Natafuta kiwanja cha kununua Madale

Aeronautical

Senior Member
Jun 19, 2019
140
140
Habari za mchana ndugu zangu,

Natafuta kiwanja kisichokua na mgogoro na kilichopimwa maeneo ya Madale Mivumoni au karibu na apo, kiwanja kiwe na ukubwa wa 800sqm na budget isizidi 30M.

Ahsante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom