Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
9,790
14,873
Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotudai wasijekulikamata likutua huko majuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo

C6720B66-C77F-4B04-BFC4-3B927DBF5C93.jpeg

4FD25FCD-9751-484F-93EC-465872F0717B.jpeg

D8996DA9-0113-4538-AAEA-34D5798A5DE6.jpeg

4405D94D-6F57-4DA9-A5D3-4D413B7619FD.jpeg


▪Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
▪Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
▪Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
 
PIPA LANYANYUKA MAREKANI. Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili. Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana. Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli. Shime shime tukaipokee ndege pale Terminal 1

Update
22:12 Marubani wanakunywa Chai
Mbona hii sekali imekua kigeu geu? Ina maana ile account ya social media itafungiwa na mmiliki kukamatwa?
 
Wamsafishe yule waliyemuita muongo
Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo

︎Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
︎Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
︎Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
 
Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta
Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo

︎Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
︎Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
︎Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
Hii sababu imekosa viwango vyote vya weledi
 
Niliwahi kuuliza swali hivi nani uwa anafanya ukaguzi wa kila hatua kwenye uundaji wa ndege zetu?


Leo imeibuka habari asubuhi kuwa kila aliyetangaza ujio wa ndege akamatwe, lakin gafla wanasema inakuja kuputia page ya Gerson Msigwa anasema dege linafika kesho,

Mchezo ulianza hivi kwenye page ya ATC waliandika ujio wa ndege yetu ,

Wana habari wakachota pale wakaanza kusambaza,

Nadhani kuna sintofahamu juu ya kufuta ujumbe ule na waziri akaibuka kusema kuwa wamezusha na wasakwe,

Lakin baadae tunaambiwa dege linakuja

Swali lililotoka kwa mdau

Ninasikia ndege imeondoka, Ila kwanini ndege ilikaa Moses Lake Airport kwa Muda bila kurejea PAE(Kiwandani)imerejea leo na Kuondoka? Na kwanini waziri anasema waandishi wa habari wakamatwe Kwa kusema kwamba inakuja ndege?

Mkuu barafu tunaomba Masada

IMG_20191025_222333.jpg

Britannica
 
Boss Gulwa Hivi mnapata Faida gani kufurahia Ndege yetu na zetu kukamatwa??? !!!
Unajua mimi bado sijafahamu !!!
Kwani ndege haiwezi kuruka moja kwa moja mpaka Tanzania bila kutua kuweka mafuta???? !!!
Tani 40 hivi za mafuta na masaa kama 17 tu hivi ya kuwa angani moja kwa moja.
Kwani Ndege ni za Mh. Rais Magufuli??? !!!
Hauoni na hamuoni faida Watanzania na Wananchi wengi wamepata ajira ??? !!!
Yaani kuanzia Dereva (Pilot) mpaka wahudumu ni WaTanzania, wawakilishi ni wachache sana (Boeing, Kampuni za Engine kama ni tofauti na Boeing).
Wafanyakazi wanaenda Boeing kwa Training na Workshop kibao, ujuzi unaongezeka,
Shirika lilikuwa Nusu Kaputi, limefufuliwa, bado kuna watu hawapendi.
Tubadilike Jomoni.


Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo

▪︎Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
▪︎Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
▪︎Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
 
Back
Top Bottom