Ninacho changu mwenyewe kipo Kiluvya makurunge bei ni mil 3, mita 20×20 , bodaboda 2000 hadi sites kuanzia kiluvya madukaniHabarini natafuta kiwanja Dar es Salaam maeneo ya Kibamba, Goba kiwe kizuri si ndani sana wala mbali sana.
Bajeti milioni 5.
Kwa mwenye nacho aniambie.
Panda kidogo nikupe GobaDuuh..m5 hata magwepande hupati.
#MaendeleoHayanaChama