kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania SAA KALI ZA KIUME

    🕰️ TANGAZO MAALUM! 🔥 Saa Kali za Kiume Zimewasili! ⌚ Unatafuta saa ya kiume inayovutia, ya kisasa na yenye mvuto wa kipekee? Usitafute tena! 🌟 Saa za Ubora wa Hali ya Juu 💼 Inafaa kwa ofisini, matembezi au zawadi ya kipekee 💰 Bei: TSh 50,000 tu! 📍 Tunapatikana Dar es Salaam 🚚 Tunafanya...
  2. your favorite

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kiume

    Nina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat, ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
  3. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kiume wana "overplay" nafasi zao katika maisha ya mwanamke

    Michepuko imeheshemishwa sana siku hizi, nafasi yake ni kahaba alie changamka ila vijana wana wapa privilege. Vijana wanaiga ngozi nyeupe kupigia magoti wala ugali wenzao. Vijana wanababaika na matako manene kupelekea kufanya ya ajabu ajabu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je kwa nini mavazi ya mtoto wa kiume ni gharama sana?

    Hongereni wale wote mnaotumikia taifa, hasa kupitia familia. Endelea kuwa Nuru kwa familia yako Kinsingi, Hhakuna tofauti ya bei kwa mavazi ya mtoto wa kiume (hasa walioanza kutembea) na bei ya mavazi ya baba zao. Mtoto akivaa jeans, t-shirt na kiatu akapendeza, bajeti yake inamtosha pia baba...
  5. Fateema

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu madhara ya kumchoma mtoto wa kiume ganzi kwenye uume wakati wa kumtahiri

    Nimetazama kwa watoto wangu nimeogopa. Hiyo ganzi mtoto anachomwa kwenye uume. Je haiwezi mletea madhara kwa uume wake kweli? Mpaka muda huu uume bado umevimba kwa hiyo ganzi na mbele ya uume pale kuna kama utando fulani hivi. Ndivyo inavyo kuwa ama? Mlio tahiri watoto wenu hebu tujulisheni...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Suti Kali ya Kiume! Imetumika Siku Moja Tu - Maongezi yapo!

    Suti hii imevaliwa siku moja tu na ipo katika hali nzuri kabisa, kama mpya! Inajumuisha: Makoti Mawili: Rangi nyeupe na nyeusi. Suruali: Kiuno size 31/32. Kizibao Tai nyeusi Bei: Laki Sita TZS (600,000 TZS). Maongezi yapo! Suti inapatikana Ubungo Makuburi, Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tohara kwa watoto wa kiume inavyo wajibu atheists kuhusu " The Problem of evil"

    ATHEISTS wana sema 👇👇👇👇 " Kama kweli Mungu anatupenda Sisi viumbe wake kwanini ameruhusu maumivu kwenye maisha ya watu? " KUHUSU TOHARA : Hakuna asie jua kwamba TOHARA ni suala lenye maumivu makali sana kwa watoto wa kiume. Licha ya kuwekewa ganzi etc lakini still bado TOHARA ina maumivu...
  8. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Huyu ni msanii wa kiume..

    Hakika zama zimebadilika sana. Katika kupita mtandaoni nikakutana na picha ya msanii Platform.. Imenifikirisha sana. Itafikia muda sasa jinsia ya kiume kuwa na mionekano ionekane ni sahihi tu kutokana na wasanii wetu kujianika na mionekano kama hii. Najua sio huyu tu, hata wewe huenda umewahi...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Wanaume wengi wa Dar hawana Nguvu za Kiume kwa kupenda kula Chips zenye Mafuta mengi hivyo waanze kula Chips zinazokaangwa na Maji

    Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Serious Question: Kati ya Pesa na Nguvu za kiume ni kipi Mwanaume hutakiwi kukikosa kabisa ?

    Asie na Pesa nyingi lakini kwenye 6 x 6 ni full package Au Mwenye pesa nyingi ila shughuli hawezi
  11. D

    JamiiForums Tanzania connection ya Mchina anayeuza viatu vya kiume kuna 1 milion in sale hapa

    I will be short nataka number ya mchina anayeuza viatu vya kiume, na 1 million ya buy out. sifanyi biashara na mtu mweusi. ni mchina au muhindi tu. nipeni connection. dm ipo open
  12. verify

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana wenzangu wa kiume!!

    .
  13. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

    1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume. Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex. Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi mlinzi anahitajika wa kike au kiume

    Anahitajika mfanyakazi kazi ya ulinzi awe wa kike au wa kiume. Eneo la kazi ni Iringa mjini , mshahara 150.000. Shift ni usiku. Mawasiliano 0699626644
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania UTHABITI na UJASIRI ni pale utakapopokea kiume UKOSOAJI kwa moyo wote kwa kiasi kile kile unavyopokea SIFA

  16. C

    JamiiForums Tanzania Kama kwenye mashindano ya kiume haupo na ya wanawake( mama zako) haupo wewe utakuwa jinsia gani?

    Nawauliza mnaobeza mashindano ya kimataifa kwa kuyaita ya akina mama,timu yako iko kwenye mashindano ya jinsia gani? Maana ya kiume haupo uliishia wapi mi sijui. Wababe hufika kwenye nane bora kila wakishiriki. Wewe ambaye haupo kote ni jinsia gani? Au ndio mashoga ndio maana mnajisifu kwa...
  17. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Jina zuri la mtoto wa kiume

    Wife kajifungua salama kabisa, with no any complications OK. Jina gani Zuri la mtoto wa kiume , la kikristu , Lianze na alphabet A
  18. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

    Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua... Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Pigo moja la moyo hutengeneza mbegu za kiume 1,800

    Pigo moja la moyo hujaza korodani kwa sperms 1,800 (elfu moja na mia nane), mwanaume asipokuwa na kitu cha kufanya kuna uwezekano mkubwa wa kuanza kufikiria sex maana kila pigo linajaza mbegu nyingi Kwa wanaume ambao wapo sexually active hasa vijana (18 - 30) wasio na matatizo ya kiafya (B.p...
  20. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Wanaume na vijana wa kiume tukumbushane

    Wanaume, ni kumbusho tu—baadhi ya shule zimefungwa, na zingine zinafungwa kesho, na miongoni mwa wasichana hawa wanaweza kuonekana wakubwa, walioiva, wenye kuvutia na kutetema, lakini msiwachanganye. Wanakua haraka na wanajua mengi, lakini kwa sheria, bado ni wanafunzi na watoto. Jiepusheni...
Back
Top Bottom