Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH"
watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya Januari 20, 2025 siku ninayoingia Ikulu ya Marekani, kutakuwa na GHARIKA KUBWA Mashariki ya Kati na kwa wale waliotekeleza ukatili huu dhidi ya ubinadamu. Wanaohusika watabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ndefu na iliyojaa matukio ya Marekani !. ACHILIENI MATEKA SASA!
Everybody is talking about the hostages who are being held so violently, inhumanely, and against the will of the entire World, in the Middle East - But it’s all talk, and no action! Please let this TRUTH serve to represent that if the hostages are not released prior to January 20, 2025, the date that | proudly assume Office as President of the United States, there will be ALL HELL TO PAY in the Middle East, and for those in charge who perpetrated these atrocities against Humanity. Those responsible will be hit harder than anybody has been hit in the long and storied History of the United States of America. RELEASE THE HOSTAGES NOW!