kiwanja

  1. A

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha Mlandizi

    Kiwanja kipo kibaha mlandizi. Ukubwa 20 Kwa 20 Bei ni milioni mbili. Kimepimwa tayari,mawe yapo. Km Moja na nusu toka morogoro road 0629075172
  2. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Igoma-Mwanza: Kiwanja kinauzwa

    Info: kiwanja kipo Igoma, mtaa wa Kilimo A. 0713096076 Umeme upo karibu na Beacon Size ni hatua 35 kwa 25 za mtu mzima (sijapima Kwa mita tafadhali) Beacon zimewekwa na kishapimwa zamani sana. Maji Yapo unavuta mita chache kutoka kwa Jirani. Barabara ipo kinaingilika vizuri hakijabanwa na...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    Kipo ubungo riverside eneo la makoka, kipo karibu na barabara kubwa na kimejengwa mabanda mawili ya wapangaji yenye vyumba viwili viwili,,kinafaa pia kujenga flemu za biashara. Mwenye uhitaji DM tafadhari kwa maelekezo zaidi
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mnaonunua viwanja kama uwezo upo nunua kiwanja kinachotosha nyumba ya pili ndogo

    Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo. Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi. Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

    Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni. Hoja ilipitishwa na Baraza Kuu. Jengo hili litakuwa na kumbi za mikutano, ofisi za kurugenzi, ofisi za viongozi wakuu, swimming pool, Heliport (kutua helcopter), lactation room (chumba cha kunyonyeshea) na mengine...
  6. amu

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja minauzwa Kinyerezi kwa Ditopile

    KIWANJA KINAUZWA UKUBWA MITA 28 KWA 18 TAMBALALE LOCATION: KINYEREZI KWA DITOPILE. MWENYEWE NDIO ANAEUZA. MAUZIANO NI SERIKALI YA MTAA. UKIHITAJI WASILIANA 0620593714 Bei Million 9
  7. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nataka Kununua Kiwanja Zanzibar

    Nimemuuzia Mpemba mmoja Kiwanja hapa Kihonda Morogoro, hakuna kikwazo chochote alichopata kipindi cha kubadili umiliki wa kiwanja toka kwangu kwenda kwake. Sasa nataka namimi niende Unguja nikanunue kiwanja kwaajili ya makazi na biashara... Naamini sitakutana na kikwazo chochote maana hii ni...
  8. dracular

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha ukubwa wa miguu 20 kwa 20 je kinatosha kwa plan hii?

    Wakuu habarini za majukumu? Kama kichwa cha habari kinavosema je, kwa ukubwa wa kiwanja hicho naweza jenga nyumba ya vyumba vinne kimoja masta public toilet pamoja na store kisha nikapata nafasi ya kuchimba kisima kirefu pamoja na parking? Naomba kuwasilisha kwenu 🙏
  9. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Tegeta Mivumoni, Umoja road

    Habarini wakuu wote kwa ujumla, Napenda kuwafahamisha wadau wote ambao mmekua mkitafuta au kuwaza kupata kiwanja kizuri Tegeta,Mivumoni Eneo la Umoja Road. Kiwanja kinauzwa . Ukubwa Sqm 2000 Bei:100m Maelewano kdg yapo. Hati ipo safi kabisa. Sehemu ni nzuri na kiwanja kina majirani kushoto na...
  10. Prince Juzo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa

    Kiwanja kipo Mahoma Nyika (kitalu BD), Dodoma. Kiwanja kimepimwa, ukubwa ni 514 m². Sifa za Eneo kiwanja kilipo. Kipo karibu na stendi ya mabasi ya mkoani, soko la ndugai , Magufuri City, Ring road na uwanja wa ndege wa Msalato International Airport. Yaani kimezungukwa na hivi vitu. Sababu ya...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa zaidi ya Tsh. 45,000,000 kwa kuuziwa kiwanja feki

    Haya mambo yasikie tu. Nina siku ya nne leo tangu nigundue kwamba nimepigwa, hata kula vizuri siwezi, nawaonea wivu wenzangu walionunua maeneo madogo kwa bei za 15m kushuka chini. Naona hasara yao ni ndogo kuliko yangu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kipi kiwanja safi na totoz za maana Mwanza?

    Leo niko huku kanda ya ziwa Mwanza. Nitakuwa huku kwa siku tatu,kwa wenyeji wa Mwanza ni sehemu gani unaweza kupiga bia vizuri huku ukizungukwa na totoz nyingi za maana,nimezoea sana maisha ya Dar. Kwa mwenye ufahamu adondoshe comment. Karibuni.
  13. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Njiro karibu na barabara ya Lemara

    Kiwanja kinauzwa njiro karibu kabisa na barabara ya lemara. Kwa wale wanaojua kanisa la KKKT Lemara ndio hapo hapo karibu. kabla haujafika kikwakwaru stendi. Kiwanja ni 30 kwa 15. kina msingi ndani ambao ni ramani ya nyumba. ukitaka kuendeleza sawa. Kuna mawe na mchanga pia uliobaki. Ni...
  14. Green Beret

    JamiiForums Tanzania Hatua za kufuata kununua kiwanja

    Wakuu naulizia hatua za kufuata kununua kiwanja kwa mtu. Naomba ushauri nisije kuingizwa mjini Nawasilisha wakuu
  15. STREET SMART

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja/ Shamba linauzwa Heka Moja Chanika Mwanzo Mgumu

    Habari za asubuhi wadau, nimeshikwa na shida nauza kiwanja changu kilichopo Mwanzo mgumu chanika. Ukubwa hekari moja Bei 2.5m maongezi yapo Mawasiliano piga simu 0718658747
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kiwanja chamazi kinahitajika. Bajeti kisizidi 4m

    Habari natafuta kiwanja eneo la chamazi. Kuanzia magengeni mpaka maeneo ya azam. Bajeti yangu ni milioni 4 kushuka chini. Kama unacho toa sifa zake kama size kikoje na kiko chamazi ya wapi ili nije kukiona na kulipia
  17. Sagungu 1914

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kama serikali ya kijiji ina mamlaka kisheria kugawa kiwanja cha mtu bila idhini yake

    Ndugu kiwanja chetu cha familia kilivamiwa na mtu ambaye alikuwa jirani yetu kwa kipindi hicho, tulipokuwa tunamwambia atoke kwa mdomo alikuwa anasema kuwa hawezi toka kwani amepewa na serikali ya kijiji baada ya kuona hicho kiwanja hakiendelezwi. Tulipofungua kesi mtendaji anasema eti huyu...
  18. GISAMBO

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Bunju B Sqm 1666

    Kiwanja ukifika Bunju Stand pale unaingia Kulia kama 1km watu washajenga kando ya kiwanja kina Hati na akidaiwi Bei n 80m negotiations 0692685475
  19. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

    Wakuu MDA SI mrefu nmetoka kupigiwa Simu na rafiki yangu mmoja wa karibu Sana Ni DOKTA hospital moja ya wahindi hapa mjini,Na anamiliki duka moja la dawa za binadamu kubwa Kiasi ambalo suka ilo mkewe ndo muuzaji na msimamizi mkuu wa kila mara. Sasa Jamaa kapigia akinipa taarifa nzito sana khs...
Back
Top Bottom