Plot4Sale Miliki Sasa Kiwanja Chako Kilichopimwa Dar es salaam -Kigamboni Mwasonga Kwenye Mji Unaokua Kwa Kasi. Kwa Bei Poa Kabisa

Mkuu Mwasonga ipi KM 22 kutoka Ferry??
Wakati kutoka njia panda ya Fery na Tuangoma kwenda Mwasonga, kupita Dar Zoo ni KM 35 hapa bado hujaweka umbali wa Njia Panda kwenda Ferry! Pia Ukitaka kupita njia ya Kongowe Vikindu hadi Mwasonga inafika 45-60 KM. Weka takwimu zako vzuri mkuu ili wateja waje wakijua umbali halisi.
 
Back
Top Bottom