao kuwa chini na kuwafanya wapate pesa zaidi
  5. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Fikiria: wametumia Kodi Yako kununua chama,wamekupa Baiskeli wao wana V8. Leo wanakuchangisha. Mungu waokoe watanzania

    Watanzania. Watanzania. Watanzania.🇹🇿. Hawa jamaa hata aibu hawana. Sasa wanawaibia watanzania bila aibu kabisa. Ni Mungu tu ndiyo anajua atawachoma Moto wa aina Gani. Tazama,wametumia Kodi za Wananchi kufadhili chama kikaragosi. Wameiba kila namna. Leo wanachangisha watanzania wakati wao...
  6. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna kodi mpya ya majengo Mwanza

    Miaka 7 iliyopita nilinunua kiwanja cha SQm 400 hivi maeneo ya Sahwa. Kutokana na uwezo wangu mdogo tukashauriana na wife tujenge nyumba ndogo kwanza ya vyumba viwili na sebule baadaye tukitulia ndio tujenge nyumba ya nafasi. Kweli nilifanikiwa kujenga nyumba ndogo na nikaunga umeme pia na...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TRA kodi haiwahusu mawinga wanaoingiza chini ya milioni 4

    "Winga ambaye anafanya biashara ya mtu mwingine na anapata kipato, kipato kile lazima kilipiwe kodi kama kimezidi milioni 4. Kama hakizidi hatuna shida naye." - Richard Kayombo, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Elimu kwa Mlipa Kodi TRA Pia soma > TRA: Tumeongeza muda, mawinga wataanza kujisajili...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Idadi ya walipa Kodi kenya waliosajiliwa ni milion 7 TZ NI MILION 1.5

    Ewe Kenya utatuburuza mpaka lini?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa waTanzania ni kujidanganya kuwa kodi zinazokusanywa ni zao wananchi

    Yaani watu wakae vikao ambavyo wewe huingii wapange kodi,wakusanye,wapange matumizi yake,walipe madeni,wapange matumizi,wajilipe wao,nk bado mnakomaa tu kuwa hela za kodi ni zenu mna akili kweli nyie? Hela ambayo huna maamuzi nayo ni yako kvp? WaTz mjitafakari!!
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania TRA Kodi za Wananchi ni Maisha ya Viongozi?

    Tanzania Revenue Authority (TRA), taasisi iliyoundwa rasmi mwaka 1995 kwa madhumuni ya kukusanya mapato ya serikali, leo hii inakabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi wanaohoji uhalisia wa mchango wake katika kuboresha maisha ya Watanzania wa kawaida. Wapo wanaosema kuwa mfumo huu wa...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TRA yawataka 'mawinga' kulipa kodi

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amewataka wafanyabiashara wa kati maarufu kama mawinga kuhakikisha wanazingatia sheria za kodi na kujitokeza kulipa kodi kwa wakati. Akizungumza Agosti 9, 2025 jijini Dar es Salaam, Kamishna Mwenda ametoa wito huo wakati wa...
  12. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Mafao ya ustaafu wa Ndugai yaende kwa mjane yupi? Hizi ni kodi zetu, hatutaki kuwalipa mahawara au watu wasiostahili

    Sheria za kindezi zilitungwa kuwanufaisha wenzi wa viongozi wa juu wa nchi pale viongozi wale wanapokufa. Sasa ngoma imeanza kuwa nzito baada ya kifo cha Ndugai, na kuibuka kwa wajane wawili tofauti. Mjane wa kwanza, anahamika kama Stella Mmasy, ikielezwa ni mke wa kwanza wa ndoa ya kikristo na...
  13. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuhama na kuacha vitu ndani kama fidia ya kodi uliyokuwa unadaiwa?

    Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenye changamoto za TRA, barua kutoka TRA na mambo ya Kodi - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania acheni chuki kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) sheria za kodi hutungwa na bunge. TRA ni wasimamiaji tu

    Ukipita mitandaoni, sehemu mbalimbali mitaani, iwe mijini na vijijini, lawama za watanzania wengi zimekuwa zikielekezwa kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwamba ina uonevu mkubwa kwa wafanyabiashara na imekuwa ikianzisha tozo au kodi mbalimbali ambazo zinalenga kumkandamiza mfanyabiashara au...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kodi kwenye kituo cha biashara Ubungo ni pesa ngapi?

    Naona Leo wanazindua kituo cha biashara Afrika Mashariki, Ubungo. Kodi ya frame hapo ni pesa ngapi?
  17. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni tupige hesabu, Kila mbunge akipewa milioni 400, jumla ni shilingi ngapi zinachotwa kwenye kodi zetu ?

    Ni matusi kukiita kiinua mgongo kwasababu hata watumishi waliofanya kazi miaka 30+ katika taasisi kubwa kama Benki kuu, TRA, Bandarini, Tanapa, n.k. wengi sana hawapati hicho kiasi, Kuna jumla ya majimbo mangapi yenye wabunge Idadi ya wabunge Viti maalum Idadi ya wabunge wanaochaguliwa na...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wapiga Kura 37m vs Walipa kodi 2m?

    Inashangaza Sana kumbe tuna Taifa tegemezi kwa nakisi ya 35m watu hawalipi kodi
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kodi chache watakazolipa viwanda nikiwa Rais wa Tanzania

    Kuiondoa ccm madarakani
  20. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hii pressing ya TRA Kudai Kodi sijawahi kuiona

    Sikujua kama wanakabia juu Hadi Kwenye mitaa ambayo sio ya kibiashara, mfano MTU kajenga nyumba mbele kaweka frem ndogo na haipo karibu na barabara kuu IPO mbali kabisa, lakn wanakimbizana na Raia. Leo nmeshangaa Sana wamama wanaokimbilia ndani huku wakifunga biashara zao wakitoa matusi ya...
Back
Top Bottom