kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Je, njia ya kufunga uzazi kwa Mwanaume inapunguza nguvu za kiume?

    Hii dhana umekuwepo kwa Watu wengi sana, wapo wanaoamini kuwa Mwanaume akifunga uzazi basi inamaanisha nguvu zake za kiume nazo zinapungua. Wataalam wa Afya hawa hapa wanasema dhana hiyo siyo ya kweli. Wataalam wanasema “Njia ya kufunga uzazi kwa mwanaume (Vasectomy) haithiri nguvu za kiume...
  2. P

    Kinyozi wa saluni ya kiume anahitajika Kigamboni

    Habari. Natafuta kinyozi wa saluni ya kiume ambaye atakua pia msimamizi iliyopo Kigamboni Geza ambaye tutalipana kwa mtindo wa hesabu. Aliye tayari na mwaminifu anicheki inbox.
  3. Eli Cohen

    VIDEO: Maisha yanaenda kasi sana, leo hii mabinti wanafundishwa cat walk plus malingo na kijana wa kiume

  4. N

    Dawa za nguvu za kiume kutoka "sanitarium clinicks", ni tiba ya kweli?

    Habari wana jf? Hivi karibuni kumekuwa na utitiri WA DAWA za kuongeza nguvu za kiume HASA kwenye hizi "SANITARIUM CLINICKS", mpaka nachanganyikiwa kujua DAWA ipi inasaidia na DAWA Gani ni feki. Nimekuwa na tatizo Hilo Kwa mwezi Sasa na nilienda lupimo sanitarium clinic, wakanipa sawa zao...
  5. Gru

    Saa kiume na za kike

    Tunapoelekea msimu wa Valentine tumewaletea mzigo mpya na mkali wa saa za kike na za kiume. Saa zetu ni za ubora wa hali ya juu, nzuri sana na za kisasa. Unaweza kuvaa maeneo mbalimbali ofisini, kanisani, mitoko ya weekend n.k Lakini pia unaweza toa kama zawadi kwa uwapendao hususani kipindi...
  6. X

    Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 40-45

    Fungwa
  7. Fbn

    Mabraza zenu hapa JF kwa vijana wa kiume kama vipato vyenu vya kusuasua achana na wanawake ambao kila mwanaume anatoa macho

    Ukweli mchungu ila ndo hivyo tena. Kama kijana wa kiume unataka kujitafuta na kuepuka mengine.Mwanamke mwenye muonekano wa mbele za wanaume ogopa sana. Leo jumapili dogo wa maviatu yale yenye masoli makubwa mdogo wake na mke wangu amekuja kunilalamikia kachukuliwa mpezi wake na bosi ambaye...
  8. W

    Nahitaji rafiki wa Kiume Umri kuanzia miaka 30-36

    Nahitaji rafiki wa Kiume Umri kuanzia miaka 30-36 Asantee
  9. T

    Experience ya dawa za nguvu za kiume

    Tukiwa chuo kuna mwana alikuwa anapenda sana kitu inaitwa "Njoinjoi" bila shaka nitakuwa sijakosea. Kwenye story anatoa sifa sana kuhusu hii kitu. Mim sikuwahi kuitumia kwanza hata pisi tu kuzipata ilikuwa shida 😂. Mwaka 2022, kuna mwana nikakutana nae tena ananipa story za vitu unapaka...
  10. Thesonboy

    Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri

    Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri.. Hii inajimuisha tunaosimamisha lege lege, kama utumbo, tunao mwaga ndani ya dk moja , tusio weza kurudia kabao kapili na hata tunao simamisha Kwa misimu kama mvua ya masika . Tupeana ushauri namna ipi tutoke kwenye hizi...
  11. M

    Kijana wa kiume acha kabisa story na wanawake kama huna nia ya kuwala

    Nisiwachoshe Kama huna nia ya kumla mwanamke acha kabisa story nae. Mademu wengi wanapenda sana mazoea na wanaume lakini deep down wanakua na agenda zaidi hasa kumtumia na kisha kuhakikisha heshima ya mwanaume huyo inashuka. Naongea from experience furaha ya wanawake wengi ni kuona mwanaume...
  12. pelani

    Viatu vya ngozi vya kiume

    ✨ Handmade Leather Shoes (Premium Quality) ✨ 📌 Imara, zinadumu muda mrefu — perfect for everyday & office wear 🥿 Available Sizes: 40 • 41 • 42 • 43 • 44 • 45 🎨 Colors: Brown & Black 💰 Price: 45,000 TSH tu 🛠️ Kila pair inatengenezwa maalum kwa oda yako — ndani ya siku 3 unapata viatu vilivyo...
  13. mamy cute

    Natafuta rafiki wa kiume

    Umri wangu :33 Location:Dar Jinsia ke Umri wa nimtafutae :25-38 Awe dar No strings attached,sio kwa ajili ya kuoana,just marafiki Karibu pm
  14. The Father of All

    GE2025 Kwa fisi, awe wa kike au kiume, akiona nyama, utamjua

    Sijui hata nimaanishacho hapa. Ila fisi na nyama ni balaa bila kujali jinsia wala umri. Ni ujinga kiasi gani kumpa fisi nyama ukadhani ataiacha au kuficha ufisi wake? Baya zaidi ni pale fisi anapokuwa mwenye mamlaka ya kuamua nani ale au asile nyama. Najipigia kelele kimya kimya.
  15. Sharbel

    Maendeleo Kwanza: Vijana wa Kiume acheni kuteketeza Fedha kwenye mahusiano

    Vijana wengi wa kiume hukutana na changamoto ya kutumia muda na fedha nyingi kwenye mahusiano kabla hata ya kuweka msingi thabiti wa maisha yao ya baadaye. Ni jambo la kawaida kuona kijana anatumia kipato chake chote kuhudumia mwenza wake, kuanzia kodi ya nyumba, mavazi, chakula, hadi matumizi...
  16. VictoriaGreenHerbal

    Ukiona hizi dalili ujue una changamoto ya nguvu za kiume

    Siku hizi kila kona mitaani, mitandaoni na hata makazini, kila mtu anajua “dawa” fulani ya kuongeza nguvu za kiume. Lakini cha kushangaza, kadri muda unavyosonga, ndivyo tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linavyozidi kuongezeka. Fikiria mara mbili kabla ya kuamini kila tangazo unaloona. Sisi...
  17. youngkato

    Biashara na Kupata Leseni ya Saloon ya Kiume

    Masharti ya Mwombaji Ili kupewa leseni ya saloon ya kiume, unatakiwa: Uwe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi. Usiwe na rekodi ya makosa ya jinai. Uwe na eneo lililoidhinishwa kisheria na linalokidhi viwango vya usafi na afya. Uwe na mkataba wa pango iwapo fremu ya biashara...
  18. S

    Natafuta vijana wa kutembeza viatu grade one vya mtumba pamoja na mashati ya kiume

    Kama kichwa Cha habari kinavojieleza ukiwa ni kijana njoo tufanyie kazi. Mimi napoint viatu karume na mashati ya kiume na Sasa natafuta mtu ambaye anachukua mzigo kwangu anauza faida tunagawana nusu kwa nusu. Ishu hapa huhitaji mtaji ila inahitaji uaminifu na moyo wa kufanya kazi kutafuta...
  19. M

    Mashati ya kiume special thread

    Habari Naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu Nauza mashati ya kiume size zote Kwa Bei nafuu Nafanya deliver mikoani na ndani ya dar es salaam Karibuni sana 0686153806 Whatsapp Bei ya rejareja Kwa mashati ya mikono mifupi ni 20,000/- Mashati ya mikono mirefu ni 25,000/- Mazungumzo...
  20. Beira Boy

    Simba tunawasubili mzindue na za kiume hizi mlizozindua mbona ni za kike tu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Asanten sana LONDON BOY
Back
Top Bottom