round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,037
Pigo moja la moyo hujaza korodani kwa sperms 1,800 (elfu moja na mia nane), mwanaume asipokuwa na kitu cha kufanya kuna uwezekano mkubwa wa kuanza kufikiria sex maana kila pigo linajaza mbegu nyingi
Kwa wanaume ambao wapo sexually active hasa vijana (18 - 30) wasio na matatizo ya kiafya (B.p, kisukari, kukosa nguvu za kiume, n.k.) kuna decissions huzifanya kwa kuendeshwa na sex.
- Kufunga safari ya kilometa 400 kufata sex
- Kuwahi kufunga ofisi kwajili ya sex
- Kupigana kwajili ya kugombania kiungo cha sex
- Kujitoa muhanga kufanya sex bila kinga
- n.k.