kiwanja

  1. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kinyerezi ukubwa kiwe 30x25

    Wakuu natafuta kiwanja maeneo ya Kinyerezi kilichopimwa kwa size ya 30 kwa 25, bajeti yangu haizidi 10mil naomba mwenye kujua tuwasiliane
  2. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Igoma Mwanza

    Kiwanja kinauzwa IGOMA mtaa wa kilimo msikitini SIZE YAKE NI HATUA 33*33 Kimepimwa (beacon zimewekwa) Maji, umeme, barabara vipo tena uhakika muda wote. kutoka kiwanjani kwenda igoma senta dakika 5-10 tu kwa pikipiki/gari. kwenda machinjioni/kijereshi ni dakika 3-5 kwa boda. BEI NI 15 mil...
  3. Mersen

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

    Kiwanja kipo eneo la Nzuguni centre kabisa kwa wasiokufahamu ni Karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani na soko kuu la ndugai . Kiwanja ni kwa ajili ya matumizi ya taasisi za kidini, shule na matumizi mengine. Kiwanja kina hati kabisa na hakidaiwi ukubwa ni HECTARES 3.1 kama inavoonekana...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Miliki Sasa Kiwanja Chako Kilichopimwa Dar es salaam -Kigamboni Mwasonga Kwenye Mji Unaokua Kwa Kasi. Kwa Bei Poa Kabisa

    Project Closed
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata mkopo kwa kutumia hati ya kiwanja?

    Habarini wakuu. Nina hati ya kiwanja, ninashida ya mkopo kama mil 2-3. Wapi naweza pata mkopo kutumia hati nimejaribu benki kama 2 hivi nimekosa.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Fukayose

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa ekari 1 maeneo ya Fukayose. Kama unahitaji ni PM
  7. AVO28

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri Wenu Wajuzi Wa Sheria Au Waliowahi Pitia Ishu kama hii

    Salaam Wakuu. Naomba ushauri kwa wajuzi wa sheria au hata wasio wajuzi wa sheria lakini wamepitia ishu kama yangu. Kufupisha Stori, Nilinunua Viwanja viwili maeneo ya tabata, viwanja hivi vipo kwenye eneo la sqm 6000+ (Lina hati ) mimi nimenunua maeneo mawili ndani ya eneo hilo kubwa, na...
  8. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Karibu Galilaya nikuuzie kiwanja. 10Kms from Mwanza city centre

    Karibu sana Kiwanja kiko Jijini Mwanza. Kata: Muhandu wilaya: Nyamagana mtaa: Galilaya kiwanja kimepimwa, beacon tayari zishawekwa ukubwa wake ni 28 by 18 hatua za miguu. Miundombinu yote ipo kiwanjani. Kiko Barabarani kabisa. Bei ni 10million Tshs karibu tuwasiliane 0713096076
  9. P

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni

    Nauza eneo (ekari moja) Milioni 12 ,Ila naweza kukata viwanja vya 35*35 kwa 3 milioni . Kiwanja kipo lingato kigamboni. Kama unatoka ferry kwenda kongowe kituo Ni fundi baiskeli halafu unachukua boda. Au Kama unaenda mwasonga Ni nyuma ya kiwanja Cha oilcom. (Price is negotiable) Piga 0686798081...
  10. Benno Bongo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mwanza

    Kiwanja kinauzwa Mwanza karibu na Dolphin Lodge. Note: hizi picha ni za zamani kidogo sasa hivi majirani wamejenga. Kwa mawasiliano zaidi pamoja na kuuliza maswali ili kujiridhisha piga simu namba 0753155934
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kiwanja maji ya chai arusha 6.5mil

    Kiwanja kinauzwa kiko mita 200 kutoka kituo cha kona ya maroroni maji ya chai barabara kuu ya moshi arusha ukubwa ni mita 30 kwa 15 kinaumiliki halali kiwanja kimezungukwa na maeneo yaliyojengeka makazi mazuri maji na umeme vipo barabara pana na mandhari nzuri ya kilimanjaro na meru bei ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dar es alaam - Chanika

    Habari za leo wana JF. Ninauza kiwanja changu ambacho kipo Chanika Zingiziwa. Kina hati ya serikali ya mtaa. Kina ukubwa wa sqm 406. Kipo eneo la tambarare, udongo wake ni kichanga. Ni sehemu iliyozungukwa na makazi ya watu. Kipo karibu na Zahanati ya Zingiziwa. Bei ni milioni nne na laki...
  13. Waterbender

    JamiiForums Tanzania kiwanja kinaitajika mwanza

    Habari za sahizi. Kuna jirani yangu anahitaji kiwanja jijini mwanza kisiwe cha milimani.
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Bunju au Mbweni

    Salaam wadau. Ninatafuta kiwanja lililopimwa kwenye mradi wa viwanja 20,000 eneo la Bunju au Mbweni. Ukubwa wa kiwanja kiwe si chini ya sqm 1,500. Kama unacho tafadhali tuwasiliane hapa au PM. Tafadhali uje na bei kabisa.
  15. Merci

    JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja Mabwe Pande karibu na Mto Mpiji kina ukubwa wa Mita 25 kwa 20

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa mita 25 kwa 20 kilichopo Mabwe Pande karibu na mto Mpiji kwa Tsh 5M. Umeme upo tayari kiwanjani na pia Kiwanja hiki hakijapimwa. Nipigie 0736770052
  16. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata Kiwanja cha chini ya milioni 4 kwa Dar es Salaam?

    Habari Wana JF, Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4 Vigezo; Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam) Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
  17. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kudhurumiwa kiwanja

    Habarini wana jamvi,Nina shida kuhusiana na kichwa cha habari husika hapo juu. Iko hivi Miezi 6 iliyo pita nilinunua kiwanja cha makazi maeneo ya Kinyerezi Dar es Salaam, Baada ya kua nimeonyeshwa mipaka ya eneo na michoro ya kiwanja katika ramani ya mipango miji na mhusika wiki...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Iringa

    Mahali: Iringa mjini, kata ya nduli Hadhi: Hakijapimwa. Ukubwa: hatua 27*30 Nyaraka: Hati ya mauziano toka ofisi ya kata Bei: 3.5 milioni Mawasiliano: 0627089049 Kiwanja kipo katika mtaa wa Mapanda Umbali wa mita 400 toka barabara kuu ya Iringa-Dodoma.
  19. Nijosnotes

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Buhongwa, Mwanza hakina udalali

    Kiwanja kinauzwa Buhongwa mwanza mita 800 tu kutoka stendi ya daladala buhongwa. Ukubwa ni Squaremeter 1200 Kiwanja ni tambalale na kipo barabarani kabisa, eneo limeendelea kwa makazi ya watu.... Huduma za umeme na maji zimefika. Bei Tsh. 18,000,000. Hakina udalali ongea na mwenye nyumba...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja chenye msingi kilichopo Chanika kinauzwa

    Ukubwa 20*20m Msingi wa kisasa Tofali mia mbili zipo Gari inafika Umeme nguzo ipo site Bei 5m, mazungumzo yapo 0712464478
Back
Top Bottom