INAUZWA Kiwanja chenye nyumba kinauzwa Bahari Beach

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
1,011
736
Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa kipo bahari beach jijini dar es salaam wilaya ya kinondoni kiwanja kina ukubwa wa sqm 800 Eneo limepimwa Ila Bado hati nyumba ni ya kuvunja Kisha unaweza jenga apartment Za biashara ama Nyumba ya kuishi kiwanja kipo meter 400 kutoka barabara ya lami KINAUZWA kwa TSH MILION 150

TUWASILIANE

WhatsApp & call 0712464777

Tuma ujumbe whatsap ili nikuhudumie kwa haraka zaidi KARIBUNI sana 🤝
IMG_6571.jpeg
 
Kwa muonekano cha urithi hiko. Ndio maana kinachouzwa ni "kiwanja chenye nyumba" na sio nyumba!

Halafu wahusika wote wawe wamekubaliana isiwe wamezungukana mnakuja kuletea watu usumbufu na hasara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom