Kiwanja kinauzwa. (HAKINA UDALALI)
Mahali: Bagamoyo vijijini
Kijiji cha WAMI STATION (MATIPWILI)
Ukubwa: Robo heka na ni TAMBARARE
Kipo kando ya barabara itakayojengwa ya EAST AFRICA.
Huduma za kijamii zote zinapatikana.
Usafiri ni wa Gari na Reli.
Umbali ni 40km kutoka Barabara kuu...
Wakuu kwema ..nahitaji mkopo wa Million mbili nina kiwanja kipo kisongo naweka kama bondi nimekwama sehemu hivyo nahitaji hiyo pesa.
Kwa mwenye nia anisaidie kupata hiyo pesa then ndani ya miezi miwili kuanzia mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nitarudisha.
Asante ni kila kitu kipo...
Sio tu Tanzania, ni kanisa la kwanza Afrika Mashariki.
HOLY GHOST CHURCH
KANISA KATOLIKI
BAGAMOYO, TANZANIA
LILIJENGWA 1872
Wakiongozwa na Sultan Majidd binafsi, Waislamu wa Bagamoyo waliwagawia kiwanja Wakristo wajenga kanisa mwaka 1868. Lilijengwa na wamishenari wa Kifaransa na kukamilika...
Naomba watu wamvuti mnipe uzoefu pakoje, je pamejengeka kama Chanika?
Je bado ni mashambani? Je kiwanja naweza kukitumiaje kibiashara kabla ya kujenga?
Ukijenga nyumba ya kupangisha inalipa Nimepata uwanja bado sijaenda kuuona.
Alienda ndugu yangu kukabidhiwa. Bado naona kama mbali...
kwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu, nimehangaika kutafuta nafasi jkt miaka 8 mfululizo bila mafanikio, nimehangaika kutafuta nafasi za polisi...
Kiwanja kina nyumba yenye vyumba viwili na sebure kimoja ni master.
- Kiwanja ni 624m2
Kuna maji hapo hapo (ya uhakika) na umeme(wa uhakika)
Dk2 bara bara ya lami
- frem ya biashara moja
Nyumba yenye vyumba viwili sebure chumba kimoja ni master
Mahali MAGU MJINI
BEI NON NEGOTIABLE 6.8mil
-...
Habari wanajf kiwanja kinauzwa maeneo ya chanika nguvu kazi,upande ule wa pili wa hospital karibu na mjasiriamali (mfugaji wa kuku)
Mwendo wa nusu saa kutoka barabarani
Urefu 70 upana 35
Bei ni 4.5 milion
Hati bado haijalipiwa
0786180342
Note:mimi sio dalali bali mwanafamilia
Habari nahitaji eneo dogo la ujenzi, maeneo ya makabe njia panda maeneo hayo hata kama unaingia kidogo siyo mbaya.
Sihitaji dalali,budget Milion4 charp
No yangu 06521326
Pata kiwanja 10 kwa 10 kwa shilingi milioni mbili tu eneo la mbezi mzalendo. Usafiri wa bajaji toka mbezi stend ni 1000 tu. Eneo ni kubwa hivyo unakatiwa kutokana na ukubwa unaotaka na hela uliyokuwa nayo.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0716694624
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma katikati ya mji maeneo ya majengo kina ukubwa wa 35 kwa 17, kina offer.
Bei ni 230mil mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082, naamini hutojuta kukinunua kama una mipango ya kuwekeza katikati ya mji.
Karibuni
Habari,
Mimi ni mgeni sekta hii ya ardhi maana nimeishi miaka bila kubahatika kujenga wala kununua nyumba..
Sasa kilichonipelekea kufungua Uzi huu nimefiwa na mama yangu mzazi na alikuwa ana nyumba Temeke...hakuwa na hati ya eneo maana aliipangisha tu...document zilizopo ni za kulipia Kodi ya...
Nyumba na kiwanja vyauzwa Bunju B Sokoni 80m/=.
Kina title deed, 890 Square Meters, master, vyumba 3 vya kwaida, public toilet, garage, karibu na soko na barabara kuu ya Bagamoyo.
Bunju
Mzee Jaros
0754826668
0712168055
Wakuu Kama kichwa kilivotanabaisha hapo juu,Kuna mahali nina kaplot ka ukubwa wa Meter 11x15 nataka nianze kukafanyia kazi.je naweza fyatua kanyumba ka chumba tatu na eneo la parking likabaki?
Wakuuu poleni na majukumu.
Ijumaa ntakuwa dodoma ndugu yenu naombeni location ya kiwanja cha bata chenye watoto classic kinachojaza toto zinacheza mziki mkubwa hapa makao makuu Dodoma
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Habari wakuu.
Mimi naombeni msaada wa kutaka kujua kama je ni kweli unaweza kubadili jina la muuzaji kiwanja kwenda kwa mnunuaji kiwanja?
Nimenunua kiwanja ambacho kina OFA tu sasa bado sjabadilisha jina na nyaraka zote ninazo ambazo kanipa muuzaji sasa nikaongea na afsa ardhi kaniambia hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.