kiwandani

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mhandisi wa Kiwanda cha Tesla avamiwa na Roboti na kuachiwa jeraha

    Mhandisi wa Tesla wa kiwanda cha Giga Texas cha kampuni karibu na Austin aripotiwa kuvamiwa na Roboti na kujeruhiwa. Mashuhuda wawili walishuhudia kwa hofu wakati mwenzao aliposhambuliwa na mashine iliyoundwa kushika na kuhamisha vipande vipya vya gari vilivyotengenezwa kwa alumini. Roboti...
  2. Blacklight

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuagiza Bidhaa kiwandani

    Naombeni msaada Kwa wenye uzoefu katika jambo hili.Nilikuwa nahitaji kuagiza ngano na mafuta ya kula Moja Kwa Moja kutoka kiwandani.Hivyo naomba kujua utaratibu wake upoje,wanaanzia pcs ngapi minimum,namna ya kuweka order na utofauti wa Bei maybe ukilinganisha na ya wholesalers Huwa inarange...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wanahisa wa NPC KIUTA wafungiwa kiwandani kwa siku tatu, wagoma kutoka wakidai Kiwanda chao kinauzwa kitapeli

    Watumishi na Wanahisa waliofungiwa ndani ya Kiwanda cha NPC KIUTA kutokana na mgogoro unaoendelea. Wafanyakazi wa Kiwanda cha Uchapaji cha Taifa au NPC National Printing Company Limited (KIUTA) ambacho kwa ufupi kunatambulika kwa jina la NPC KIUTA wanapitia wakati mgumu, baadhi yao wakiwa...
  4. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Napataje Konyagi kutoka kiwandani?

    Napataje Konyagi kutoka kiwandani? Nipo DSM, mwenye namba za hawa jamaa. Sitaki agent
  5. V

    JamiiForums Tanzania Pre Order Mzigo kutoka Kiwandani China

    Wanaotaka huduma ya mizigo mikubwa(bulk goods) kutoka kiwandani China pre order mzigo unaotaka utlpia 60% mzigo unakuja na meli very cheap ukifka unamlzia Nina connection na watu wa viwandani 0713310711
  6. ELIJAH TANFOAM SUPPLIER

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie Magodoro ya Tanfoam moja kwa moja kutoka kiwandani

    Habari wapendwa. Kwa Anayehitaji Msaada wa kupata Magodoro ya Tanfoam moja kwa moja kutoka kiwandani. Nipo kumsaidia. +255746482119/+255757637525
  7. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Ajira kiwandani mkoa wa Pwani

    Hallow hallow Mambo vipi wadau wa JF hope mko poa ok baada ya kushusha thread hii👇👇...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Roboti yasaidia kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa pombe kiwandani mkoani Anhui, China

    Roboti ya kutengeneza pombe inafanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza pombe mjini Fuyang, mkoani Anhui, China.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina uzoefu wa kazi za stationary na kiwandani. Elimu yangu Diploma ya HR. Nipo Kigamboni Mjimwema

    Natafuta Kazi ya secretary nina uzoefu wa kutumia computer. Pia nina uzoefu wa Kazi za stationary kwa miaka miwili.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuagiza Moja Kwa Moja kutoka kiwandani TBL na SBL kreti 1000 nazohitaji kuanza nazo kibiashara?

    Wakuu habari zenu, Nataka kuanza biashara ya vinywaji, maandalizi yote tayari. Naomba msaada kwenu wadau najua mna uelewa mpana wa haya mambo, hivi Kwa wingi wa creti ninazotaka kuanza nazo siwezi kuletewa na kiwanda Moja kw Moja mpaka nilipo au mpaka nipitie Kwa maagent wao?
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nipo kiwandani Mtibwa, Turiani; umeme umekatika mara kumi toka saa kumi na mbili mpaka muda huu

    Shida ya umeme wa Tanzania ni nini? Je, ni Siasa? Tanesco? Maji? Gesi? Mitambo chakavu? Hujuma? Au nini? Mimi nilijua shida hii ipo maeneo ya mjini tu kukatikakatika kwa umeme ila sasa nimekuja huku Turiani, Mtibwa leo tu jioni mpaka muda huu umeme umekatika mara kumi sasa shida ni nini...
  12. J

    JamiiForums Tanzania ATCL na hofu ya kupigwa oda ya ndege mpya nne za kisasa

    === Tanzania tayari tuna ndege mpya 11 za kisasa zinazoifanya ATCL kuwa mshindani wa Rwanda Airlines,Ethiopia Airline na Kenya Airways katika biashara ya Usafiri na usafirishaji wa anga Africa. Pamoja na kwamba kimahesabu ATCL inaonekana kutengeneza hasara lakini indirectly ATCL inafaida kubwa...
  13. Mgagaa na Upwa

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kuzindua jezi, inasemekana Simba imeamua kurudisha kiwandani jezi zao mpya kufanyiwa maboresho

    Kitu kizuri wameshtuka mapema la sivyo hizi hata wangeuza elfu 2 kwa kila moja hamna ambaye angenunua
  14. E

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya karakana na Kiwandani vinauzwa

    Tunauza na kurekebisha vifaa vya kufanyia kazi kwenye karakana na kiwandani. Kwa wamiliki wa karakana, kiwanda kidogo na kikubwa ,Sasa unaweza kupata vifaa vinavyodumu kwa bei rafiki kutoka kampuni ya Total Tools ya nchini China. Kwa shughuri zako zote mfano: fabrication modification forging...
  15. Digital base

    JamiiForums Tanzania Angalia ujuzi wangu na uzoefu katika usafi hasa uchafu sugu ikikupendeza tushirikiane au nipe nafasi kiwandani, ofisini au hotelini kwako

    Habari ya leo wapendwa, Mimi ni mjasiriamali najihusisha na usafi wa aina mbalimbali nimejikita zaidi katika uchafu sugu. Mfano: 1.Masink yote yaliyo kuwa na uchafu sugu Kama unjano ama kufubaa nang'arisha na kurudisha kuwa jipya kabisa. 2.Tiles za ukutani ama za chini zilizo na...
  16. P

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza mifuko ya khaki bei ya kiwandani

    Packline Company Limited,ni kiwanda kinachozalisha na kuuza mifuko ya khaki kwa gharama nafuu,baadhi ya bei zetu ni kama ifuatavyo 2kg ziko 1600pcs bei ya katoni Tsh 64,000 3kg ziko 1280pcs kwa katoni bei 64,000 Pia tuna handle bags Za size tofauti A5 Tsh 150 A4 Tsh. 250 A3 Tsh 300 Wasiliana...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kiasi cha shahawa zangu kimeongezeka. Je, kuna tatizo?

    Habari wadau Nimekuja mbele yenu wazoefu ama mliowahi kupitia hali hii. Ni kwamba kwa sasa kiwanda kinatema bidhaa yake ya upwilo kwa kiwango kilichozidi kwa asilimia kama 30 za ziada. Binafsi ninapokaribia mara nyingi huwa naumwaga upwilo kwenye kanga spesho ila kwa saizi imekuwa too much...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mazava chawapa likizo ya kibabe ya miezi 3 isiyo na malipo wafanyakazi wake

    Wafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha Nguo cha Winds Group ltd maarufu kama Mazava kilichopo Msamvu, kinadaiwa kuwapa likizo ya miezi 3 wafanyakazi wake bila malipo. Wafanyakazi wamezuiwa kuingia kiwandani kuendelea na shughuli humo leo Mei, 15.
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

    Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotudai wasijekulikamata likutua huko majuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo ▪Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili. ▪Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana. ▪Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na...
Back
Top Bottom