Nipo hapa Dodoma, Wakuu takribani wote wa Mikoa tupo nao mitaani tunakutana Bungeni tu, nilipowauliza wanafanya nini wametujulisha kuwa walikuja hapa zaidi ya wiki tatu zilizopita kwa ajili ya kusikiliza hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu.
Miaka ya nyuma ilikuwa kawaida wakati wa Hotuba ya Waziri...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inapaswa kujenga uchumi imara unaojiendesha kwa kutegemea mapato yake ya ndani.
Akichangia Bungeni, Shigongo ameeleza kuwa mchango wa mapato ya kodi kwenye pato la Taifa bado ni mdogo, jambo linalohitaji Serikali kuweka mazingira rafiki...
Hivi TRA wameongeza kitu kwenye makato yao?
Binafsi sijaelewa vizuri ni nini kilichoongezwa.
Kuna ile kodi ya pango ambayo tunalipa siku zote mfano mimi nalipia Shilingi 72,000 kwa Mwaka, sasa mwaka huu wanasema nilipie Asilimia 10 ya hiyo kodi ya pango ambayo ni 7,200 yaani nalipia 72,000...
Habari za wakati huu Wana-JF,
Kufuatia mabadiliko ya bei za nishati duniani, Serikali ya Zambia imechukua hatua za dharura kunusuru uchumi wake. Kuanzia tarehe 1 Aprili, 2026, serikali hiyo imesitisha ushuru wa bidhaa (Excise Duty) na kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye uagizaji wa...
Serikali ya Namibia kupitia Waziri wa Nishati na Madini, Modestus Amutse wamepunguza kodi ya Mafuta kwa asilimia 50 ili Makampuni yasipandishe bei ambapo itaumiza Wananchi, Amutse ametoa tangazo hilo tangu Machi 27 ambapo unafuu wa Kodi utadumu kwa miezi mitatu wakati ambao wanasikilizia hali ya...
Dar es salaam sasa mafuta ni 3820 kwa lita na mikoa mingine imefika mpaka 4060 kwa lita ya Petroli.
Tunakubali kuwa vita zimechangia mfumuko huu wa bei lakini serkali ina kodi na tozo nyingi mno kwenye mafuta, kwa nini iangushe mzigo wote kwa mlaji huku yenyewe ikiendelea kupata makusanyo.
Na...
habari
ikiwa wewe ni mfanyabiashara mkubwa au mdogo na unakabiliwa na gharama kubwa za uendeshaji wa biashara yako kiasi kwamba biashara Yako inaweza kufungwa basi karibu ukope kwetu, kama una changamoto ya kudaiwa Kodi ya pango, Kodi Toka TRA, bill za maji umeme na mishahara ya wafanyakazi...
Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote.
Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na pia mashabiki wa Simba na Yanga. Hii inamaanisha kuwa kwenye jambo la kitaifa usiingize jinsia...
Huyu mzee JPM r.i.p alikataa hizi tume aliona ni kutumia vibaya kodi za wananchi maskini leo hii kila jambo linaitaji tume then what next ni upotezaji wa kodi za walala hoi hizo tume zinatumia pesa nyingi bila tija
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
ELIMU YA KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI (VAT) KWA WAFANYABIASHARA
https://hiltonhotelrental.com/register?pId=KOHLYC
~Wamiliki wengi wa biashara ndogo husikia kuhusu VAT lakini hawaelewi kikamilifu jinsi inavyofanya kazi. Kuelewa kodi hii ni muhimu kwa sababu inaathiri upangaji wa...
Ni jambo linalofikirisha kidogo, wakuu salam sitatoa.
Hali ya kutoheshimiana kati ya shirika la umeme Tanzania TANESCO na wateja wake imezidi kushamiri.
Hivi inatokana na suala lisilo la kiungwana la shirika hilo kufunga mita mpya zikiwa na deni la pango la ardhi kwa miezi ya nyuma hata kama...
Someni wazo mtoe maoni yenu!!
Maendeleo ya taifa lolote hujengwa juu ya mshikamano na ushirikiano kati ya Serikali na wananchi wake. Ushirikiano huu hujidhihirisha kupitia ushiriki wa wananchi katika kulinda amani, kushiriki katika shughuli za maendeleo, pamoja na kutekeleza wajibu wao wa...
Kundi la wafanyabiashara hii kongwe zaidi nchini na duniani ni kubwa mno. Watu hawa wako kila Kijiji/mtaa, kata , wilaya na mkoa. Kama tukiwasajili na wakalipa kodi, kitakuwa chanzo kikubwa sana cha mapato.
Utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya Mahusiano na Unyumba, imebaini kuwa pesa...
Ningependa kutoa ushauri wangu kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu changamoto ya makampuni na biashara zenye madeni makubwa ya kodi lakini ambazo kwa sasa hazifanyi kazi au zimekwama kabisa.
Kwa uhalisia, biashara nyingi hazikufa kwa makusudi ya kukwepa kodi, bali kutokana na mazingira...
Akizungumza katika kikao kazi kilichowakutanisha Watendaji Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya pamoja na watumishi wa sekta ya afya wa Mkoa wa Dodoma Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa Kutoa huduma kwa wananchi si kitendo cha hisani, ni Haki kwakuwa...
Karibu Leo, Linda na kuza biashara yako nasi.⚖️
Huduma zetu ⚖️
1. Ushauri WA kodi
✓ Kufanya makadirio ya 2026 ( January -March)
✓kutuma return za PAYE, SDL, VAT na WHT ( January - December)
✓ Ukaguzi WA kodi
✓ kufanya mapingamizi ya KODI
✓ kusajili VAT
2. Huduma nyinginezo
✓ leseni za biashara...
Kuna vitu vinafanywa na serikali ukiviangalia vinaumiza, vinatia watu hasira, na hata hakuna anayejali, au kuumia kama ambavyo Wananchi tunaumia.
Hapo juu kuna picha nne, ingawa nimeziunganisha ili zikae sehemu moja, ni picha ya gari la taka, nyingine la kukusanya uchafu na nyingine ni mashine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.