DESIGN YA VYUMBA 4 ,
1. LOUNGE
2.DINNING & KITCHEN
3.2BEDROOMS SELF
4.1BEDROOM SINGLE NEAR PUBLIC BATHROOM
5.MASTER BEDROOM WITH CLOSET AND SPECIOUS BATHROOM
6.BARAZA 2, COST MPAKA KUPAUA NA VERSATILE 45M
TUNAPATIKANA SINZA PALESTINA
CALL/WHATSAP +255624004650
Akihojiwa kwenye kipindi cha Fallon tonight, mwanamuziki Shakira amesema huwa anasafiri na vifaa vya kuwezesha matamasha yake vyenye uzito wa tani 90 na idadi ya watu wasiopungua 145 kufanikisha matamasha hayo!
Nimewaza ni lini na sisi tutapata mwanamuziki mwenye uwezo wa kuhimili matamasha...
Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan...
Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi, imebaini mabati yenye thamani ya fedha Sh Milioni 220 yaliyonunuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya wavulana Katavi na Sekondari Rungwa kuwa yako chini ya kiwango.
Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi...
Moja ya jambo huwa nali penda ni kuwa muwazi kwa huyu wa ndani yangu, kuhusu nini niki pendacho, nilicho nacho na hata kwa kile ninacho kihitaji.
moja ya jambo nina liona na kusikia toka niko mdogo, ni kauli ya tafuta hela ili uishi vizuri, ule bata uwe kati ya watu wanao ishi na sio wanao...
Huu mtindo wa wafanyabiashara wa migahawa, bar na vyoo vya umma kuchukua sabuni ya maji halafu kuiongezea maji ili iwe nyingi ni upumbavu wa hali juu. Wabongo kuna ujanja mwingine tungeachana nao tu maana tunakuwa duni kuliko hata ngedere, kama ni ubahili wa kubana matumizi basi pia ni ubahili...
Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
Kwa mechi 3 zilizopita ambazo simba amecheza kiwango cha mutale katika kufanikisha ushindi wa timu kimekua ni superb
Angalia goli la pili la simba Leo na hata la kwanza anakaba,anatoa pasi hakai na mpira mguuni lakini kubwa kuliko yote ni kurahisisha kazi kwa ajili ya straika
Binafsi si...
Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)
Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
Katika viwango vya siri vya mafundisho ya zamani, tulifundishwa kuwa:
"In the Beginning was the Word, and the Word was God." (Yohana 1:1)
Lakini si kila mtu ataelewa ufunguo wa ndani wa mstari huu.
Neno halikuwa tu sauti — Neno lilikuwa Frequency ya Uumbaji katika ulimwengu huu.
Christo...
Kiwango cha kuishi huko Gaza kabla ya mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 kulikuwa 75.5 lakini sasa hivi ki sporo oka kwa kiasi kikubwa na kuwa 40.6 baada ya mashambulizi ya Oct 07,2023
Kiwango cha wao kuishi kimepungua sana kutokana na mambo wanayoyafanya na wengi huna katika vurugu na wengi sana...
Ukweli usemwe mpira Wetu Huu bado ni ungaunga mwana hata kama huna Kiwango (Kiwango kimeisha) Lakini ukiwajulia tu Viongozi basi unakula vizuri klabuni kwa Mshahara mnono na Kiwango huna.
Ndiyoooo!! Huu ni ukweli Mchungu kabisa tena kweli ambao ukiumeza Lazima uombe sukari ama asali ili upoze...
Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati wa Tanzania (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme kutoka cha sasa cha asilimia 78.4 hadi kufikia asilimia 100 ifikapo mwaka 2030.
Timu yetu ili iwebora inategemea ubora wawachezaji wa Azam,Simba,Yanga na wachezaji wa nje.
Imeonekana dhairi wachezaji wa Yanga hawana tena mchango timu ya Taifa sababu wanakosa fitness,sababu hawapati upinzani wa ukweli kwenye ligi yetu.
Hii ni hata wachezaji wa kigeni wanaochezea Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.