kiwanja

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia wakati wa kununua kiwanja

    Wakuu humu kuna watu wa aina mbalimbali ambao wana ujuzi wa mambo tofauti tofauti. Una yapi ya kumwambia kijana ambae anataka kununua kiwanja? Mambo gani azingatie ili asije akajuta huko mbeleni?
  2. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Tegeta "A" Kwa Bedui

    Kiwanja kinauzwa goba tegeta "A" kwa bedui Dakika 3 tuu kutoka kwa bedui center Dakika 7 tuu mpaka goba centre Dakika 10 tuu mpaka madale mwisho Kiwanja kina sqm 700 Ni corner plot Kina njia kubwa pande mbili Eneo limejengeka vizuri sana Kiwanja kinauzwa milioni 40 tuu.... ☎️ +255 699...
  3. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA MAKONGO/DAKIKA 10 TUU MPAKA MLIMANI CITY/KIPO TAMBARARE NA JUU

    Kiwanja kinauzwa Makongo CCM Kilomita moja kutoka Makongo Road Kiwanja kina njia pande mbili/Conner Plot Kiwanja kipo juu tambarare Kiwanja kina SQM 1500+ Kiwanja kinauzwa Milioni 210 tu(maongezi yapo) Kiwanja kimezungukwa na nyumba za kisasa Dakika 10 upo Mlimani city ☎️+255 699 255 530 Beach...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Madale njia yakuelekea Mbopo

    Kiwanja kinauzwa kipo Madale njia ya kuelekea Mbopo umbali wa 1km kutoka lami. Kinaukubwa wa 1000 square meters Bei ni 40M Mazungumzo yapo Tucheki kupitia 0674630975 ama +255 714 796 778
  5. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Fursa adimu ya kuwa mmiliki wa kiwanja cha bei poa Mikocheni A, Pata taarifa zaidi"

    " Ni fursa adimu kuwa mmiliki wa kiwanja cha bei poa huko Mikocheni A. Kiwanja hiki kina ukubwa wa 1500sqm na kina hati miliki, kwa hiyo unaweza kuwa na uhakika wa umiliki wako. Kiwanja hiki ni muhimu sana kwa ajili ya ujenzi wa apartments, office block, au hata ukumbi wa starehe. Bei yake ni ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Mwanza, Shibula, 20x41, miloni 2 laki 3

    Kiwanja kimefanyiwa survey mnunuzi utaenda kuandikisha hati kwa jina lako. Whatsapp 0656388678
  7. A

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja cha biashara Tegeta kibo compex

    Kiwanja caha biashara kipo opposite na New kibo complex Tegeta kina ukubwa wa 1260 square meters Kinafaa kwa matumizi ya biashara kama petro station, apartment, Maduka n.k Kianuzwa 850M Mazungumzo yapo. Kwa mawasiliano zaidi unaweza piga namba 0674630975 Ama 0714 796 778 Karibuni sana
  8. E

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA MBEZI MWISHO MAKUTI

    KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA MBEZI MWISHO MAKUTI BEI NI MILION 13 TU ■■UKUBWA WA KIWANJA MITA 20 KWA 20 ■■UMEME NA MAJI YAPO SITE ■■VIMEPIMWA NA KURASIMISHWA KWA MAKAZI BORA 0675 065906
  9. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plots, Apartments for Sale

    Apartments for Sale Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa. Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool. Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili na ishirini) Ina mteja analipa kodi $1500 per month, Kama mtu anataka kuhamia mteja atapewa notice...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nilijenga kwenye kiwanja cha mama mkwe,akachukua mkopo wakataka mie ndiye nilipe

    Nilijenga kwenye kiwanja cha Mama mkwe, akaamua kuchukua mkopo kwa kutumia kiwanja hicho na wakataka mimi ndiyo nilipie! Aliniambia tusijenge kwenye kiwanja changu kwa sababu ni mbali na mjini. Kwa kweli, niliona kama ni mbali, lakini akaniambia kuwa kuna kiwanja mama yake alimpa kama zawadi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kizuri kwa biashara kinauzwa wilaya ya Kigamboni,Dar es Salaam.

    Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani. Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi, kiwanda cha saruji(sementi), mahoteli, fukwe,vituo vya mafuta,viwanda vya matofali,n.k. Eneo lipo...
  12. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Kipo Kibaha kwa Mathias Msangani karibia na zahanati ya Msangani. Kina ukubwa mita 30 Kwa mita 20. Bei milioni 3. Miundo mbinu iko vizuri. Barabara ya lami, bajaji 1000, boda 1500.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Balili Bunda ukubwa 29 kwa 28, bei 5.5milion

    Kiwanja Kiko balili mjini wilayani bunda mkoani Mara. Kina Ukubwa wa 29 KWa 28 KWa kuhesabu hatua au tambo za miguu na kimepimwa na halimashauri.mnunuzi atalazimika kufatilia offer kisha hati. Kiko karibu na kanisa la lango la uzima pamoja na hospitali ya mkombozi.pia huduma za shule kuanzia...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hati ya kiwanja ikipotea au kuungua kuna uwezekano wa kupata nyingine original?

    Habari. Miaka michache iliyopita nilipata mkasa wa kuungua nyumba niliyokuwa naishi na moja ya vitu vilivyoungua ni hati ya kiwanja. Je kuna uwezekano wa kuomba nyingine idara ya ardhi? Kwa sasa nimebaki na photocopy tu. Naomba kama kuna mwenye uelewa au aliyewahi kupatwa na mkasa kama wangu...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Unawaza mnunue kiwanja mjenge mwenzako anawaza anunue kabati amtuze shoga yake kwenye shughuli, Epuka hizi type kama unajitafuta, utazeekea magetoni.

    Unamkuta binti mrembo ana shape, sura, n.k. lakini afya ya akili za kimaendeleo ni F yenye resit, epukana nao kama unajitafuta. Unamweka ndani mpo kwenye maisha ya chumba na sebule unawaza hela uliyopata kwenye mishe utafute kiwanja mjenge yeye anawaza na anaweza hata kuiba hizo pesa aende...
  16. dalali wafaida

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kinauzwa kiwanja Dar es salaam, Bunju

    Ukubwa wa kiwanja - Mita 23 × 20 Eneo kilipo - Bunju B Bei - Milioni 7 Maelezo Zaidi - 0679268006
  17. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kumuunganisha Msajili wa Hati Miliki (Registrar of Titles) Kwenye Kesi ya Ardhi Ambayo Kiwanja Kimesajiliwa na Kina Hati

    Ukifungua kesi ya ardhi ambayo kiwanja kimesajiliwa au kina hati, unatakiwa kumshtaki pia na Msajili wa hati (Registrar of titles). Kushindwa kumuunganisha au kumshtaki Msajili kwenye kesi ambayo ardhi ina hati ni kumnyima haki ya kusikilizwa. Na hukumu yoyote itakayotolewa kwenye hiyo kesi bila...
  18. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Mbweni, bajeti Mil. 60

    Just Whatsapp. NO CALLS
  19. Munari

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Morogoro-Mkundi Kiegeya sqm 600(20/30)

    Kiwanja kipo Kiegeya (Mkundi) Morogoro Kimepimwa na kina hati ( documents ) za malipo halali ya serikali na wizard ardhi Kinafikika kwa hali zote Ni kiwanja no 3775 Bei Tsh.2.5m Njoo Mazungumzo yapo
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja na shamba- phahi (kondoa)

    Wadau wa jamvini, Niataji kiwanja na shamba la kununua kata ya pahi(kondoa). Mwenye kiwanja au shamba nijulishe inbox au kwa namba 0767727388.
Back
Top Bottom